WAKILI MADELEKA AHOJI UGONJWA WA AFANDE "ANAUMWA NINI? AKAMATWE APELEKWE GEREZANI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 31

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Wakili ujengewe sanamu lako Dodoma Honger sa kwa kusimamia haki

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Yaaani anatupotezea tuuu muda akamatwe aende gerezani kabisaaa ni mtu hatari na hao wakina nyundo wasijetoka kifungo cha maisha c mtu atoki Jamani siku wakitoka ata bahati mbaya mtakua mehatarisha maisha ya mabinti wengi kwa wabakaji na walawiti
    Ndugu wakili tunakupenda❤tuko nawe

  • @yumna128
    @yumna128 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hawa ndo mawakili tunao wanao wataka sasa tunataka haki itendeke

  • @JafarsimaouchuJumbe
    @JafarsimaouchuJumbe 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yes huyu polisi aliyewatuma akamatwe.. yeye ndio chanzoncha kesi.. afungwe maisha kama Sheria itakavyo.

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wakubwa wanabebana , wamefunga bule wale vijana wa watu. Huyo kigogo afungwi katu😊

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hio imeenda😅😅

  • @dianaleo6067
    @dianaleo6067 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Huyo afande yupo uraiani? Asipite kijiweni kwetu

  • @jumamnambangule1957
    @jumamnambangule1957 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbn kama namuona nyundo kwa mbaaali🤔🙄

  • @petromahava865
    @petromahava865 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu akutunzs Peter Madeleka

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madeleka mimi binafsi huwaga nakukubali sana MTU WA MAAANA KABISA

  • @rashidiomary6270
    @rashidiomary6270 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tambueni kunatofauti ya sheria na haki, haki ni hitajio la kiroho na sheria ni hitajio la mwili kwahiyo ingekua haki wote walioazisha matatizo hayo wote wangehukumiwa yani mume,binti,na waliombaka. Lakini dunia imepotezwa wanachanganyiwa mafaili kati ya sheria na haki.nawaambia ukisikia haki ni neno zito ambalo anaeweza kutekeleza ktk binadam ni mitume pekeyao

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ipo siku , allah ni khakimu wa khaki alichotenda huyu khastahiki kuwa huru

  • @robertchuma6408
    @robertchuma6408 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Series inaendelea tuweke bando tu

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe ligi ngumi🎉🎉🎉

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Afande presha kwa Sasa

  • @issamatola2031
    @issamatola2031 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haichukue nafasi ya dakitari lakn inatoa wazo zuri

  • @RichWise671
    @RichWise671 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    #JambuliTungalaja
    #Ukerewe1

  • @m.e.ssofttech2806
    @m.e.ssofttech2806 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ashitakiwe kwanini awatume kina nyundo, wafanye ushenzi

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamn mbona kama nimewana akina nyundo hapo kwenye Hilo gari la magereza😢 msituchanganye🙆

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wale wameshanyoa nywele

    • @yousifyousif-p7f
      @yousifyousif-p7f 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@mosesmacha1080 nashukr kwa kunitoa hofu🙆

  • @muhasatv9245
    @muhasatv9245 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mjiongezege afande Ana UKIMWI

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Akanyee ndoooo

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Afande ndugu wa mama nini mbona mnamlealea

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We matako mkome huyu mama siyo kila uchafu mama huna adabu msenge wewe kafirwe huko

  • @eliasmwanawima1129
    @eliasmwanawima1129 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madeleka kitu anachopenda ni umaarufu tu hapo hamna kesi

    • @DominikusMahali
      @DominikusMahali 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jitambue kabla ya kusema

    • @RehemaMagoire
      @RehemaMagoire 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@DominikusMahaliNi kweli kbs

    • @DominikusMahali
      @DominikusMahali 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@RehemaMagoire kwa sabab mtu anapigania haki ya mtu wa kawaida isipotee

    • @isaacmwaseba9972
      @isaacmwaseba9972 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hamna kesi anapenda kik tu huyu aonekane anajua uwakili ni biashara za kesi.
      Kwani kesi ya babati imeishia wapi kama hazikuwa kik tu zile. Yeye kesi zote za kupingana na serikali ndio zake. Ila wale waliouwawa na mganga wa kienyeji singida anaona haina maslahi. ​@@DominikusMahali

    • @rashidiomary6270
      @rashidiomary6270 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      ​@@DominikusMahaliunajua maana ya haki au ndo matumizi madogo ya akili, haki ni swala la kiroho ambalo hakuna msaka pesa anaweza kuisimamia sema atende Sheria itakavyo,kingine jua kuwa ukisikia sehem inapiganiwa haki maana yake hukusanya kiini Cha tatizo na kiini sio mtumaji kiini ni zinaa iliyotekelezwa na mume na huyo Binti ndo ikazaa ubakaji