I onced dated a man like this ,anajua bibilia yote anakuombea by force na kukufanyia deliverance kila saa ati ameona pepo , usipoanguka wakati wa deliverance anakuchapa makofi Sasa nilikua nafake kuzuia kuchapwa 😅 huezi hata kohoa kwa nyumba anakuuliza unakohoa vibaya aje , anakuambia familia yenu watakuibia nyota , he even went father juu alikua jobless kumeet my bro akidrive akasema yeye ndio alisucrifice mamangu , jameni jaribu kuimba jikoni ukipika unawekelewa Kofi, door bell ikilia one second mlango inagongwa buti ...siku nilitoka nilitembea mguu for 2 km bila.kuchoka yaani nibreath tu hewa Safi, nlikua nakaa chizi kwa barabara yaani naskia poa nkama nmetoka kamiti ...niliwacha kila kitu, alingangana juu alikua former polisi kuni threaten ntill I opted kutoka nko Lebanon ndio akawachana na mimi ..I thanks God am much better
Nimekuwombeya kwa Muumba wetu Mungu, akufunguliye njiya njema upate watoto wako wasichana na wavulana. Mungu akupe ikitakacho. Bado uko mudogo uwe na imani. Usiogope kupata mutoto ama watoto ata kama baba yawo hatakuwa tayali kukusayidiya kuwareya. Una uwezo. Arakini uwo wakati ukifika, uyo jama akitokeya atakuwa wa kikweri mwanangu. Kuwa na Imani. Funguka na ugicanganye na watu upate marafiki. Tembeya uku na kure. Gitowe uwoga urio ingizwa na uyo mwananume. Wa ayina iyo hana future. Usigifanye watu wakuogope
It's true what she says that it's better to have your own company than have friends who are fake.
I onced dated a man like this ,anajua bibilia yote anakuombea by force na kukufanyia deliverance kila saa ati ameona pepo , usipoanguka wakati wa deliverance anakuchapa makofi Sasa nilikua nafake kuzuia kuchapwa 😅 huezi hata kohoa kwa nyumba anakuuliza unakohoa vibaya aje , anakuambia familia yenu watakuibia nyota , he even went father juu alikua jobless kumeet my bro akidrive akasema yeye ndio alisucrifice mamangu , jameni jaribu kuimba jikoni ukipika unawekelewa Kofi, door bell ikilia one second mlango inagongwa buti ...siku nilitoka nilitembea mguu for 2 km bila.kuchoka yaani nibreath tu hewa Safi, nlikua nakaa chizi kwa barabara yaani naskia poa nkama nmetoka kamiti ...niliwacha kila kitu, alingangana juu alikua former polisi kuni threaten ntill I opted kutoka nko Lebanon ndio akawachana na mimi ..I thanks God am much better
He abused her and made her feel guilty he is a proper narcissist.
A very bad narcissist
Nimekuwombeya kwa Muumba wetu Mungu, akufunguliye njiya njema upate watoto wako wasichana na wavulana. Mungu akupe ikitakacho. Bado uko mudogo uwe na imani. Usiogope kupata mutoto ama watoto ata kama baba yawo hatakuwa tayali kukusayidiya kuwareya. Una uwezo. Arakini uwo wakati ukifika, uyo jama akitokeya atakuwa wa kikweri mwanangu. Kuwa na Imani. Funguka na ugicanganye na watu upate marafiki. Tembeya uku na kure. Gitowe uwoga urio ingizwa na uyo mwananume. Wa ayina iyo hana future. Usigifanye watu wakuogope
She is well composed❤
Mwangi people heal different
Haaaaiiyaaaaa😮😮😮😮still watu wanaoleangwa 😮😮😮ama ni mm sina nyotà ya ndoa au mapenzi💔💔sorry girl🫂🫂🫂🫂
Sorry sister , take heart , do therapy , deliverance against the spirit of rejection . You are very beautiful and worthy .
Take it easy siz dont,worry mungu anakupenda mshukuru kwakua uko uhai usichoke kumuamini iposiku utapatana namtu anakupenda namuishi Kwaamani 🙏🙏🙏🙏🙏