PATANISHO: ANATAKA KUWA KINGPIN WA FAMILIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Join this channel to get access to perks:
    / @radiojambokenyaofficial
    Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
    #RadioJamboKenya
    Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
    Mitandao ya Kijamii
    Instagram - rb.gy/e154d1
    Facebook - rb.gy/09d1b9
    Twitter - rb.gy/e23220

ความคิดเห็น • 11

  • @emilywangui
    @emilywangui 16 วันที่ผ่านมา +10

    Hii dunia aki 😢kuna sisi orphans tunaomba wazazi wetu wagekuwa hai 😢watoto wajeni kiburi...you will never know the value of something until you lose it 😢😢😢

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 16 วันที่ผ่านมา +1

      Lakini saa zingine wazazi huiingilia sana maisha ya watoto wao ,kijana wa miaka 32 bado unamfuata na masharti.

    • @SharoEmmanuel-n4f
      @SharoEmmanuel-n4f 16 วันที่ผ่านมา

      Kweli kbs kama hayajakukuta unaweza kulaumu​@@mwendapoleee

    • @wangagirl3508
      @wangagirl3508 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@mwendapoleeetrue saa zengine wache watoto wajitfta wanajua too

  • @AnnShiruann
    @AnnShiruann 11 วันที่ผ่านมา +2

    Akuje nimuzalie aki

  • @rachelmuch5788
    @rachelmuch5788 9 วันที่ผ่านมา

    Huyu Kijana yuko na Kiburi Dunia itakufunza

  • @irineadisa7289
    @irineadisa7289 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu angekua babangu nakwambia ungeenda one way hungerudi hapo kwa boma.Thank God ako na baba mzuri

  • @Marsricardo2
    @Marsricardo2 16 วันที่ผ่านมา +2

    War heri yeye anakumbaliwa kwa hiyo familia wegine wakiachwa na wazazi wanaambiangwa washike njia dunia ni kubwa

  • @sabatoager
    @sabatoager 15 วันที่ผ่านมา

    ndoa ndoano

  • @Edgybhthjklew
    @Edgybhthjklew 16 วันที่ผ่านมา

    Hii ya lei nayo sinaskia kitu Mzee haskiki akijieleza na simu alipokea na akaskika vizuri ama shinda ni simu yangu

  • @mrsk4860
    @mrsk4860 16 วันที่ผ่านมา

    Kula kukj🤣🤣