Viongozi timamu wa Simba wapo kwenye nafasi ya kusaidia kuokoa career ya Chasambi na mashabiki timamu pia tuna nafasi ya kumsaidia dogo kwa kumuunga mkono kama ambavyo tumesamehe akina Che Malone huyu pia ni wa kwetu inafaa tumsaidie kupata confidence iliyoshake baada ya tukio la leo
Clouds sasaiv mko kiushabik na mna pambana kuficha madhaifu ya simba sasa kuficha ugonjwa haijawai kua dawa zaidi ina complicate tu tatizo. Kwaivo hamtaki kusema ukweli kwamba camara alipaswa kufanya better
Haka kajamaa ka Ali Kamwe kana roho mbaya sijui tuseme akili mbaya haya masuala ya kuatack personalities anafanya sana just kwa kuwa nyuma yake iko timu ya Yanga na haimuonyi kwa lolote na hakuna wa kumfanya lolote but I'm sure Ladakh angekuwa nduguye asingefanya hivyo cause hii ni kumchongea na kumtoa dogo mchezoni whereby dogo ana mengi anayoweza kuchangia kwa taifa in future but Kamwe anajifikiria yeye tu na anachofanya sio utani ila defamation directly au indirect sio sahihi hata kidogo tania kuhusu simba no one will say nothing but ukishambulia personel sio sawa huyu dogo atakuwa kwenye wakati ngumu sana na chapisho lake linachangia
CHASAMBI TUMEKUSAMEHE MAANA MPILA NI MCHEZO WENYE MAKOSA. UBAYA UBWELA 🦁🦁🦁 MALENGO YETU YAPO PALE PALE TU 💯✅
Viongozi timamu wa Simba wapo kwenye nafasi ya kusaidia kuokoa career ya Chasambi na mashabiki timamu pia tuna nafasi ya kumsaidia dogo kwa kumuunga mkono kama ambavyo tumesamehe akina Che Malone huyu pia ni wa kwetu inafaa tumsaidie kupata confidence iliyoshake baada ya tukio la leo
Mistake si kwa kupiga shuti lile ni makusudi tu.
Chasambi apumzishwe kwa muda mrefu hili ajifunze
Kwa hiyo asipongezwe!!! Imekuuma😂😂😂😂 Mchambuzi eti ally kamponza! Chambua namna ya kuwafurahisha simba ili ufute pongezi za ally
Clouds sasaiv mko kiushabik na mna pambana kuficha madhaifu ya simba sasa kuficha ugonjwa haijawai kua dawa zaidi ina complicate tu tatizo. Kwaivo hamtaki kusema ukweli kwamba camara alipaswa kufanya better
Acheni ujinga! Effect ya mchezaji wa Simba inahusu nini furaha za yanga????? 😂😂😂
Clouds niwaambie chambua mpira sio makosa semen ukwel simba wamesajil rika la kitoto ndo mana sio kukosoa
Hakuna fair result
Undeserved result.
Kafanya makusubi
Chasambi ni tatizo simba kwanza kiakili na kiukomavu na kishabiki achunguzwe na ushauriwe ama aondoke ama aache ujinga
Cku zote majuto ni mjukuu je ingefanikiwa pasi yake hapo msingechambua acheni ushenzi thats why mpira ni mchezo wa makosa
Duuuhh Dogo ana roho mbaya kichizi sasa Ali kamwe kakosea nini??? Wewe ndio mwenye ROHO NYEUSI NA LAZIMA UTAKUWA MCHAWI....
IMEWAINGIA MPAKA WACHAMBUZI WA MCHONGO NA BADO....😂😂😂😂
Haka kajamaa ka Ali Kamwe kana roho mbaya sijui tuseme akili mbaya haya masuala ya kuatack personalities anafanya sana just kwa kuwa nyuma yake iko timu ya Yanga na haimuonyi kwa lolote na hakuna wa kumfanya lolote but I'm sure Ladakh angekuwa nduguye asingefanya hivyo cause hii ni kumchongea na kumtoa dogo mchezoni whereby dogo ana mengi anayoweza kuchangia kwa taifa in future but Kamwe anajifikiria yeye tu na anachofanya sio utani ila defamation directly au indirect sio sahihi hata kidogo tania kuhusu simba no one will say nothing but ukishambulia personel sio sawa huyu dogo atakuwa kwenye wakati ngumu sana na chapisho lake linachangia
Imekuingia hee kaa hivyo hivyo usitingishike......😂😂😂