Bwana mungu apewe sifa na utufu kupitia mafundisho yako pamoja na nyimbo zako nzuri nabadiliswa kwa damu yake kristo tuonbee sisi wenye Imani changa bado hatujakomaa Imani zipo lkn nyingi yazo zimepotoka lkn ww n mtu wa mungu barikiwa babangu mungu akujaze mema amina
Wow🙏🙏🙏 Hallelujah 🙏🙏🙏 Glory be to God 🙏 i feel the presence of Jesus Christ in my heart through this powerful gospel. More Grace Pastor Pascal Cassian. More love from Kenya 🇰🇪
Amina Bwana Yesu asifiwe sana. Wimbo huu kama umekugusa sambazazia na kwa mwengine na jina la Bwana litukuzwe siku zote za maisha yetu. Mathayo,28:18-20, Mark,10:27, Waef,5:8, Waebr,10:23-25, Ufunuo,20:11-13, 🙏❤🤝❤👭❤👬🐑⛪📖 May God help you a lot, Zaburi,125:1-5, 123:1-2, 69:1-4, 150:1-6, ahsante sana amen.
HALLELUJAH ,WIMBO UNA NGUVU YA MUNGU SANA SANA, MUNGU ATUSAIDIE KUMALIZA NA MUNGU , NAMUOMBA MUNGU UINULIWE SANA SANA KILA MTU ASIKIE NENO LA LAKE KUPITIA KILE ULICHOPEWA NA YEYE MWENYEWE)
Mungu azd kukuhfaz na kukuinua mtumish hakika huu wimbo umenitia nguvu sana mwanzo nilijawa na huzun ila nikajikuta natiwa nguvu sana uzd kubarkiwa kaka
Maisha yako na historia ya maisha yako hua nayatumia katika kujitia nguvu Sana wakati ninapopita kwenye magumu, unanibariki Sana Kaka Mungu akubariki na kukutunza kwa utumishi wako huu mgumu Sana Mungu akutie nguvu
MUNGU mwenyewe nguvu akuinue na akutetee Kwa utukufu wake usioshindwa milele yote alipo MUNGU adui asongei simama imara kwa mwamba usiosikisika MUNGU akubariki na akuinue kabisa.
Bwana mungu apewe sifa na utufu kupitia mafundisho yako pamoja na nyimbo zako nzuri nabadiliswa kwa damu yake kristo tuonbee sisi wenye Imani changa bado hatujakomaa Imani zipo lkn nyingi yazo zimepotoka lkn ww n mtu wa mungu barikiwa babangu mungu akujaze mema amina
Wow🙏🙏🙏 Hallelujah 🙏🙏🙏 Glory be to God 🙏 i feel the presence of Jesus Christ in my heart through this powerful gospel. More Grace Pastor Pascal Cassian. More love from Kenya 🇰🇪
❤❤❤👋sujaa wangu kaza mwendo🎉
Beat hii inaniingia kabisa thank you so much
Nyimbo ya mguso , dunia inafedhehesha lakini kwa Mungu kuna uzima ndani ya Yesu.
Amina Bwana Yesu asifiwe sana. Wimbo huu kama umekugusa sambazazia na kwa mwengine na jina la Bwana litukuzwe siku zote za maisha yetu. Mathayo,28:18-20, Mark,10:27, Waef,5:8, Waebr,10:23-25, Ufunuo,20:11-13, 🙏❤🤝❤👭❤👬🐑⛪📖 May God help you a lot, Zaburi,125:1-5, 123:1-2, 69:1-4, 150:1-6, ahsante sana amen.
This song has made me crying,,, ohhhh be blessed a servant of God
Wimbo unao gusa sana moyo wangu. Be blessed bro Cassian mungu aendelee kubariki huduma Yako Kenya twakupenda sana
Yani huuu wimbo janani😢😢😢💪💪💪💪hisongeza karibu na MUNGU wangu😢😢❣️❣️❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏🙏❣️❣️
HALLELUJAH
,WIMBO UNA NGUVU YA MUNGU SANA SANA,
MUNGU ATUSAIDIE KUMALIZA NA MUNGU ,
NAMUOMBA MUNGU UINULIWE SANA SANA KILA MTU ASIKIE NENO LA LAKE KUPITIA KILE ULICHOPEWA NA YEYE MWENYEWE)
Aaaamen mtumishi waBaba
Barikiwa mtumishi
Amen amen
Mungu azd kukuhfaz na kukuinua mtumish hakika huu wimbo umenitia nguvu sana mwanzo nilijawa na huzun ila nikajikuta natiwa nguvu sana uzd kubarkiwa kaka
Ni huzuni haki YESU tusaidie ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
May God be with you for the rest of your life man of god
Ujumbe mzuri saana ubalikiwe mtumishi
❤❤
Je ne comprends pas les paroles mais la chanson à toucher mon esprit merci paschal
Asantesan.kwawimbohuu
Ubarikiwe sana na Mungu aendelee kupaa nguve mtumishi nyimbo zako hunibarikii sana naeza pata vipi C.D zako niko kenya Ubarikiwe
Amen and Amen. A very powerful song.
Be Blessed Man of God.
ujumbe mzuri sana ubarikiwe na Mungu apanue mipaka yako
👉🏿Wimbo mzuri sanaaa🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿👈🏿
Amen amen Mungu akupe nguvu zaidi kweli.
AMINA SANA KAKA NENO LA BWANA NDIO MUONGOZO WETU NYIMBO ZAKO ZIMEBEBA UJUMBE MZITO SANA NA ZINAFUNDISHAAA
mungu azidi kukutunza bro huduma yako ni njema sana
Amina mpakwa mafuta wa BWANA, MUNGU akutunze.
Asante kwa ujumbe mzuri mtumishi pia unatujenga kiimani Mungu akubar sana mtumishi wa Mungu
Mwenyezi Mungu akuweke kaka
Ubarikiwe sana mtumishi MUNGU azidi kukulinda maana huduma yako ni ya kipekee sanaa nyimbo zilizobeba ujumbe hai wa Mungu
Maisha yako na historia ya maisha yako hua nayatumia katika kujitia nguvu Sana wakati ninapopita kwenye magumu, unanibariki Sana Kaka Mungu akubariki na kukutunza kwa utumishi wako huu mgumu Sana Mungu akutie nguvu
Balikiwa sana bro mungu akupe wepesi nyimbo zako nikisiliza huwa nafalijika sana maana unamtumikia mungu kwelikweli amina
Ubaikiwe mtumisshi ujumbe mzuri
Huyu jamaa ni dhehebu gani mbona Kama mwadventista msabato
Kiapo cha Damu achia kibao hicho kk
Asante kwa kutujuza sisi kizazi cha leo, tunaimba nyimbo nyingi hatujui watunzi walikutwa nini hata waimbe jinsi walivyoimba. Ubarikiwe.
Kitambo kidogo tutakutana kwenye furaha ya baba🙏🏻 tusihuzunike maana tulipo sio mbali na nyumbani kwetu
Kwa winbo huu wa usihuzunike hapo haujakosea, 100%✓✓✓✓✓
Barikiwa mtumishi wa MUNGU. Shuhuda za nyimbo zako huguzaa saaana saana
Ohh my God bro Mungu akutunze Sanaa 🙏😭
Yani mungu akubaliki kaka
Barikiwa sana mtumishi...Mungu Baba akutunze
MUNGU mwenyewe nguvu akuinue na akutetee Kwa utukufu wake usioshindwa milele yote alipo MUNGU adui asongei simama imara kwa mwamba usiosikisika MUNGU akubariki na akuinue kabisa.
Ameni nabarikiwa sana kusikiliza nyimbo hii
😢😢😢❣️❣️❣️hii wimbo umeniliza mno
mimi pia
Imenigusa ndani kabisa😭
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nakupenda sana kwa upendo wa kristo
Amen.The song touched my heart
Amen.and.amen.mtumizi.wa.mungu
Mungu aziongoze atua zako kila siku ubalikiwe
Uzuni Mbali Kabisa:.;Mungu asiwe
Wimbo wa baraka sana
Hujawai kosea nyimbo zako mtumishi ubarikiwe sana
Ubarikiwe sana 🙏
Barikiwa sana
Ubarikiwe.sanaaa
Uturehemu yesu 🙏🙏
Amen nashukuru Sana barikiwa Mtumishi wa MUNGU 🙏
Amennn ujumbe wenye nguvu🙏🙏🙏
Barikiwa Sana mtumishi wa BWANA,
Sitauzinika tena
Sio kitambo sana tutakutana naye!
Mubalikiwe
AMINAAA SAANA
Amina umeachia kibao siku ya kwanza ya juma baada yakufunga sabato kwangu ubarikiwe wafuasi wa madhehebu mbalimbali tunakuombea
God bless you man of God.
kitambo tu,tutakutana!
Mungu akutunze kaka
MUNGU WA MBINGUNI AENDELEE KUSIMAMA NAWE. ASIMAME NASI PIA NA KUTUBARIKI PAMOJA
God bless you my nabii
Paschal ni top
Aminaaa
Kali
Ujumbe mzuli umenigisa mtumishi wa MUNGU mbona opera mini haipo
Amin amin
Bro Cassian I am appealing unto to upload kiapo cha Damu...May God continue to lift you up
Ubarikiwe
Amiina kuubwa
Amen😮😮😮😮
Ameeni
Ninjema.sana
Amen 🙏🙏
Amen Amen 🙏🙌👏🧚♀️🧚💃💃🇺🇸
Ameeeeen
🙏🙏🙏 baba blessing bro..by rayman fungo from Dodoma city..
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Asante mtumishi tukopamoja
Amina
Ameni ubalikiwe Kaka dam ya yesu ikulinde
Amina kubwa mungu akubariki😪😪😪😪😪😪😪😪😪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jamaaan wimbo huu ume nigusa Sana poker eni wokovuu
Mungu akupe nguvu
Aminaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🤗🤗🤗🤗🙈🙈🙈🙈🙉🙊👏👏👏👏
Amennn🎶🎶🎶🎶🎶🙏🙏🙏🙏🏼🙏
😢 😢 audio nadownload inanikatalia
Amen amen
AMEN and AMEN
²🙏🙏🙏
Amen
Nice
Barikiwa sana mtumishi
AMEEEEEEEEEEEEN
Tutolee na video
Mo
a
L
Amen
Amina
Wimbo huuu una nguvu ya mungu aminaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nyimbo nzuri Sana
Amina