Poleni sana wanafamilia, pole mama Janeth, Mungu akupe faraja japo ni ngumu. Yaani baba yetu JPM katuachia simanzi hatuamini,no kama jana kumbe mwaka sasa,Mungu wewe wajua,tufariji baba,mpe pumziko baba John
Kwahio mama simia inamana ulikuaa huji magufuri kafariki tarehegani au mwezigani Hadi upgiwe simu namama janeti kweri mama unarohombayasana kwan urifurahia Sana kifo Cha magufuri ndoma ulijifanya kujitoa ufahamu sisi tikajua serikali ndioo iliyofanya kumbukizi hioo kumbe niwana familia wenyewe hakiamungu WWE mama hujatenda haki kabiasa mungu anakuoonaa loooo
Mi nashangaa sana,..Jpm alkuwa kpenz cha wa Tz wote haswa wa hali ya chini,wanaonyanyaswa na kudhulumiwa haki zao!(mtetezi wa wanyonge),.pia ni raisi ambaye umauti ulimkuta akiwa madarakani!!!..kwann cku hii ya tar 17 march,haijawa cku ya mapumzko ya kumuenz?..washika nchi hamjafanya haki kwa hilo!!
Ni kweli kabisa unachoongea,kiukweli ktk Marais waliopita JP alikuwa ni kiongozi wa tofauti Sana,amefanya mambo makubwa Sana hapa Tz,lakini Kama wameamua hivyo hakuna jinsi,pumzika kwa Amani jasiri wa nnchi hii
Kumbe hii kumbukizi imeandaliwa na familiy duh mpaka ukapigiwa cm kwa hyo wew mama ulikuwa ujui magufuri kafa lini au nin aswa na ikiwa wew ndo ulitangaza kifo chake ila wew mama hapana
Mungu akutie nguvu mama,,Tembea na Imani ya baba yetu John pombe Magufuli ,kauli yake ni( KUMTEGEMA MUNGU)Mama mtegemee Mungu Hatakuacha kwa kila Jambo,

Jamani kumbe mumeandaawenyewe makumbushohaya😭😭😭😭mubarikiwe
Kwahio mama simia inamana ulikuaa huji magufuri kafariki tarehegani au mwezigani Hadi upgiwe simu namama janeti kweri mama unarohombayasana kwan urifurahia Sana kifo Cha magufuri ndoma ulijifanya kujitoa ufahamu sisi tikajua serikali ndioo iliyofanya kumbukizi hioo kumbe niwana familia wenyewe hakiamungu WWE mama hujatenda haki kabiasa mungu anakuoonaa loooo
Sanaaaaa sikutegemea kwakweli Ila Mungu yupo hapahapa dunia Mungu atalipa tuuu we Acha tuu.
Nakupenda mama janeth,Mungu azdshe busara na hekima Mara dufu kwa kila Jambo tumshukuru🙏
Polen sana familia tuko pomoja nanyi jpm pumzika kwa amani
Mungu amlaze mahali pema peponi amina
Pole sana mam yangu mungu akushike mkono
Jmn Mungu akutie nguvu mama. Ni wakati mgumu mama uliopita na unaopitia. Mungu azidi kukupa Faraja.
Pole mama yangu mungu yupo pamoja na ww najua unaumia a sana mama angu ila ww ni super human🙏🙏❤️
Mi nashangaa sana,..Jpm alkuwa kpenz cha wa Tz wote haswa wa hali ya chini,wanaonyanyaswa na kudhulumiwa haki zao!(mtetezi wa wanyonge),.pia ni raisi ambaye umauti ulimkuta akiwa madarakani!!!..kwann cku hii ya tar 17 march,haijawa cku ya mapumzko ya kumuenz?..washika nchi hamjafanya haki kwa hilo!!
Ni kweli kabisa unachoongea,kiukweli ktk Marais waliopita JP alikuwa ni kiongozi wa tofauti Sana,amefanya mambo makubwa Sana hapa Tz,lakini Kama wameamua hivyo hakuna jinsi,pumzika kwa Amani jasiri wa nnchi hii
Kweri. Mpendwa. Ulichoongea awajamtendea haki. Kutoa. Mapumziko. Kila. Ifikapo. Taree. 17.mwezi.3 mbona marehem. Rais nyerere kila ifikapo taree lazima mapumziko daah au. Ndio. Wengi. Walikua. Wanamchukia kimoyoni. Ndio. Maana. Awakumuwekea mapumziko. 😭😭😭
@@asmasalum675 mungu anawaona wajitafakali
Yaani mm hata sikumwandaa mtoto kwenda shule nikijua nikumbuku ya mpendwa wetu kumbe serikali hata hawalioni hili
samia mwenyewe alikua yuwakitamani hiki kitu ndio kamsahau kabisa magufuli
Ningekuwa nauwezo ningeenda kumuona uyu mama nakuona kaburi ra mangu nawapenda sana🙏🙏🙏🙏❤️❤️😢😢😢
Umesema kweli hata nani natamani nine.nawapenda.sana
Mungu azidi kukutia nguvu Mama etu
Mungu akubariki mama kwa maneno yenye falaja kwa watanzania Amina.
faraja siyo falaja tukipende kiswahili chetu
Poleni Sana familia,kumbe ninyi familia ndio mmeandaa,kwele serikali hii ina watu.
Pole mama janeth Mungu akutie nguvu
Poleni sana kwa family na watazania wote mungu aende kuza roho yake mahali pema peponi
Kuondokewa kugumu Sana pole mama
Mama janeti tupo pa moja kwani kukuacha hatuwezi tupo pamoja nawe munqu akupe nquvu na ujasiri
Women🙏🏾🙏🏾
Mungu yupo dunia kabla aijafika mwisho wote tutaonja mauti ata ukimtanguliza mwenzako ujue na wewe ipo siku utakufa R.I.P Baba pumzika kwa Amani
Mama anauchungu moyoni,mama unawapalia makaa ya Moto MAADUI wa familia yk.
Pole sana Mama
Pole sana mama 😭😭😭😭
😭😭😭😭 pole sana Mama 🙏💔
Mungu akubariki mama
Jamani mimi huwa najua kuwa hii kumbukumbu huwa inafanyika kwa pesa ya selikar kumbe wamefanya wenyew kama familia 🤔🤔🤔
Weee acha tu ni kitendawili 😭😭😭
Amina
Pole mama
Mmetuchosha na magufuli wenu bn
😭😭😭😭😭😭😭tutamkumbuka daima JPM
Iyo utuba ariandika mwenyewe au ariandikiwa
😭😭😭 BABA MAGU PUMZIKA KWA AMANI
tutakukumbuka sana Rais wa wanyonge,tutakukumbuka sana R.I.P jpm
Kumbukumbu ya kitaifa walau kwa mwaka wa kwanza jamani kama familia isingeandaa hii ingepita kimya kimya?
Amen
Ina maana familia ndio iliandaa kumbukizi na si Serikali?
Nilifikiri nimejiuliza pekeyangu
Pore mama yt daima tunamkimbuka baba yetu
Kumbe hii kumbukizi imeandaliwa na familiy duh mpaka ukapigiwa cm kwa hyo wew mama ulikuwa ujui magufuri kafa lini au nin aswa na ikiwa wew ndo ulitangaza kifo chake ila wew mama hapana
Inasikitisha sana,lkn ndo iyo,Imeisha iyo ck,mungu akupunguzie maumivu mama J
Mama mwenye hekima zake
Kikwete mbona simuoni jmn?
💔💔
Pole mamaa
Pole Sana Mama. Mungu azid kukupa Faraja"👏
Yaan mama wa watu maskin anajitahid tu kuongea lkn ayupo sw
Mungu akutie nguvu mama,,Tembea na Imani ya baba yetu John pombe Magufuli ,kauli yake ni( KUMTEGEMA MUNGU)Mama mtegemee Mungu Hatakuacha kwa kila Jambo,
Inauma xn jmn,Mungu akutie nguvu na akupe faraja ya aina yake,
Kwani ajaolewa?.
Maswali yako jmmn
Pole Sana Mama Mungu akutie nguvu tumeumia wengi Sana
Magu kama kafarik Jana mana dah cmsahau
Kwa iyo tutaazimisha milele?.
Swali gani hiloo jmn 🤣🤣nimecheka kaa mazuri looh 🙌🏽🙌🏽
Maswali meingine bwana dah!!
Mpaka wewe ukifa ndio mwisho wako wa kuazimisha
Mademe
th-cam.com/video/kp4K8NMPBr8/w-d-xo.html
Ona watu warivyo disi kumuona mondi aki danse na zuchu chumbani
Poleni sana kwa family na watazania wote mungu aende kuza roho yake mahali pema peponi
Pole mama