Wimbo ulipigwa sana wakati wa msiba wa baba yangu mzazi isaac kadyanji 06.01.2023. Unanifariji sana, upumzike kwa amani baba, tutakukumbuk daima. Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Nimefanya uchunguzi nimegundua yesu ni mwamba msaada wa karibu tena nguvu ya mwenye haki ,,,anaupendo na watu wake Rehema zote zipo kwako niende wapi niyapate mema,,,,,,hii nyimbo inanibariki sana mamaangu,,,mungu akuongoze
I love this song for God is my only refuge.Mum Upendo Nkone may God bless you abundantly as you continue to bless us with touching songs in real life situation!!
Endelea safari ukitembea katika njia nyoofu, mshahara ni karibu. Usimlaliti Yesu Kristu mwokozi wako kwa faida za mda mdogo zisizo faa. Yale tunayo andaliwa ni mazuri , mema, ni yenyi mafaa na yatadhumu milele na milele.
Amina sana dada yangu kwa nyimbo nzuri Mungu wa mbinguni aendelee kukupa mafuno zaidi na zaidi
Nimeshinda tuu hapa leo kubarikiwa na huu wimbo...sitaki kwenda kwa mwingine baba🙌
Wimbo ulipigwa sana wakati wa msiba wa baba yangu mzazi isaac kadyanji 06.01.2023. Unanifariji sana, upumzike kwa amani baba, tutakukumbuk daima. Tulikupenda ila Mwenyezi Mungu amekupenda zaidi.
Pole tena kwa msiba na kumupoteza mzazi
@@alainmakaba2537 asante sana.
Nimefanya uchunguzi nimegundua yesu ni mwamba msaada wa karibu tena nguvu ya mwenye haki ,,,anaupendo na watu wake Rehema zote zipo kwako niende wapi niyapate mema,,,,,,hii nyimbo inanibariki sana mamaangu,,,mungu akuongoze
I love this song for God is my only refuge.Mum Upendo Nkone may God bless you abundantly as you continue to bless us with touching songs in real life situation!!
I love this song most of people are not following the gospel but they follow miracle
My favorite song ❤️ , sitaki kwenda kwa mwingine yesu Mimi ninakuja kwako..
this song "sitaki kwenda kwa mwingine" blesses my heart
3/1/2020 sitaki kwenda kwa mwngine YESU WANGU NAKUJA KWAKO naomba like zenu twendeni pamoja kwa YESU
2023 sitaki kwenda kwa mwingne yesu wangu mimi ninakuja kwako
Endelea safari ukitembea katika njia nyoofu, mshahara ni karibu.
Usimlaliti Yesu Kristu mwokozi wako kwa faida za mda mdogo zisizo faa.
Yale tunayo andaliwa ni mazuri , mema, ni yenyi mafaa na yatadhumu milele na milele.
Hata Mimi kwenda Kwa mwingine, nabaki na Yesu
Nashukulu huyu mama nyimbo zake nizuri sana
I❤this song
Mungu aku bariki mama siku inakuya nda interprète iyi nyimbo Niko mwimbaji wa DRC💪💪💪💪
Pendo,Richard,anabarikiwa,sana,nahuu,wimbo,amee
My first time hearing this song i was in form 2 in a Christian union rally 😌It blessed me so much
Wimbo huu umenibariki sana, mtoto huyo miongoni mwa waimbaji amenibariki sana. Mungu azidi kuinua huduma yako Upendo Nkone!
The love i have for this song is unpredictable😚
Even me it touches my heart so much,
Amen.Barikiwa sana mtumish Nkone🙌🇹🇿
This song blessings me too much
Faraja hizi tupate wapi tena kama si BWANA WETU YESU .
Wonderful piece of music and a beautiful self dedication to the Lordship of Jesus
I can't stop listening to this song till today
Mungu azidi kumtunza mama huyu
Unanikumbusha,mbali,sana,huu,wimbo 0:❤
I love it so much
Huu wimbo umenibarki san asbuhi hiii
Wonderful piece
I truly like this song since first I heard it in 2013.My all time favourite
Hakika sitaki kwenda kwa mwingine Yesu wangu Mimi ninakuja kwako
at last after 5years of search of this song....am blessed
Amen!
Ubarikiwe mama
sitaki kwenda kwa mwingine Yesu wangu Mimi ninakuja kwako
Vraiment la chanson elle est à sa place elle est consolante merci pour ça que Dieu vs bénisse
I don't want to go to another...
I looooove this melody 💙
Always blessed with this song, Mungu azidi kukutumia mama
sitaki kwenda kwamwingine Yesu ananitoshelea milele
Sitaki kwenda kwa mwingine mm ninakuja kwako MUNGU WNG
Mungu akubaliki mamangu nyimbo saf sanq
May God uplift your ministry mama
Nice work
love this song and nmebaki na Yesu.
Hareruya
I'm listening to this song now and it has done me wonders,will never serve another god if its not God...
Amana napenda sana uimbaji wako upendo nkone mungu akubariki
Amen ubarkiwe mama yangu nyumbo zako zinanipaga faraja sana
dada Upendo unabariki moyo wangu na sifa zako siku zote
Ilove upendo nkone mama
kweli sitaki kwenda kwa mwingine ila nibaki tu na Yesu
i feel blessing when i listen to her songs, ubarkiwe dada Upendo
Bwana Yesu ananitosha
I love your songs nkone am in kenya
nabarikiwa mno na wimbo huu god blesss u mom
Thanks for blessing us. God bless you too Mom . Sitaki kwanda kwa megine Yesu mimi nime kuja kwako.
Asante sana kwa yimbo za faraja. when I am thinking the time I listen your songs are encouraging me thank you very much God bless you mom.
nabarikiwa na wimbo huu sana
Awesome Mommy...Nice song
God bless you
Mugu asifiwa
Sitaki kwenda kwamwingine
I love u nkone
❤
ooooooh haleluyaa!
I like all songs from Upendo Nkone
2024🙏🙏
Powerful
Ubarikiwe you
Amina
True words...
oh hallelujah!
be blessed!
Amen
This song blesses me so much!
WONDERFUL SONG MAMA
..the truth, the whole truth..
Munga Gift ameen
love my mom
U
😢😢😢😢😢😢😢
God please all
K
Be blessed amen
Amen