MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte InshaAllah Allah akitujaalia mwakani ttakuwa pmoja mm niko Belgium nita wapata live kla Ramadan InshaAllah
Yani nilitiya neya mwaka huuu naenda na mm lavi lakini sikujaliwa nilitoka 🇺🇸 kuja kusomesha watoto ndini nikashukia Tanzania lakini sikupata madrasa yasiku siku mzima anatakika mtoto aende shule na madrasa nikamuwa kuhamiya kenya alhamdullah ss hivi watoto wangu anaenda chuwo peke yake alhamdullah
Assalam alaikum warahmatullah wabarakaatuh,Sisi tunge pendelea kujua mna fanyaje ili kuchagua ma qari waku toka inje ya tanzania?? Maana sisi Congo tuna ma qari wengi ila tuna zowea kumuona umoja tu myaka mbili ama tatu zilizo pita katika msabaqa wa dunia apo tanzania,ili hali uku akuna ata mashindano yanayo pita ili kumchagua atakae kuja uko kwenye msabaqa,tuna waombeni muli fatiliye hili ili ku wapatia na wengine bahati yakuja kushiriki kwa ku lazimisha viongozi wetu wa dini uku wawe nafanya mashindano uku uli atakae kuja uko awe ni ambaye baade ya mashinda katoka wa kwanza, shukran
Gonga 👍 kwa team kabito 🇺🇬 mara hii ataupiga mwingi kama kawaida yake
Welcome Back 2 🇹🇿
Mwenye ameona kabito akafurahi kama mimi❤❤ alipe Link
Maashaallah kabito Allah akujaalie kheri na awajaalie wote kwa ajili ya Allah hakika Qur'an tutaisoma inshaallah karibu tena Tanzania kabito❤
Mashallah Nmefrah jinc mtangazaj pamja na kijana walivykuw wanaongea kiarabu Nmepnda sna nataman cku moja na mm nikifaham inshallah
Maashaallah kabito. Allah akupe.heri. kwakupenda kushiliki ujakatatamaa ilakwa sasa tunashinda wenyewe Tanzania. Amyn
Kapitto uligusa nyoyo zawatu wengi sana, karibu tena Tanzania inshaallah Allah akufanyie wepes
MashaAllah TabaraqaAllah.
KABIITO for the second time ALLAH akupe hitajio la nafsi yako
Amiin
@@SakinaSakinat-qd9rs ushindi kachukua MashaAllah 😍🥰
@@zeitunkassim9352 eeh wa pili
@@zeitunkassim9352 eeh Maa shaa Allah wa 2
Mtangazaji uko uzuri mno na kwa lugha ya kiarabu Masha'Allah umetuwakilisha pia uzuri sana kwa wageni
Mashaallah mara yingi Tena kabito tumemuona akishiriki mashindano ❤❤
Mashallah Tabarakallah,
Nmefurah kumuona kabito,
Nampenda Kwa aajil ya Allah napenda sana usomaji wake.
Mashaallah kabito karudi tena kushiriki mashaallah ❤
Da Yan uyo wait namkumbuka da mashallah karud tena
Mashaallah mashaallah abdillah mashi
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah awahifadhi wte InshaAllah Allah akitujaalia mwakani ttakuwa pmoja mm niko Belgium nita wapata live kla Ramadan InshaAllah
Mashaallah welcome again 🇹🇿🇹🇿 kabito from another mother 🇺🇬🇺🇬
Kabito we miss you so much ❤❤ because of Allah
Masha Allah kheiry
All the best Kabito🤲💚
Mtangazaji atawindwa na vyombo vingi vya habar Allah ampe mwisho mwema na ajira yenye baraka na yeye
Amiin
MashaAllah kabiito kwa mara nyingn ❤❤
😂😂😂😂😅😅😅
Bismillah maashallah nimefurah kwelikweli kabito kurud tena, Allah amuongoze inshaallah awe lakamu waheed
mashallah mtangazaji kwa kujua lugha ya kiarabu.mashaaallah
Wawooo mashallh kabito tunakipenda sana karibu tena
Mashaallah allah atujale tuweze kufika siku iyo inshaallah
Mashaallah ❤
Mashaallah
Maanshaa Allah 🙏
Maa shaa Allah ❤Kabito kwa mara nyengine ❤
Masha Allah karibuni sana Tanzania
Mashaallah tabarakaah ❤❤❤
MashaAllah❤
Mashallah ❤
Mashallah Mwana wa maalim Mash you are good both Arabic and English That's great 👍
MashaAllah well come back kabito ❤
Kabiito Maa shaa llhh
MashaaAllah kabito kaja Tena.
MashaaAllah kabito karudi
MashaAllah
Mashaallah mashaallah ALLAH akuongozo kabito ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤ naenda sn qur-an
Masha Allah mtangazaji ajuwa kiarabu
Mashaallah Mashi
Mashallah maalim mash
Kabito karudi tena mansha Allah
Allaha amuongoze kabito
Manshaalla tabarakalla kabito❤❤❤
Welcome Kabito again 😂😂😂😂😂😂Mashallah
Jambo zuri sana
Masha'Allah
Inshaallah mwaka huu ni maajabu
Mashallah
Karibu sn tz hy mtangazaji ni moto nimpenda sn hongera sn
Mashallah kabito hamiat Tanzanian jaman nchi ya aman❤❤
❤❤❤kabito
Kabito karibu tena tz
Kabito tunakuombea ushindi ❤❤❤❤
Kiarabu chako kizuri mashallahmtangazaji
Mashaallah kiarabu cha mtangazaji ni kizuri sana
Mwanawamashi tunakushukur kumuoji kabitoo😊
Nimefurahi kumuona kabito kwa mara ya pili mungu amjalie awe mshindi
Yani nilitiya neya mwaka huuu naenda na mm lavi lakini sikujaliwa nilitoka 🇺🇸 kuja kusomesha watoto ndini nikashukia Tanzania lakini sikupata madrasa yasiku siku mzima anatakika mtoto aende shule na madrasa nikamuwa kuhamiya kenya alhamdullah ss hivi watoto wangu anaenda chuwo peke yake alhamdullah
Ukije mm nikupeleke nikirudi saudia
@@khamismgunya4519 asate wangu sahii siwezi watoto wanasoma mm mweyewe ndio nawasimiya alafu bado wadongo
❤❤❤مساالله
Kiarabu ni kitamu sana❤
Kabitooo ❤❤❤❤❤
Assalam alaikum warahmatullah wabarakaatuh,Sisi tunge pendelea kujua mna fanyaje ili kuchagua ma qari waku toka inje ya tanzania?? Maana sisi Congo tuna ma qari wengi ila tuna zowea kumuona umoja tu myaka mbili ama tatu zilizo pita katika msabaqa wa dunia apo tanzania,ili hali uku akuna ata mashindano yanayo pita ili kumchagua atakae kuja uko kwenye msabaqa,tuna waombeni muli fatiliye hili ili ku wapatia na wengine bahati yakuja kushiriki kwa ku lazimisha viongozi wetu wa dini uku wawe nafanya mashindano uku uli atakae kuja uko awe ni ambaye baade ya mashinda katoka wa kwanza, shukran
Tume mmiss sana kabito
❤❤❤
Kabitto ni star wa😂mashindano haya
Hhhh mm tim kabito
Mdogo wake haji manara
Yakazi gani kusema ivyo
ukizaa Allah atakupa ndugu zake manara wengine
@@fahadfaraj6474ujinga tuu
Hujielewi
Mashallah ❤️
MashaAllah ❤❤❤
❤ naenda sn qur-an
Mashallah
Mashallah ❤
Mashallah ❤
Mashallah