Hongera kwa wanao wasimamia ,au kama ni nyinyi wenyewe hongereni maradufu sijawai kukoment ,leo nimeona niwape tu pongezi ,nitawatafuta tufanye tangazo la duka langu la vifaa vya magari sinza
Wikendi kuja mzuri wikendi kuja mzuri Baba lenu nipo rada zima sim napeperusha bendera ya Mtanga Comedy ndani ya Mombasa kama kawa nambar ek mzigo mkubwa nimeshaupokea hata kabla haujamaliza kuload
Kwakweli mko vizuri sana
Haya niletee maji! Bambo kakubali mwenyewe ila we mtanga na Bambo noma sana nyinyi yaani mm nyinyi ndio comedian wangu toka zamani.
Big up mtanga comedy
dah mnaweza sana
Mungu awabariki kazi zenu za mikono hakika munatupa burudani kubwa mno nawatakia wikendi nono na nyie
Bambo tajiri hadaiwi anakumbushwa tu mbona una mapepe na kijideni kidogooooo
Hongera kwa wanao wasimamia ,au kama ni nyinyi wenyewe hongereni maradufu sijawai kukoment ,leo nimeona niwape tu pongezi ,nitawatafuta tufanye tangazo la duka langu la vifaa vya magari sinza
Shukrani sana na karibu sana ,
Una duka au unafurahisha watu mitandaoni
Bambo wachilia mabomu kisha mwambie utamu wa shuzi ni harufu hehehe kkkk 🇰🇪🇰🇪
Toka linoo😂
Uyu anazingua eti mtangoo😀😀
Bado kidogo mtanga
Mashoido 😂 😂 mustako 😍 munachza vzri snaa mung awabariki sanaa
Mtanga tena a
🇲🇿🤣🤣from maputo Mozambique
Mtanga na bambo mnajitaidi Sana
🔥❤️🔥
Hafu siku hizi nimeerevuka mzima kama haujamaliza kuload huwa haunaga sauti lakini nautizama vivyo hivyo yaani nautizama kibubu bubu hadi sauti iload
Ukitembea utakuw unateleza😂😂😂😂
Kiri sino mm sino wah mnanibamba na hicho kiswahili
Mm pia
Mtango acha kutuharibia Sasa,maji mwez khaaa,Hama barakuda kwako huko,eti maji dumu 30,000 khaaaaaaaaaa,
Wikendi kuja mzuri wikendi kuja mzuri Baba lenu nipo rada zima sim napeperusha bendera ya Mtanga Comedy ndani ya Mombasa kama kawa nambar ek mzigo mkubwa nimeshaupokea hata kabla haujamaliza kuload
🙏🙏🙏🤣🤣
@@mtangacomedy Mkuu Mungu akuenue akulinde akuhifadhi na akupe umri wenye kheyr kwako na kwetu ili uzidi kutufurahisha
🤣🤣 🤣 mdeni kageuka mdaiwa chezea Mtanga wewe utarudisha chenji hapo Bambo
Hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mhh hahaha
😅😅😅
Saf
😂
🤣🤣🤣
nawakubali xana mtango
🤣🤣🤣🔥🇿🇦
😂😂😂😂