KUPPET yataka polisi kuchunguza kupotea kwa mtoto Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 28

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 13 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaani mtoto hata kwenda choo hajajuwaaa na kulaaa mpakaa apeweee . hawajuuuwii kuna mwenyezimngu 😢

  • @ValaryWanjala-q7z
    @ValaryWanjala-q7z 12 วันที่ผ่านมา

    Aki Kenya penye imefikia Mungu atusaidie.Mtoto alikosa Nini surely.Watu wamekuwa na tamaa ya pesa sana Hadi wanatumia njia mbaya kupata pesa.Mungu atufunike na damu yake.

  • @BhBh-j4q
    @BhBh-j4q 14 วันที่ผ่านมา +1

    The teachers should be serious with one spirit to handle care children in class or out side on the filled

  • @KyaloSusan
    @KyaloSusan 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hii serikali Iko n mchezo sana wao wanakula n kulala n wazazi wa hyu mtoto analia akh

  • @SharonChepngetich-jc9kb
    @SharonChepngetich-jc9kb 14 วันที่ผ่านมา

    Pole sana mama Manu mungu atatenda jambo

  • @rizikimohamed2449
    @rizikimohamed2449 12 วันที่ผ่านมา

    Jamaniiiiiiiii SS kama mshukiwa Yuko mbona police washindwe kumtowa huyo mtoto

  • @نلنلتربتبارارا
    @نلنلتربتبارارا 14 วันที่ผ่านมา

    Mungu awape nguvu

  • @AtifaIslam-t6g
    @AtifaIslam-t6g 14 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa kenya ina elekea wapi jamani mbona mshukiwa alishikwa na ajapeana mtoto ina faida gani mtoto yuko wapi wamtoe aelekeze kuliko mtoto kumueka ndani uchunguzi wa nini mtoto mdogo yuala nini ameekwa wapi ujinga wa maskari ushoga wa dci mbwa awa

  • @BensonRatemo-j2v
    @BensonRatemo-j2v 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mbaka mtoto wamiakamitatu mnatekanyara amekua chenz jameni kenya ya ruto inaenda wapii

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hii kenya inakila aina ya tabia mbaya jamani nitofanye km congo

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi 14 วันที่ผ่านมา

    Huu ni mchezo gani unaendelea mombasa

  • @kwekwenyotakwekwenyota183
    @kwekwenyotakwekwenyota183 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mtoto alikosa nn surely

  • @BhBh-j4q
    @BhBh-j4q 14 วันที่ผ่านมา

    Who take this kid surely

  • @rosemuriithi200
    @rosemuriithi200 14 วันที่ผ่านมา

    Poleni sana. Mungu awaonekanie.

  • @maazuu-dm7zr
    @maazuu-dm7zr 13 วันที่ผ่านมา

    Kwa maoni yangu between these two parents let them come clean tuanzie hapo,huenda mama alicheza mzee baba mtoto alipie,au baba mtoto how come someone sent you such sms ety game anyway mnainclude someone innocent God protect the baby

  • @KENYANQUEENOFFICIAL
    @KENYANQUEENOFFICIAL 14 วันที่ผ่านมา +3

    Nipitieni guys pale kwangu youtube muone snow yenye imeanguka leo France🎉

  • @doreenmweni3696
    @doreenmweni3696 14 วันที่ผ่านมา

    Lynette Kamadi ni simba

  • @sarahmbuche5189
    @sarahmbuche5189 14 วันที่ผ่านมา

    Safi sana walimu

  • @doreenmweni3696
    @doreenmweni3696 14 วันที่ผ่านมา

    KUPPET POWER

  • @JamesNgala-g3c
    @JamesNgala-g3c 14 วันที่ผ่านมา

    Hapo ndio imefikia wanainchi waxhukue Sheria mikononi.

  • @hakimkhamis-b8f
    @hakimkhamis-b8f 14 วันที่ผ่านมา

    Naona mwalimu wangu yuko apo nyuma Mr bomoa

  • @VICTORKIBET-p8h
    @VICTORKIBET-p8h 14 วันที่ผ่านมา +2

    Uyo madam aseme nani baba wa mtoto kamili kama ni mzee wake ama mpango wa kando...uyo ni mpango wa kando

  • @IbrahimAli-b4e
    @IbrahimAli-b4e 14 วันที่ผ่านมา

    Kwani Gachagua amefika hapo

    • @ruthkarimi2646
      @ruthkarimi2646 14 วันที่ผ่านมา

      Wacha panganga zako na wewe

    • @Shufaa-o8e
      @Shufaa-o8e 14 วันที่ผ่านมา

      Hata mm nimeshtuka kana jamaa anafanana gachagua

    • @IbrahimAli-b4e
      @IbrahimAli-b4e 14 วันที่ผ่านมา

      Panganga ni wewe

  • @FatmasaidhamesaHamesa
    @FatmasaidhamesaHamesa 14 วันที่ผ่านมา

    Huu nimtiani wallah

  • @ValaryWanjala-q7z
    @ValaryWanjala-q7z 12 วันที่ผ่านมา

    Aki Kenya penye imefikia Mungu atusaidie.Mtoto alikosa Nini surely.Watu wamekuwa na tamaa ya pesa sana Hadi wanatumia njia mbaya kupata pesa.Mungu atufunike na damu yake.