Msondo Ngoma Music Band Mwanamwika Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
  • Africa's oldest band Msondo Ngoma Band. Msondo Ngoma Music Band (formerly known as NUTA Jazz Band, renamed Juwata Jazz Band, and then OTTU Jazz Band) is an influential and long-lived Tanzanian muziki wa dansi (Bongo Dansi). Having been established in 1964, it is the oldest active dansi band in Tanzania as well in Africa. The band began in 1964 and was originally named "NUTA Jazz Band", after its sponsor, the National Union of Tanganyika (NUTA), which was the main Tanzanian trade union. In the early years of dansi, the NUTA Jazz Band was very influential both artistically and in terms of financial organization; namely, it was one of the first dansi bands to constitute itself into a "cooperative" of salaried musicians (a model that would become widespread in the 1970s). In the 1960s, NUTA Jazz Band was led by trumpeter-singer late Joseph Lusungu and saxophonist Mnenge Ramadhani, who defined the brass-centered sound of the band. NUTA Jazz Band held its position as one of the major Tanzanian dansi bands throughout the latter half of the 1960s and most of the 1970s. In 1977 it experienced a major change in personnel, with many of its most talented musicians (including Muhiddin Maalim Gurumo and Hassani Rehani Bitchuka) leaving the band to form a new ensemble, Mlimani Park Orchestra. In 1977, the band changed its name to "Juwata Jazz", after the Swahili name of its sponsor (NUTA), Jumuiya ya Wafanyakazi Tanzania. About at the same time, guitarist Saidi Mabera became the new leader of the band. He wrote several of Juwata's hit songs of the 1980s. After Mabera, both Maalim and Bitchuka (who rejoined the band in 1991) became leaders. Muhidini Gurumo is credited with on the major hits of Juwata in the 1990s, Usia kwa watoto. The band changed its name again in 1991 from Juwata Jazz to OTTU Jazz, when the trade union that sponsored it was renamed Organization of Tanzanian Trade Unions. The band is still active as "Msondo Ngoma", performing regularly at the DCC Club in Kariakoo,Dar-es-salaam for example,and is the oldest active dansi band in Tanzania as well as in Africa. This is reflected by its motto baba ya muziki, "father of music". "Msondo Ngoma Music Band" also known as "Baba ya Muziki" means "father of Music" .

ความคิดเห็น • 48

  • @kollegesnipes9094
    @kollegesnipes9094 6 ปีที่แล้ว +2

    safi sana naomba ikiwezekana unisukumie baba kavamia mji,mwanaidi ,masunda ,kasheshe na zenginezo za huo wakati.

  • @AnnastaziaMtoe
    @AnnastaziaMtoe ปีที่แล้ว

    Mimi pia napenda sana hizi nyimbo za msodo

  • @ashuralihinda9065
    @ashuralihinda9065 2 ปีที่แล้ว

    Naupenda huu wimbo kwelii vya Kale dhahabu

  • @joelnassari105
    @joelnassari105 7 ปีที่แล้ว +6

    Msondo Ngoma mpaka kuja band ya kuwafunika itachukua miaka Mingi sana kila sku ni wapya. ..Pumzkeni kwa Amani mashujaa wa Msondo. .R.I.P Tx Moshi William. . . ISIAKA KIBENE. ..Mzee Gurumo. .Maina na Wengine waliotangulia mbele za haki. .

    • @mitodaud1820
      @mitodaud1820 6 ปีที่แล้ว

      Joel Nassari hakuna atakaeweza wafikia hawa jamaah

    • @edmundlasway8582
      @edmundlasway8582 6 ปีที่แล้ว

      Bado sana kwa sikinde hawa

  • @frankmichael9866
    @frankmichael9866 6 หลายเดือนก่อน

    Wakati muziki ni muzik kwel

  • @ashuralihinda9065
    @ashuralihinda9065 2 ปีที่แล้ว

    Naupenda sana huu wimbo,nakumbuka mengi kweli mwana mkiwa

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 2 ปีที่แล้ว

    Hawana baya hawa watu bhana mama maika

  • @maimunauledi8518
    @maimunauledi8518 9 ปีที่แล้ว +3

    naupenda sana huu wimbo mwanamkiwa

  • @karimkambi2915
    @karimkambi2915 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika hiz kazi mlizofanya wazee wetu tutawaenzi daima

  • @magambonyolobi8410
    @magambonyolobi8410 6 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe mzuri sana

  • @josephjohn5714
    @josephjohn5714 6 ปีที่แล้ว +2

    Vitu natural ni 🔥

  • @frankmichael9866
    @frankmichael9866 6 หลายเดือนก่อน

    Wazee walkua wanaimba kwel. Nyimbo hazchoshi, naskiliza leo 2024 lakin bado ni hit song kama imetoka leo. Dah. MUNGU awalaze pema wazee wetu mliotangulia

    • @JohnChatila-z7c
      @JohnChatila-z7c 3 วันที่ผ่านมา +1

      2025 bado nipo na wazee wangu

  • @lukamwamahonje3310
    @lukamwamahonje3310 4 หลายเดือนก่อน

    Hii ni remix. Natafuta Mwanamkiwa toleo la kwanza kabisa

  • @happymtaki2416
    @happymtaki2416 3 ปีที่แล้ว +1

    hakika ni tungo zisizopitwa na wakati. kila siku zinakuwa mpyaaa. pumzikeni kwa amani wazee wetu. mmetuachia hazina isiyofichika.

  • @richardmgana4821
    @richardmgana4821 หลายเดือนก่อน +1

    Mziki unaoishi 2025 still listening

  • @msafirimaganza4492
    @msafirimaganza4492 8 ปีที่แล้ว +2

    Nyimbo hizi hazitaisha utamu,, kama imeimbwa Jana,!

  • @georgegidayi2714
    @georgegidayi2714 7 ปีที่แล้ว +2

    Ndgu hawa walikuwa na fikira ndefu.

  • @husenmgonda2700
    @husenmgonda2700 7 ปีที่แล้ว +3

    ujumbe mzur asantee msondongoma

  • @jumaselemani308
    @jumaselemani308 6 ปีที่แล้ว +2

    Kuna kitu apa

  • @zakariajoseph9435
    @zakariajoseph9435 9 ปีที่แล้ว +3

    Love you msondo

    • @mitodaud1820
      @mitodaud1820 6 ปีที่แล้ว

      ZAKARIA JOSEPH m more aseeeeh

  • @MomadeMudimoz70-cs2ud
    @MomadeMudimoz70-cs2ud 7 หลายเดือนก่อน

    💖💖💕💕💗💗

  • @neemamgenineemamgeni
    @neemamgenineemamgeni 2 ปีที่แล้ว

    R.I .P watu wangu wa nguvu 😭😭😭

  • @ashuralihinda9065
    @ashuralihinda9065 ปีที่แล้ว

    R.I.P My parents 😭😭😭😭

  • @aloycejamal334
    @aloycejamal334 2 ปีที่แล้ว

    R.i.p daddy I miss you 😭😭

  • @mwinyif8662
    @mwinyif8662 9 ปีที่แล้ว +4

    Tabu ndo maisha

  • @nyenzenyenze4677
    @nyenzenyenze4677 6 ปีที่แล้ว

    Zidisha juhudi kwenye masomo na mafanikio utayaona

  • @petermoses9539
    @petermoses9539 6 ปีที่แล้ว +1

    2019 I'm still listening 🇸🇸

  • @richardkimela7900
    @richardkimela7900 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭 dah

  • @ahmadmtimbage8775
    @ahmadmtimbage8775 6 หลายเดือนก่อน

    ❤😢

  • @masangumadoto8751
    @masangumadoto8751 6 ปีที่แล้ว +1

    jmn ama kweli c vjn wa saiv ndo tumekosa vingi

  • @richardtenson5978
    @richardtenson5978 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuma

  • @hassanmagali6098
    @hassanmagali6098 6 ปีที่แล้ว +1

    Wajameni Ni nani mwenye nyimbo ya msondo inaitwa mke wangu tuelewane umo ndani mna sauti ya marehem Gurumo na Bichuka?

    • @hajirajab4869
      @hajirajab4869 6 ปีที่แล้ว

      Nitakutumia nipe no yako messenger

  • @jmkwanzatv5363
    @jmkwanzatv5363 6 ปีที่แล้ว +1

    Hapo alipoimba Athumani momba aliimba hassani rehani bichuka kwenye original yake.

  • @ramadhankombo3474
    @ramadhankombo3474 2 ปีที่แล้ว

    2023

  • @frankmichael9866
    @frankmichael9866 6 หลายเดือนก่อน

    Wakati muziki ni muzik kwel

  • @jmkwanzatv5363
    @jmkwanzatv5363 6 ปีที่แล้ว +2

    Hapo alipoimba Athumani momba aliimba hassani rehani bichuka kwenye original yake.