Upendo Nkone- USHAURI WA MZEE NKONE (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @Sifa-or9cb
    @Sifa-or9cb ปีที่แล้ว +1

    Mungu saidia watoto wangu wapende Mungu sana katika maisha

  • @sauud2some471
    @sauud2some471 ปีที่แล้ว +1

    Ameen my sister ❤❤❤

  • @DARIUSKAHINDI-uj8ro
    @DARIUSKAHINDI-uj8ro ปีที่แล้ว +2

    Hakika wimbo huu una maneno kama Yale niliachiwa na Baba yangu, ubarikiwe sana. Tuendelee na Yesu.

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 7 หลายเดือนก่อน

    Nan ako hapa 2024 Feb huu wimbo kila nikisikia namkumnuka baba yanhu😢❤ bado nitampenda Yesu mpka nifike mwisho usijarib kumkufuru kwa sababu ya pito langu

  • @nickzaneta2419
    @nickzaneta2419 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini unaniliza hivi...wimbo huu ni historia ya maisha kweli...nimebarikiwa kutoka Nairobi Kenya..

  • @estherebuela6484
    @estherebuela6484 ปีที่แล้ว +1

    I really love all your songs mama yangu mungu wetu azidi kukuweka ngufu katika safari hii tulio nayo amen 🙏🏽❤

  • @goodluckyalute4666
    @goodluckyalute4666 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Akubariki Sana na Uzidi kuwa Mwaminifu Kwenye Huduma hii

  • @marymuia879
    @marymuia879 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo umeubiria nafsi yangu juu mapito ni mengi but sitamkufuru Mungu

  • @noriahmuthusi4659
    @noriahmuthusi4659 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen.nyimbo yenye mafunzo mengi.Mungu atusaidie tukae katika wokovu.Barikiwa Mama Nkone Upendo.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Charmase23
    @Charmase23 2 ปีที่แล้ว +5

    Barikiweni sana!🤝🏻🇹🇿🇧🇮🇨🇩🇰🇪🇺🇬🇷🇼

  • @schemnishobora3889
    @schemnishobora3889 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki imenigusa sana mimi kutoka Burundi

  • @hopekaluma6579
    @hopekaluma6579 ปีที่แล้ว +1

    Waauu ujumbe mzito Mungu akubariki Mama Mtumishi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +2

    Ng'aaa Upendo muha wa Iwacu

  • @marie-laurene.
    @marie-laurene. ปีที่แล้ว +2

    Amina!!!

  • @WiselightOfficial
    @WiselightOfficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen huu wimbo mama hata kama uliimba history ya maisha yako lakin umeniimba Mimi jamn nikikumbuka maisha yangu ya nyuma😭😭😭😭 niliambiwa niendeleee na YESU na baba yangu nam kama Mungu aishishivyo nitaendelea katika Kim ubarikiwe upendo nkone kwa albamu hii pia kuiweka TH-cam 🙏👏

  • @mathewmwasangwale4205
    @mathewmwasangwale4205 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen amen Nitaendelea na yesu kusonga Mbele ✊✊

  • @lazaromikonko2397
    @lazaromikonko2397 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen truly speaking I thanks God I get new strength God helps me to fulfill the purpose of God in my life Amen 🙏

  • @jukaelyelisha6311
    @jukaelyelisha6311 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mnoo Mama UPENDO nkone

  • @larbankasingu7902
    @larbankasingu7902 2 ปีที่แล้ว +1

    Baraka tele

  • @mawazokiloloma5529
    @mawazokiloloma5529 2 ปีที่แล้ว

    Ujumbe mzurisana Barikiwa

  • @kochaa6096
    @kochaa6096 2 ปีที่แล้ว

    The song is great

  • @meshackmuoki8217
    @meshackmuoki8217 ปีที่แล้ว

    amen

  • @preneruth5110
    @preneruth5110 2 ปีที่แล้ว

    My favourite song....

  • @danielsiwale4051
    @danielsiwale4051 2 ปีที่แล้ว

    Amina ujumbe mzuri mamy

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Hakika Historia inajenga

  • @perpetuambizo1518
    @perpetuambizo1518 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana

  • @rizikinaftary8105
    @rizikinaftary8105 2 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏🔥😭😭😭

  • @mosesngeni1354
    @mosesngeni1354 2 ปีที่แล้ว

    Nzuri sana

  • @ev.juliusvindya3033
    @ev.juliusvindya3033 2 ปีที่แล้ว

    Congratulations madam

  • @agnesmwizarubi7479
    @agnesmwizarubi7479 2 ปีที่แล้ว +1

    My parents