Mziki wa dansi zilipendwa- Bima lee -Sikitiko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 9

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 10 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Heri kwa kuliweka sawa hili sikujua kuwa wajaluo walikuwa wana vipaji vya uimbaji kwa kiwango hiki. Ni kweli kimsingi Jerry Nashon aliingia kwenye fani ya muziki kama mpiga gita sijui ni wapi alipoamua kutupa chini gita na kujikita kwenye uimbaji

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 10 ปีที่แล้ว +1

    Thanks Eddie.
    Kama nilivyogusia awali Jerry Nashon alikuwa one of my favourite vocalist kwa kweli - huyu bwana alikuwa na uimbaji wa sauti ya kududumia - alifananishwa na ndege aitwaye dudumizi - wadau hawakukawia kumpachika jina la uanamuziki Jerry Nashion "Dudumizi". alikuwa na uwezo wa kuimba na kuirembisha sauti apendavyo yeye. Free sing - naamanisha hakuwa mwimbaji wa kutafuta sauti na kugombana na misuri ya shingo. R.I.P Jerry Nashon

    • @eddienassor480
      @eddienassor480  10 ปีที่แล้ว

      Anthony Kisondella RIP Jerry Nashon.Hivi alikuwa ni mtu wa mkoa gani huyu bingwa?

    • @AnthonyKisondella
      @AnthonyKisondella 10 ปีที่แล้ว

      Eddie Nassor Huyu mtaalam alikuwa anatokea mikoa ya ziwani kwa hiyo sina uhakika kama ni mhaya (Kutoka Mkoa wa Kagera - Bukoba) au Mjita (kutoka mkoa wa Mara - Musoma). Lakini maisha yake na ya kimuziki yalianzia Musoma

    • @eddienassor480
      @eddienassor480  10 ปีที่แล้ว

      Ahsante sana kaka

    • @heriissagombera5168
      @heriissagombera5168 10 ปีที่แล้ว +1

      Eddie Nassor Alikuwa ni Mjaluo baadhi ya nyimbo alikuwa anachombeza na kijaluo kama Makulata, Pesa na nyingine kuna kilugha kakitumia. Na hilo jina la Dudumizi alipewa na marehemu Maneti alipoingia vijana alikwenda kama mpiga gitaa wakati wanafanya mazoezi alishika mic alipoimba kidogo Maneti akasema ehee unaimba kama Dudumizi hapo ikawa mwanzo wa kuimba

    • @AnthonyKisondella
      @AnthonyKisondella 10 ปีที่แล้ว +1

      Heri Issa Ahsante Heri kwa kuliweka sawa hili sikujua kuwa wajaluo walikuwa wana vipaji vya uimbaji kwa kiwango hiki. Ni kweli kimsingi Jerry Nashon aliingia kwenye fani ya muziki kama mpiga gita sijui ni wapi alipoamua kutupa chini gita na kujikita kwenye uimbaji

  • @AnthonyKisondella
    @AnthonyKisondella 10 ปีที่แล้ว

    Huyu mtaalam alikuwa anatokea mikoa ya ziwani kwa hiyo sina uhakika kama ni mhaya (Kutoka Mkoa wa Kagera - Bukoba) au Mjita (kutoka mkoa wa Mara - Musoma). Lakini maisha yake na ya kimuziki yalianzia Musoma

  • @nowelaraymond4894
    @nowelaraymond4894 3 ปีที่แล้ว

    Ilikuwa hataree sana enzi hizo.