Hapo inaonesha sio jengo la wananchi bali ni la huyo mtu anaeitwa sele ni lake binafsi anapitia tu mgongo wa wananchi ni mjanja fulani tu mana maelezo yake hayajitoshelezi
Na pia hapo ni eneo la shule kwa maelzo yake vipi mgahawa na wazungu kuhusu maadili mana kubusiana na kunyonyana ni jambo la kawaida kwao .watoto watajifunza nini .
Tayari mtu anataka kupaiba au kashauziwa tayari. We ulie tuu. Ukifanya mchezo ha WAKE.ZETU, NA WAUME ZETU , TUSIPOWAANGALIA WATAWAUZA TUU. MAANA HATUJUI SERIKALI NANI , AU MATAPELI KINA NANI.😮😮
Sasa wao linawakera nini hilojengo?au kwasababu hawapati pesa rohombaya tu hao Watu wanajiajiri wenyewe wao wanabomoa kazi hawawapi hiyo ndio Zanzibar Musiwapigie kura haowatu .
Wizi tu
Inaonesha kuna mtu analitaka hilo eneo
Hapo inaonesha sio jengo la wananchi bali ni la huyo mtu anaeitwa sele ni lake binafsi anapitia tu mgongo wa wananchi ni mjanja fulani tu mana maelezo yake hayajitoshelezi
🤦🏿♀️🙄
Na pia hapo ni eneo la shule kwa maelzo yake vipi mgahawa na wazungu kuhusu maadili mana kubusiana na kunyonyana ni jambo la kawaida kwao .watoto watajifunza nini .
Sasa wewe hilo jengo lako au wananchi mbona unajichanganya
Kwani kizimkazi ni wpi au bado sijajua
Zanzibar
@@ireneassey2022 Asante sna
Unguja kusini kama unable kea makunduchi
Shida wakizimkazi hampendani wenyewe kwa wenyewe😂
Janja Janja sana huyu bwana! Viongozi wamefanya vizuri kuvunja hicho kibanda...
Tayari mtu anataka kupaiba au kashauziwa tayari. We ulie tuu. Ukifanya mchezo ha WAKE.ZETU, NA WAUME ZETU , TUSIPOWAANGALIA WATAWAUZA TUU. MAANA HATUJUI SERIKALI NANI , AU MATAPELI KINA NANI.😮😮
Sasa wao linawakera nini hilojengo?au kwasababu hawapati pesa rohombaya tu hao
Watu wanajiajiri wenyewe wao wanabomoa kazi hawawapi hiyo ndio Zanzibar
Musiwapigie kura haowatu .