Computer Mwanyiro ktk Pesa Zanisumbua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 6

  • @HamisiOmaryHussein-jp5pt
    @HamisiOmaryHussein-jp5pt ปีที่แล้ว +2

    Patrick Kamalee katembea saana ktk solo wakati huo Mulenga alikua katoka bendi kwa hiyo kamalee kaziba pengo na ukiwa nje ya ukumbi watu wakibishana kwamba huyo ni Mulenga kumbe ni Kamalee njia zile zile za King spoiler Joseph batromeo MULENGA

  • @brownee20007
    @brownee20007 ปีที่แล้ว +3

    Kwenye sax Ally Rashid

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 ปีที่แล้ว +2

    Solo la Patric kamalee

  • @mohamedeid-ry7rq
    @mohamedeid-ry7rq ปีที่แล้ว +1

    Na sauti za wanamuziki hapo ni tamu sana. Hakika kila mwenye jukumu lake amelitendea haki

  • @rosengandile129
    @rosengandile129 2 ปีที่แล้ว +2

    Bima Lee walikuwa wanatisha

  • @brownee20007
    @brownee20007 ปีที่แล้ว +2

    Utunzi wake Jerry Nashon "dudumizi". Sauti ya uongozaji RIP Jerry