He talk rubbish full of liar and hypocrite....how uu know how to withdraw?? But revise uu don't know ?? ...its only to ask mpesa shop idiots foolish man
Wah ,siwezi tuma hata bob nkikumbuka nlituma pesa wrong no.after kumpigia simu nkimwambia ni za hospitali za mum akaniambia ningoje afe nkalilie kwa kaburi yake😢,ile uchungu nmeskia kuona huyu hapa eti alikula pesa ya mtu😮
Nilitumiwa 11k 2016 na mtu kutoka mombasa nikazima simu after 30 minutes nikafungua mzee akakol akasema ametuma doo wrong number alikua anatumia mgonjwa nilimrudishia mara hiyo hiyo...juu siezi jua myb hiyo doo ilikua itumwe isave live ya mtu
100/ i support you Kriss uko tu na story poa kwa channel yako na very good and insprial, wachana na wale wanasema uko na kiswahili ya kikuyu, we are 47 counties and many tribes, those who don't understand Kikuyu we enjoy your Swahili content
I know Sigei, we grew up together in the same village, went to the same schools, and even got circumcised the same day together. He was a conman even when we were children. He scammed my grandmother Cheptoo out of her 6 cows and 4 chickens. He perfected the art of Bottoms Up before Ruto.
Na iwe funzo kwa wale ambao wanakula jasho la wenyewe bila kujali hizo pesa zilikuwa za kusudi gani . Labda mwenye alikuwa ametumiwa hizo pesa alikuwa na mgonjwa, lipa deni baba kata kipande cha shamba Uuze wacha kusumbua wakenya na mwimba wa kujitakia! 😏😏😏
This should be a lesson to many.. I was called my sister akiwa admitted hosi I sent some cash by panic I typed 1 nr wrong pesa ikaenda tu hivyo the person accepted and said she will refund up to now. I left her to God...pls Lipa pesa na your own sweat hakuna kuchangiwa... chukua loan utalipa pole pole...robbery with no violence you deserve yo be in prison like other thieves.
This is so wrong my friend send 180,000 to the wrong number meant for hospital bill and he went mute never answer the phone hope he's the one going through all this haki iliniuma sana.
I sent money to my sister old number which she lost. The person who received the money spent it and when he found out I was calling to get a refund he turned off the phone . It was someone from the Rift valley region.
I think the only way for him to redeem himself is to work and pay the money back himself. If we pay it for him, it's not going to reverse the curse. Its only his own sweat that can redeem him. We can help him, but the money we send shouldn't be used to repay the guy. He can use it to feed or clothe his family
I agree the guy is lying. He needs to sweat, earn money and pay the stolen debt. Nothing is convincing from this guy. He's an outright liar thief. An apology is not a solution. Let him pay and then apologise. "You cannot have your cake and eat it".
Imagine ata hana aibu.angelipa kitambo.this man.is joking he doesn't habe the person's number how can people trust he won't rst the money again?his story doesn't make sense 2years ago?angefanya ata harambee with family 39.
I have made that mistake of sending cash to wrong number,but upon realizing and phoning to get back my cash....simu Dio hiyo imezimwa, it really pains me so much....hiyo pesa hainanga baraka maana ni wizi.
Kriss don't ask the public to help that man he is a thief, how can he spend someone else money then ask for help. He is a thief and shouldn't get help at all.
Wewe mkora usituletee...mwenye alituma pesa ukatumia,ilikuwa jasho yake.sasa pia wewe enda ufanye kazi kama yeye umurudishie pesa.hakuna vile utatumia jasho yetu kulipa pesa yenye uliiba.....next time ata ukiwa na shida ipi,usijaribu kuguza kitu ya mtu mwingine....you have learnt it the hard way.
Hope the stranger is listening and forgive him .but what I know life is spiritual and people need to watch out what they do to others some things comes back to you .I know someone who took someone 10k she stole from him she was told to return the cash she said she can't but today what that lady goes through only God will come for her rescue
I sent 5k kwa wrong number na ilikua ya skulfees, you woman ukazima simu, my dota was sent home from embu to kiambu😢, nkagaramikia fare plus kutafta fees, nlikuachia mungu
Tunafanyanga makosa mingi sana na tunaenda mbele za mwenyezi mungu anatusamehe hii kosa yako mungu ata kusamehe kosa si kosa,kosa ni kurudia .kuomba msamaha ni kitu ya mahana
Wengi huwa hawarudushi.....hata mimi ninewahi tuma soo tano kwa demu najua aliniambia tu eti alikuwa na fuliza na ishachukukiwa so hakuna vile anaweza nisaidia.....mpaka wa leo nalia.....she will never know peace and najua hatawai kumbuka
I sense no remorse in this guy. The only reason he is speaking up and seeking help is because of the misfortune that befell him, I don't see him taking accountability for his action. He hopes to pay back , but not from his own resources.
this year a friend of mine was sending money for hospital bill 86k akakosea one number..the guy he sent money akakataa kurudisha hata akiwa amemshow achukue 10k amrudishie 76k...all she told that guy was nakuachia Mungu machozi utalia in future and the guy laughed..i hope he sees this..
Mary Nkirote Mweni , you took my 67000Ksh. May you never have peace in your life. May that money haunt you forever because it doesn’t carry your blessings but only curses in your life
Go to any prison and see if any inmate likes the prosecutor in the case that jailed them. Satan is the prosecutor in our lives. He uses our wrong doings (sins) to imprison us and cause us afflictions. Sigei is suffering from breaking the commandment against stealing.
Hope my blood sisters and brothers wanasikia, they've been stealing from me yet parents wanawatetea,huku nje leave people's things alone,I don't feel sorry for this thief
I honestly know the pain of sending money wrongly to someone I sent a whole terms school fees to a lady and she withdrew the money within 5minutes and that's how I lost my 25k
Siwezi kula jasho ya mtu mm na mungu amenibariki na kila kitu...juzi nlitumiwa 220 na nkarefund coz sijui ni nani na nko gulf so maybe alijaribu kunical haingii but kama sikua natarajia pesa kutoka pahali siwezi kula
Kwanza mimi juzi tu nilituma bahati mbaya ikaingia kwa jina " Sally sawe " ata kutuma reverse hiyo pesa ilikuwa imeenda huyo mtu alizima simu atambanda ya kufungua alikataa kupick call zangu .no pity for people like these it's painful
I know this guy he used to be my customer wa chai na chapo hapo westie asubuhi na mapema together with some of his crew.. Whatever he did knowingly was wrong.. Nimetumiwa pesa mara mingi sana by mistake kwanza times nimesota na haijawahi click nikule jasho la mtu i always reverse. Wacha nikae na shinda zangu . Recently in my shop a certain guy sent money by mistake and he tried to beg the recipient to reverse and the recipient refused. The guy was so agitated and then he removed a 50 note shilling in wallet akairarua mara nne na akaitupa akaenda akaiwacha kwa barabara . Chokora flani akakuja akaiokota akaenda nayo. I don't know what happened to the person who ate the money sent to him by mistake but i bet kuna kitu ilihapen kwake yenye hata watu wao hawajui. Maybe hata yeye ashakuwa kama chokora mwenye aliokota hiyo 50 ilikatwakatwa na ikatupwa.. People know alot out here sio kila mtu uta hurt ama ukule jasho yake akuachie God ama karma.. Life is spiritual..
Punishment for sins.Lazima you suffer so that next time dont steal.Take this opportunity to free yourself.call the person,make a pledge na umwombe msamaha.mwombe akuruhusu kwa moyo wake akupe muda fulani umlipe hadi umalize iyo pesa.Pesa za watu achana nazo.Theres a way out.Badilisha njia zako na uachane na mambo ya conning.kuwa mwaminifu na Mungu atakupigania.
My sister sent 20000= for funeral of our nephew and because of panic she sent it wrongly. I told her the money is not yet but when she checked it went to a lady and she called her and explained to her what if meant for, sh we told my sister she had FuLiZA of 10000= and she refunded 10000= only. She did not care but my sister forgave her and we had a lot of money problems. Many 49:35 people don’t want to refund . money sent wrongly.
@@patriciakavata5037 imagine that’s what she told my sister. We had to buy a coffin of my nephew for that 20000= but the woman refused with 10000= . Imagine at this economic hardship we had to look for other alternative but we managed. Imagine that woman told my sister ati ni Mungu amemtumia ! I was shocked. I don’t think there was that kind debt from fuliza .
Ripa pesa ya wenyewe kama mwenyewe arienda kwamunganga he has a ringle ground razima kikurabe Good is a God of justice it does not matter who is on the right justice will be provided
I once sent money from my kcb account to a person and he didn't withdraw....kcb reversed it...... people should stop being greedy oh.... don't eat what does not belong to you ......Let him pay back the money and it should serve as a lesson to him and like-minded people
Bro sell a piece of land and pay that money. Dawa ya deni ni kulipa. The bible says you should be faithful you choose to be mkora. For you to have peace please pay the money n next time ogopa pesa ya wenyewe. Otherwise wait for more trouble nani. Again hii story has alot of twists. Anyway good luck nani
Hapo kwa kukula pesa ya mtu kwa mpesa is not making sense to me. Why couldn't he then explain to the sender that fuliza imekata this much and organize with the sender on how to send the balance back or to the intended reciever.
Kelele tuu ,Huyu alikua na intention ya kuiba,it was very intentional,Ata akipewa atakula tuu. ATI MSAMAHA PAY PESA YA WATUUZA NGOMBE N PAY OTHERWISE UJALIA HARAMU NI MBAYA
@@linetgraciah4724Huyu ni mwizi, mbona achangiwe?? Kama hangepatwa na haya masaibu anasema hangetafuta Chris Mwangi. Auze ng'ombe au point ya shamba arudishe pesa za wenyewe.
It is so painful for somebody to eat your money. It is robbery without violence.
Hello Kubo,how are you doing
You didn't know how to reverse yet you know how to spend it
Hizo ngombe ako nazo olenguruoni si auze akalipe hizo pesa jamani
He used someone's money and he comes here to lament????? he's dishonest. Was it not for the problems facing him,he would never think of refunding.
You are right
Good that he has come out to speak about it, so that others can learn from him. I also lost 96k, the guy withdrew and switched off the phone.
Ukweli kabisaaaaa
Apambane na hali yake.Siwezi Kula hizo pesa zote.Hiyo ni ulafi.
absolutely
No comment. Ati achangiwe for using someone's money. Mwangi ugatwonia uhoro.ici ni ngano cia marimu. 😂
Huyu man sioni kama anaogea ukweli
That's a cooked story...
He talk rubbish full of liar and hypocrite....how uu know how to withdraw?? But revise uu don't know ?? ...its only to ask mpesa shop idiots foolish man
Pesa Kama hizo ukitaka peace, omba kazi sweat for that money and pay the owner.
He did
Be truthful. Truth will set you free and do the right things
Wah ,siwezi tuma hata bob nkikumbuka nlituma pesa wrong no.after kumpigia simu nkimwambia ni za hospitali za mum akaniambia ningoje afe nkalilie kwa kaburi yake😢,ile uchungu nmeskia kuona huyu hapa eti alikula pesa ya mtu😮
beshte yangu alituma 86k za hosi na ilikuwa ya hosi na imagn ni huku gulf..
That was devilish
I did the same sending monies to wrong account. The person build a house and the man was for chama .I almost died of pressure
Nilitumiwa 11k 2016 na mtu kutoka mombasa nikazima simu after 30 minutes nikafungua mzee akakol akasema ametuma doo wrong number alikua anatumia mgonjwa nilimrudishia mara hiyo hiyo...juu siezi jua myb hiyo doo ilikua itumwe isave live ya mtu
You did good
Kwa nini achangiwe? He should feel the pinch by paying. In future he wil stay away from what is not his
Constance kibore you received my money , used it not even a dime.. My God will fight for me.. mwizi weewe
100/ i support you Kriss uko tu na story poa kwa channel yako na very good and insprial, wachana na wale wanasema uko na kiswahili ya kikuyu, we are 47 counties and many tribes, those who don't understand Kikuyu we enjoy your Swahili content
every tribe has its accent.imagine akianza kuongea Kikuyu we can't watch
I know Sigei, we grew up together in the same village, went to the same schools, and even got circumcised the same day together. He was a conman even when we were children. He scammed my grandmother Cheptoo out of her 6 cows and 4 chickens. He perfected the art of Bottoms Up before Ruto.
Wueh😮😮
😮
are you for sure?
Really??
@@saitabaujames22am sure.
Na iwe funzo kwa wale ambao wanakula jasho la wenyewe bila kujali hizo pesa zilikuwa za kusudi gani . Labda mwenye alikuwa ametumiwa hizo pesa alikuwa na mgonjwa, lipa deni baba kata kipande cha shamba Uuze wacha kusumbua wakenya na mwimba wa kujitakia! 😏😏😏
Wakale wanakuwanga na ngombe zaidi ya moja mbili, auze ngombe moja alipe deni.
Serves him right!!! Wacha ikawe funzo kwake na wengineo.
😂😂😂😂 I am speechless. What's done in secret will show in public.
This should be a lesson to many.. I was called my sister akiwa admitted hosi I sent some cash by panic I typed 1 nr wrong pesa ikaenda tu hivyo the person accepted and said she will refund up to now. I left her to God...pls Lipa pesa na your own sweat hakuna kuchangiwa... chukua loan utalipa pole pole...robbery with no violence you deserve yo be in prison like other thieves.
Me too
Mimi nilitumia mtu akasema atarudisa mpaka wa.leo yangu hajawai rudisa
This is so wrong my friend send 180,000 to the wrong number meant for hospital bill and he went mute never answer the phone hope he's the one going through all this haki iliniuma sana.
I sent money to my sister old number which she lost. The person who received the money spent it and when he found out I was calling to get a refund he turned off the phone . It was someone from the Rift valley region.
I have lost money in the same way and it is really very painful. This money was mean to help someone who was in dire need.
Me too
I send a whole school fee to a kcb client up to date I have never received back my 25k
It's painful
I think the only way for him to redeem himself is to work and pay the money back himself. If we pay it for him, it's not going to reverse the curse. Its only his own sweat that can redeem him. We can help him, but the money we send shouldn't be used to repay the guy. He can use it to feed or clothe his family
Correct!
Right. Spiritually understanding!
Exactly!
Also he should work hard to pay back the cash so that he can feel apinch of the easily aquired money and asweat money!
I agree the guy is lying. He needs to sweat, earn money and pay the stolen debt. Nothing is convincing from this guy. He's an outright liar thief. An apology is not a solution. Let him pay and then apologise. "You cannot have your cake and eat it".
😂😂😂😂zakayo wako wengi,wanataka kushuka kwenye mkuyu lakini mungu nae ni nani,,,uza shamba ulipe deni buana ulikula pekee
This wasn't necessary to air, let him fix his own mess. He knew to withdraw and send but not to the rightfully owner.
Siwezi ata msaidia shindwe !!! I Faced this too someone withdrew my money for hospital
Wacha aende auze ngombe alipe izo pesa,kunawatu wengine wako na mashida hiii nayo !!
Tell that man to sell his property and pay that debt.....he should pay the debt using his own sweat in order to liberate himself from the curse
Ni uchungu sana.mtu alikula pesa yangu haki nakubukaga mpaka Leo.
Alidhania aliangukia.line Gani inafungwa na kcb bank?total lies
Him paying back the money is not a priority
Can you interview the wife because this guy is lying. If his situation is that bad he could have sold the land or the cow . He just want easy money .
U said it write
I feel so too
Amesema ati alimpigia may,then akasema hana number
I second you,his wife needs to be interviewed
Akasema ana ngombe, alipoambiwa auze alipe deni akasema sio yake😂
Ukule pesa ya mwenyewe then ukuje kusumbua watu wakuchangie?Shame on you beba mzigo wako
Thought the same
Imagine ata hana aibu.angelipa kitambo.this man.is joking he doesn't habe the person's number how can people trust he won't rst the money again?his story doesn't make sense 2years ago?angefanya ata harambee with family 39.
I have made that mistake of sending cash to wrong number,but upon realizing and phoning to get back my cash....simu Dio hiyo imezimwa, it really pains me so much....hiyo pesa hainanga baraka maana ni wizi.
Kriss don't ask the public to help that man he is a thief, how can he spend someone else money then ask for help.
He is a thief and shouldn't get help at all.
He is a thief..he need people number to steal..mkoraa man makozaaa
Wewe mkora usituletee...mwenye alituma pesa ukatumia,ilikuwa jasho yake.sasa pia wewe enda ufanye kazi kama yeye umurudishie pesa.hakuna vile utatumia jasho yetu kulipa pesa yenye uliiba.....next time ata ukiwa na shida ipi,usijaribu kuguza kitu ya mtu mwingine....you have learnt it the hard way.
The effect of Joshua's sweat is as sweet as that.Hope u are enjoying it now.
Wakalee ni watapelii they dont pay never
Wacha ukabila mdm...ni sigei aligula hiyo pesa ..c wakalee sawa
umesema ukweli
You will never settle ukikula jasho ya mtu. Labdo hiyo pesa ilikuwa ya chakula, school fees ama basic needs including deni
Hope the stranger is listening and forgive him .but what I know life is spiritual and people need to watch out what they do to others some things comes back to you .I know someone who took someone 10k she stole from him she was told to return the cash she said she can't but today what that lady goes through only God will come for her rescue
Stop lying pay up . Kwwerrah
He should return the money first.
Pay to ceaser what belongs to ceaser and pay to God what belongs to God.
Hii si ile ya forgive me plz. Let him pay na interest plus damages
@@gracendungwa9211 sure coz people have taken others for granted
At least he was man enough to admit he made a grievous mistake...let's not judge him too harshly
Dawa ya deni ni kulipa not manning up alone.
He admit kwa malipo Yale amepata na bado , anajua yale alipitishia mwenye pesa? Hata akilipa haiwezi fanya kaz ile ilikua ifanye
Nobody is judging him...watu wanamwambia Tu ukweli.
1. pay back the money 2. ask for forgiveness for that person 3. pray to God so that He can forgive your sins
Good advice I second
Lipa ndeni ya wenyewe.
I sent 5k kwa wrong number na ilikua ya skulfees, you woman ukazima simu, my dota was sent home from embu to kiambu😢, nkagaramikia fare plus kutafta fees, nlikuachia mungu
Enda Kwa mganga kama Odongo
Why can’t he sell a piece of land and repay?..39 k ni point moja tu ya shamba na akule zenye zinabaki
Even to all scammer your days is coming
Walai,,,kwanza kuna mwenye alinicorn nikiwa shule,,,mungu anamuona
Including those wa kula fare.😊
Mbwa
Wale wanatumia pesa sent to them by mistake, come and listen to this testimony 😭
😅😅😅😅lipa mashida zako usituleteeeeee😮😮😮😮koko
Tunafanyanga makosa mingi sana na tunaenda mbele za mwenyezi mungu anatusamehe hii kosa yako mungu ata kusamehe kosa si kosa,kosa ni kurudia .kuomba msamaha ni kitu ya mahana
May God forgive you and may He provide the money so that you can pay
U reminded me of one man who ate all my salary in 2022 I was transacting from equity to mpesa that month kama nilisurvive God is great.
You have learnt a good lesson you will never use sometimes money again
Kuna agent anaitwa jospine alikula 50k zangu sijawai muanika nilimwachia mungu pesa yangu ya saudi 😢😢😢 ya 2020 😢😢😢😢 nilisema hatanitafuta ,
Ghai vile ukuu kazi ningumu,funga nakuomba MUNGU amuone
Forgiveness is one thing and paying the debt is another.
Wengi huwa hawarudushi.....hata mimi ninewahi tuma soo tano kwa demu najua aliniambia tu eti alikuwa na fuliza na ishachukukiwa so hakuna vile anaweza nisaidia.....mpaka wa leo nalia.....she will never know peace and najua hatawai kumbuka
I sense no remorse in this guy. The only reason he is speaking up and seeking help is because of the misfortune that befell him, I don't see him taking accountability for his action.
He hopes to pay back , but not from his own resources.
I agree with you
Kuna kaukweli hapa pesa za wenyewe ni mbaya inaweza kukuangaisha ushikwe na wazimu
I disagree
The cow is his ,if not he would have disclosed that earlier. Once cornered he formulates a new lie lol
@@florencenjoki4822 he has asked for a job so is that a problem too?
this year a friend of mine was sending money for hospital bill 86k akakosea one number..the guy he sent money akakataa kurudisha hata akiwa amemshow achukue 10k amrudishie 76k...all she told that guy was nakuachia Mungu machozi utalia in future and the guy laughed..i hope he sees this..
Pole sana
😢😢😢😢🤔🤔🤔🤔
@@everlyneiminza5722 kwanza ni dem anawork saudi thats almost 3 months money
That laughter siku moja atalia na kusaga meno, na atakumbuka kuna pesa za mgonjwa alikula.
Kitamramba...already he's suffering
Sigei just needs to get a loan and pay that money to get release from financial psychological and spiritual bondage
It was Zachaeus, the taxi collector that Jesus called and his sins were forgiven but he refunded what he had taken from people.
Mary Nkirote Mweni , you took my 67000Ksh. May you never have peace in your life. May that money haunt you forever because it doesn’t carry your blessings but only curses in your life
Ndio tunaambiwa ,wale hawajui wanganga tuwe tunatoa tithes ndio zikule wanao kula pesa Yetu.
I dont know why people blame satan on their wrong doings
Satan is there but usikubali akutumie ,
Go to any prison and see if any inmate likes the prosecutor in the case that jailed them. Satan is the prosecutor in our lives. He uses our wrong doings (sins) to imprison us and cause us afflictions. Sigei is suffering from breaking the commandment against stealing.
Mwas press on,,,tuko pamoja,hata nime subscribe
God is merciful seek forgiveness and refund the money back Sigei and it shall be well with you.
Seeing this today after sending money this week to Peter nganga muthoni ,,na hajarudisha ,,,nimekuachia tu mungu peter
Huyu anadanganya,aliona ameomoka akatumia,sasa wacha akipate.Hata maybe alisima simu alipozitumia,wacha ajue mjaluo sio wa kuchezewa.
Patrick Kimanthi may you never know peace, this people mesh one big time.
Mimi nlitumiwa 15k 2020 na nkarudisha,na nlikuwa nashida ya pesa juu ata sikuwa nimelipa rent.
Mi nimetumiwa mara mingi sana but mi hurudisha usikule kitu ya mtu haramu
Don't put devil here you made a choice to use the cash let the truth be told
Hope my blood sisters and brothers wanasikia, they've been stealing from me yet parents wanawatetea,huku nje leave people's things alone,I don't feel sorry for this thief
Hio mguu ikatwe
I honestly know the pain of sending money wrongly to someone I sent a whole terms school fees to a lady and she withdrew the money within 5minutes and that's how I lost my 25k
😢
women can con her fellow woman wah
They do it without sympathy.Also sent to wrong number,no reverse .Karma is real.
@@francisodawa8939 it's a rotten world 🌎
WHEN I READ THE THUMBNAIL, I THOUGH ALIRUDISHA PESA KITAMBO AFTER LIFE KUMRAMBA, KUMBE HATA NDURURU HAJAPEANA. BURE HII KAMKALE
I feel like this man is hiding lots of information
I like your spirit mwagii kiswahili sanaa channganya yote💚💚
Wee! Uyo mtu anajua chenye anatafuta si kulipa dene
Siwezi kula jasho ya mtu mm na mungu amenibariki na kila kitu...juzi nlitumiwa 220 na nkarefund coz sijui ni nani na nko gulf so maybe alijaribu kunical haingii but kama sikua natarajia pesa kutoka pahali siwezi kula
Huyu ni mwongo alisema u reverse pesa aje na si wewe ulikua umetuma, si ulikua umtumie mwenye alifaa kutumiwa wewe lipa pesa ya mwenyewe
Na aache kusema asaidiwe na wakenya, auze ngombe alipe hizo pesa.
WHEN SOMEONE IS LYING, YOU CAN EASILY TELL. DONT STEAL AND TELL US THAT YOU WERE UNABLE TO RETURN THE LOOT
Kwanza mimi juzi tu nilituma bahati mbaya ikaingia kwa jina " Sally sawe " ata kutuma reverse hiyo pesa ilikuwa imeenda huyo mtu alizima simu atambanda ya kufungua alikataa kupick call zangu .no pity for people like these it's painful
😂😂😂😂❤
Mimi early this month nilituma 34120 kwa Harrison mutiso kwa kukosa no moja alitransfer mara hiyo sijaheal
Tamaa ya pesa za wenyewe watu waache ,alipangia pesa za wenyewe ,Wacha ikuje lesson kwa wenye hiyo tambia ,na ulipe haraka kabla mufirisike
Alot of noise in the background
Kila mtu abebe mzigo yake mwenyewe.
Its painful abebe msalamba yake na alipe na mwenye alikua nae , imgn anajua mwenye pesa niwa kibira , akwedeee na huko na bado kichapo atapatana nayo
Last year I got money, in my mpesa, I did not take time but, reversed that evening.
@@wandiaflorence7712mimi siwezi tumia pesa za kutumiwa hivo
I know this guy he used to be my customer wa chai na chapo hapo westie asubuhi na mapema together with some of his crew..
Whatever he did knowingly was wrong..
Nimetumiwa pesa mara mingi sana by mistake kwanza times nimesota na haijawahi click nikule jasho la mtu i always reverse.
Wacha nikae na shinda zangu .
Recently in my shop a certain guy sent money by mistake and he tried to beg the recipient to reverse and the recipient refused.
The guy was so agitated and then he removed a 50 note shilling in wallet akairarua mara nne na akaitupa akaenda akaiwacha kwa barabara .
Chokora flani akakuja akaiokota akaenda nayo.
I don't know what happened to the person who ate the money sent to him by mistake but i bet kuna kitu ilihapen kwake yenye hata watu wao hawajui.
Maybe hata yeye ashakuwa kama chokora mwenye aliokota hiyo 50 ilikatwakatwa na ikatupwa..
People know alot out here sio kila mtu uta hurt ama ukule jasho yake akuachie God ama karma..
Life is spiritual..
People always take mine,but mimi hurudisha, sitaki lawama, it's the best thing to do, people like easy things, it's so wrong
Exactly 💯,
Punishment for sins.Lazima you suffer so that next time dont steal.Take this opportunity to free yourself.call the person,make a pledge na umwombe msamaha.mwombe akuruhusu kwa moyo wake akupe muda fulani umlipe hadi umalize iyo pesa.Pesa za watu achana nazo.Theres a way out.Badilisha njia zako na uachane na mambo ya conning.kuwa mwaminifu na Mungu atakupigania.
Kindly consider using english as well. We are different nationals listening to your educative programs. MOSES from Zambia
This is guy is not even remorseful about what he did.Wangechanga kwao nyumbani wapate hiyo pesa.
This man is not opening
My sister sent 20000= for funeral of our nephew and because of panic she sent it wrongly. I told her the money is not yet but when she checked it went to a lady and she called her and explained to her what if meant for, sh we told my sister she had FuLiZA of 10000= and she refunded 10000= only. She did not care but my sister forgave her and we had a lot of money problems. Many 49:35 people don’t want to refund . money sent wrongly.
Is 10k fuliza possible really?
@@patriciakavata5037 imagine that’s what she told my sister. We had to buy a coffin of my nephew for that 20000= but the woman refused with 10000= . Imagine at this economic hardship we had to look for other alternative but we managed. Imagine that woman told my sister ati ni Mungu amemtumia ! I was shocked. I don’t think there was that kind debt from fuliza .
Sasa ukikula pesa ya mtu 39,000 yote unakuja kulilia nani akusaidie urudishe.tafuta mwenye pesa ukamuombe msamaha huko kibera
Exactly, Kenya life imekua ngumu adi sai watu wana mek stories aki
Asaidiwe kulipa pesa za wenyewe na walikula na bibi,si wauze ng'ombe walipe
Ripa pesa ya wenyewe kama mwenyewe arienda kwamunganga he has a ringle ground razima kikurabe Good is a God of justice it does not matter who is on the right justice will be provided
We miss home when we hear this ascent. Diaspora
Hii stori Iko complected
Wewe ni mkora wa kawaida
It is the money bringing the death. Life is spiritual. Amejiuza kwa laana. Itabidi amefanya confession, pole ... it is a curse
@Riaga ,wacha kula pesa za watu 😢
I once sent money from my kcb account to a person and he didn't withdraw....kcb reversed it...... people should stop being greedy oh.... don't eat what does not belong to you ......Let him pay back the money and it should serve as a lesson to him and like-minded people
Hapo mm siyuko ulikula pekee yako lipa deni!! Baba 😂😂😂😂
Sasa anataka tumsaidie aje na alikatazwa na bibi yake warudishe aka kataa
Kriss wachana huyo mtu ni mkora,hachukuliwe hatua hafungwe.
When he was ask about the cow that’s where i see he is lying because he said it belongs to a friend
Yes he is a liar 😢
Kabisa
Which friend forfeits his cow, Kwanza ikiwa na mimba ati ndio bestie Yake afaidike?????? Sisi si wajinga buana!😂💦
Aliona ameangukia hakuona kitu itahappen now let him learn the hard way
Haha!....Mwangi never mind, every tribe has their bell ..languages...kizungu ilikuja na meli, and kiswahili imetoka Mombasa.
Bro sell a piece of land and pay that money. Dawa ya deni ni kulipa. The bible says you should be faithful you choose to be mkora. For you to have peace please pay the money n next time ogopa pesa ya wenyewe. Otherwise wait for more trouble nani. Again hii story has alot of twists. Anyway good luck nani
AMA auze ngombe 😂😂😂😂😂
How much are we talking about? Huyu host ata hajui kuuliza maswali watazamaji waelewe.. what a boring discussion
Ashasema ni 39k jamani
Never used money sent to wrongly karma is real just refund it little by little
Hapo kwa kukula pesa ya mtu kwa mpesa is not making sense to me. Why couldn't he then explain to the sender that fuliza imekata this much and organize with the sender on how to send the balance back or to the intended reciever.
Kelele tuu ,Huyu alikua na intention ya kuiba,it was very intentional,Ata akipewa atakula tuu. ATI MSAMAHA PAY PESA YA WATUUZA NGOMBE N PAY OTHERWISE UJALIA HARAMU NI MBAYA
Huyu hakai kulipa deni.akichangiwa atatumia tu
@@linetgraciah4724Huyu ni mwizi, mbona achangiwe?? Kama hangepatwa na haya masaibu anasema hangetafuta Chris Mwangi. Auze ng'ombe au point ya shamba arudishe pesa za wenyewe.
Kriss ebu fuatilia hii stori coz mi naona ukora hapa