MKALIMANI Aelezea Chanzo kilichopelekea GUMZO Uwanja wa Jamhuri

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @assoum_N
    @assoum_N 3 ปีที่แล้ว +3

    When you do good no one remembers, but when you do bad no one forgets....MashaAllah I understand that this interpreter is extremely knowledgeable and he knows his professionalism, I knew that there was something went wrong on his side and of course here he says...keep on going bro.

  • @ahz6907
    @ahz6907 3 ปีที่แล้ว +3

    Mi nimekuelewa mkalimani. Hakuna mkamilifu.
    Mkamilifu ni mungu tu.

  • @sixbertrobert3860
    @sixbertrobert3860 3 ปีที่แล้ว +4

    Dah huyu mwalimu wangu anajua sana Big up DMI

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 ปีที่แล้ว +5

    Safi xana nimekuelewa Mkalimani👏👏👏

  • @susanlazaro8323
    @susanlazaro8323 3 ปีที่แล้ว +5

    Yupo vizuri ni sound ilimchanganya

  • @cronwest
    @cronwest 3 ปีที่แล้ว +10

    😂😂😂 tunakukubali sanaaa mkalimaniii wetu

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 ปีที่แล้ว +3

    Uko vizuri baba,hongera sana.

  • @EliasSinger-n7x
    @EliasSinger-n7x 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku:Ni jina lako maarufu..
    Mkalimani:hapana ni jina la ukoo.. 😊😂😂

  • @awadhijumaa939
    @awadhijumaa939 3 ปีที่แล้ว +5

    Wabongo kwa kupenda upuz jamaa anakil sanaaa

  • @josphatgitau2019
    @josphatgitau2019 3 ปีที่แล้ว +4

    Kiswahili waaa nzuri napenda.....

  • @samweltv2064
    @samweltv2064 3 ปีที่แล้ว +9

    mkalimaniiiiiiiiiiiiii ulitunyooosha ukafikil sisi elimu bule aitusaidiii ndo ujue mjomba katuacha pazuri atufrashiwi shule za kata na elimu bule zimetukomboa ata kama ni felia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @tawalazephuline4950
      @tawalazephuline4950 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona wahaya hatupendani, twakosoana vibaya, kwani ukimkosoa kwa namna nzuri hata wewe mwenyewe hutojisikia amani? Nikwambie sasa, kwa mtu anayejua ukalimani na ugumu wa kazi hii haukupaswa kuandika hivyo. Kujua kitu si kuelewa kila kitu na isitoshe yeye si mgeni katika kazi ile, kama angalikuwa mgeni, mtu asiye na ujuzi angalitafutwa mwingine maana ghafla ile si ndogo hata itafutiwe mtu asiye mzoefu. Kama unabisha jaribu kwenye vikao vya ukoo mtu aongee kiswahili na utafsiri hicho kiswahili kwenda kihaya unachokijua vizuri uone utakavyochekwa kama nini!!!

    • @pauloginyoka8797
      @pauloginyoka8797 3 ปีที่แล้ว

      Khaaa we una akilii ganiii unayo Sasa unashimdwaaa kuelewa alipokosea we n felia wa kwanzaaaa mbwaaa

  • @bangolasimulizi9960
    @bangolasimulizi9960 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji namba za huyu mkaliman

  • @tawalazephuline4950
    @tawalazephuline4950 3 ปีที่แล้ว +2

    Yuko vizuri

  • @wisperfect5320
    @wisperfect5320 3 ปีที่แล้ว +7

    Mkaliman umekuwa maarufu ghafla kwa mbwembwe zako 😂😂

  • @imanmodern
    @imanmodern 3 ปีที่แล้ว +5

    Mkalimani kama Mkalimani

  • @salimumohammedsalimu1720
    @salimumohammedsalimu1720 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah bro unajua ila tz ndozao kuzodoa

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 3 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mwambaa akili nyingi sana ✅🇹🇿✅

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว +10

    Yes the guy knows English jamani... Basi wabongo hamna dogo walai... Its clear huyu jamaa alitafsiri vizuri the whole time... Ni hapo tu ndipo alipoteleza ila mitandao sasa

    • @zakiahamisi9840
      @zakiahamisi9840 3 ปีที่แล้ว

      Kwani alisemaje?

    • @ahz6907
      @ahz6907 3 ปีที่แล้ว

      Ndo watu walivyo. Unafanya 100. Na ikatokea kosa ni moja tu basi itaonekana makosa ni 100 badala ya 99 tu 😀

    • @emmanuelshayo4703
      @emmanuelshayo4703 3 ปีที่แล้ว

      @@ChristinaMkyobwe haaaaa!!!!! Hapo kwa French nimependa pale alipo tafsiri "chers frères et sœurs"

    • @badmanno.1650
      @badmanno.1650 3 ปีที่แล้ว

      @@ChristinaMkyobwe kwa french sio yeye alietafsiri... Ni mwenzake .. walikuwa wawili

  • @yohanankundiye9745
    @yohanankundiye9745 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkalimaniiiii hatriiiiiiiii

  • @albathilyuvale7823
    @albathilyuvale7823 3 ปีที่แล้ว

    sawa mkaliman nakubal

  • @nyamwizajoseph6241
    @nyamwizajoseph6241 3 ปีที่แล้ว

    You're jantleman congregation to be the translator

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 3 ปีที่แล้ว

    Bora umeongea boss...

  • @mdl6463
    @mdl6463 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa yuko sawa ila tu binadamu anapitiwa tu itakuwa akili iliwaza Mara mbili akili ilihama tu

  • @uswegetv5964
    @uswegetv5964 3 ปีที่แล้ว +4

    Naomba muulize swali Kama alikuwa hajamsikia kwann asiombe ramaphosa arudie

  • @simonanthonykayombo6913
    @simonanthonykayombo6913 3 ปีที่แล้ว +3

    kukosea kupo tuu, na si dhambi. haijalishi una level gani ya elimu

  • @annachales9623
    @annachales9623 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂Dahuuuu... 😂😂😂😂😂alisikiaaaaa

  • @fimboezekiel9654
    @fimboezekiel9654 3 ปีที่แล้ว +1

    Geah kipeleee Yan alkuwa anacheka ty

  • @johannesjoseph7496
    @johannesjoseph7496 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkaliman kama mkalimani

  • @emmanuelndahan9815
    @emmanuelndahan9815 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku- protoko hekima

  • @leylamkamba3678
    @leylamkamba3678 3 ปีที่แล้ว

    Mkalimani alirogwa maskin

  • @sidetz7250
    @sidetz7250 3 ปีที่แล้ว +2

    Piga kelele kwa mkalimani wakee

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว

    Acheni upumbavu wa kujadili lugha za kikoloni utumwa wa kifikra huo na nyie nyote waafrika acheni ujinga zungumzeni lugha zenu za asili . Kibantu lahaja au kiswahili.

  • @samwelmollel1141
    @samwelmollel1141 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani na ni Mwalimu wa Mabaharia tena?

  • @Wami-Sababisho
    @Wami-Sababisho 3 ปีที่แล้ว

    Mkalumani kaja juu zaidi ya wajuba na mabaharia😂😂

  • @vfacilitator8398
    @vfacilitator8398 3 ปีที่แล้ว

    Mh. Matungwa nikuombe jambo moja, na ujumbe huu nikuombe uwafikishie na wakalimani wenzako. Tunawaombeni mgeni akiongea msimkatishe kauli mara kwa mara au kujikuta mnaongea wote wawili kwa wakati mmoja. Chukulia Kiingereza: mamilioni na mamilioni ya Watanzania wanakisikia Kiingereza bila shida yoyote. Kiingereza ndio lugha inayotumika darasani, na Watanzania nchi nzima wanasikiliza matangazo ya EPL mwanzo mwisho, pia tamthilia za Nolywood. Nakumbuka huyu huyu Rais wa Malawi, Bishop Dr. Lazarus Chakwera alipohutubia Ikulu Dar es Salaam, mkalimani alikuwa akijiongelea bila breki kiasi kwamba hatukuweza kabisa kuyasikia maneno aliyokuwa akiyaongea mgeni wa heshima. Tofauti yake, majuzi Dodoma wakati wa msiba, mkalimani alibaki kimya muda mwingi angalao wasikilizaji tukafanikiwa kumsikiliza vizuri Bishop Dr. Chakwera; na wengi kote duniani walivutiwa sana jinsi hotuba hii ilivyomtendea haki mpendwa wetu, mtetezi wa wanyonge. Liko gazeti moja, nadhani la Zimbabwe, zimeye dot net, lilichapisha transcript ya shairi hilo. Nadhani pia, kitendo cha hotuba hii kuwa kwenye mfumo wa shairi kilichangia kwenye kumchanganya Mh. Matungwa, mkalimani. Naomba ku share shairi hili la majonzi ili na wenzangu muweze kuli share kwenye groups zenu (waalimu kati yenu mlitumie kuwafundisha wanafunzi utunzi sanifu):
    ****
    Malawi President Bishop Dr. Lazarus Chakwera’s Moving Eulogy at President John Pombe Joseph Magufuli’s Funeral.
    23 March 2021 - Dodoma, Tanzania
    Eulogy transcript below:
    "(1) 166 days ago, President John Pombe Magufuli and I had dinner together at the State Residence in Dar es Salaam,
    (2) But I did not know that it would be our last supper.
    (3) The following day, he saw me off the apron of Julius Nyerere International Airport,
    (4) But I did not know that it would be our last goodbye.
    (5) Today, I join you all in a state of shock and grief at the passing of one of Africa’s finest sons
    (6) Because none of us saw it coming.
    (7) This ability to let no one see his next move coming,
    (8) Which we find unsettling in his death,
    (9) Is also what we found inspiring about his life.
    (10) When they said laziness and sloth in public service cannot be cured,
    (11) They did not see Magufuli coming.
    (12) When they said the cartels of corruption strangling Africa’s governments cannot be defeated,
    (13) They did not see Magufuli coming.
    (14) When they said African States cannot become middle-income economies within a single presidential term,
    (15) They did not see Magufuli coming.
    (16) When they said infrastructure projects in Africa cannot be completed on time and on budget,
    (17) They did not see Magufuli coming.
    (18) When they said the only way to pursue our development is to follow the failed prescriptions of foreign financial institutions that have left Africa more impoverished and in debt than they found it,
    (19) They did not see Magufuli coming.
    (20) To us who had the privilege of knowing the unpredictable Magufuli,
    (21) The example of his life of service shall forever be a launching pad for our own.
    (22) To us who have the honour of going through this world as Africans,
    (23) Magufuli’s love of country shall forever be a light on that pilgrimage.
    (24) To us who have been entrusted with governing the nations of our beautiful and rich continent,
    (25) Magufuli’s leadership shall forever move us out of complacency.
    (26) It is right for us to hold him in this regard.
    (27) John Pombe Magufuli was not just an icon.
    (28) He was a hero!
    (29) May his name be preserved in every Capital of Africa
    (30) As a symbol of the kind of resolve that will create the Africa we want.
    (31) May his work be venerated in every village
    (32) As an example worthy of our imitation.
    (33) And may his soul rest in eternal peace as he meets with his God, with whom we hope to one day see Magufuli coming.
    My deepest condolences to you all."
    ****

  • @mikapecta6021
    @mikapecta6021 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkaliman ad yeye mwenyew kacheka

  • @enterenter1921
    @enterenter1921 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaaa hahahahaaaa unazingua bn 😂😂

  • @zahraathuman3089
    @zahraathuman3089 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwel km uliandikiwa kua maarufu utakuja kua kwa njia yyt sio mpk kiki🤣

  • @iamerickemmanuel6268
    @iamerickemmanuel6268 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwl wa mabaharia😂

  • @othmanshahib1115
    @othmanshahib1115 3 ปีที่แล้ว

    Huyu dada anamaswali ya kiutaramu sana.

  • @bundukitv
    @bundukitv 3 ปีที่แล้ว

    (Part 1) - Simulizi ya Bakari. Mlemavu aliyempiga kondakta kwa sababu ya dharau
    th-cam.com/video/s-Vz0YdBKIA/w-d-xo.html

  • @saleherodgers5843
    @saleherodgers5843 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkalimani unamjua Ras Simba??

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 3 ปีที่แล้ว +1

    Ramaphosa anaongea maneno mengi nayeye mpk unasahau kaongea nn

  • @isackahmed2563
    @isackahmed2563 3 ปีที่แล้ว

    Mhaya OG

  • @tonyelshabbaz
    @tonyelshabbaz 3 ปีที่แล้ว +3

    Dahuu una akili sana....

  • @ms123ru
    @ms123ru 2 ปีที่แล้ว

    jua afya yako ya akili th-cam.com/channels/3LFGnfKF01ToqvqKHVOroQ.html

  • @bekabeyser4119
    @bekabeyser4119 3 ปีที่แล้ว +2

    Mkalimaaaaaaaaani

  • @cronwest
    @cronwest 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 ปีที่แล้ว

    Ndio hivyo sasa kesha trend jamaa!

  • @munahmahmoudjira6973
    @munahmahmoudjira6973 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaa

  • @uhurusamora860
    @uhurusamora860 3 ปีที่แล้ว +1

    Umesema hukuwa na kifaa cha kuvaa masikioni. Kwanini vikosekane haswa ktk tukio kubwa kama hilo?

  • @bensonjr4879
    @bensonjr4879 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna mtu hapo! Wafanyakazi wa connection haoo!!

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 ปีที่แล้ว

      Yapo matako yako mawili we hukosei?

    • @esuthoby7865
      @esuthoby7865 3 ปีที่แล้ว

      wewe ni feki,huelewi unachosema.
      unaweza kusababisha hatari kubwa. Imagine unatafsri mambo ya medical ukasema figo badala ta liver, huoni wewe utakuwa muuwaji.
      Hilo ni kosa kubwa sana.
      wewe unahitaji more awareness .