Si hata nyinyi mnaona kumtegemea mungu kuna matokeo no matter how long it takes, her statement " hapo nilivumilia sana na kumwomba mungu " God is really faithful can i say the Video grapher was sent by God as her destiny helper❤
Something's happen for a reason...now it's Time for faith to shine and we have to remember the camera man who took the video coz without him or her faith hangefika hapa,we have to give whoever took the video his flowers
Huyu faith kweli n mke wa kuish despite the challenges anapitia yey ako sawa tu.....Kwa hakika from the incidence you are going to be blessed....Pia mama mkwe kweli n Mama wa kusimama
Huyo Mzee alikuwa anamnyemelea huyu msichana but inaonekana Faith alikuwa hataki sasa Kwa hasira yakuwa anakataliwa kila wakati anapomtongoza, ndio akawa anamfanyia hivyo
Napo kusikiza faith nasikia kulia but kupitia kwa hayo kumbuka mungu raises people from grass to grace and this was the right time for you because God's time is the best now your enemies are ashamed
Jamani Mimi ningekuwa na uwezo kwanza ningempeleka Faith hospitalini akaangaliwe uwenda alipata majeraha mbaya ambayo hayawezi onekana kwa inje kutokana na kupingwa alikuwa anapingwa,, pole sana faith 😢
I can relate to her pain. Its hurts being left with a child where sometimes you dont have food, electricity, means of cooking, rent and all you have is God. I went through that and its painful. You literally wait for your neighbour to drop even a small piece of soap for you to collect
I'm far away from home but i don't leave any chance for anyone to harrass my family in whatsoever manner. If my family awe you anything just contact me i'll settle or else otherwise report the matter to police and let's solve it in a legal way. Kama wamekosea i'll correct them privately once you're sorted.
Faith asaidiwe sasa. Huyo mwanamme amempiga wanasema alinunua shamba ili wapate pesa za kusomesha watoto wa hiyo family. Anawadharau kwa sababu ya umaskini ama anataka awanyanganye shamba lote! Inanikumbusha kisa cha Kachukua Hatua Nyingine kwenye Mayai Waziri Wa Maradhi na Hadithi Nyingine. Huyo ameibariki familia ya Faith sasa, yeye akiishia korokoroni.
Guardian angel aliimba wimbo akasema wakati wa Mungu ukifika hakuna natakaye Pinga. It's your time gal. It was painful but God is fighting your battles
Baada ya dhiki ni faraja, Mungu wetu ni mwema siku zote, haijalishi kiwango cha mapito!! Ingekuwa bora zaidi ikiwa mume wake Faith pia angetafutiwe kibarua
I saw tht video and it really broke my heart , 😭😭 why wld you beat up someone just because of a 2kgs flour ata kama ingekuwa 100kgs enyewe some pple are just heartless
This is a very young and beautiful lady chini ya 25yrs maybe huyo mzee alikuwa anamtaka na faith hakuwa anaahikanisha dots.hiyo haikuwa kichapo ya unga bali ni ya rapists, mengine ufanyika ndio usaidike kimaisha,bora hakumuuwa but sasa mzee ataanza kula maharagwe soon😂😂😂family yake sasa itakosa huo unga bila na mzee wao
I appeal for medical check up more so kwa maskio because from how she is talking kuskia kwake kuna shida kubwa and whoever did this karma hanaga usingizi 😢😢😢
When Jesus say yes nobody can say no!!everything happens with a reason Faith's life will change forever who could have known her if that had not happened
Na wale wanaume hawana KAZI na pesa ndio ukataza bibi zao family planning wanataka tu azae throughout.. hata saa hii huyo bwanake akikuja atamuweka mimba ingine tu
Si hata nyinyi mnaona kumtegemea mungu kuna matokeo no matter how long it takes, her statement " hapo nilivumilia sana na kumwomba mungu " God is really faithful can i say the Video grapher was sent by God as her destiny helper❤
Some videos recorded not meant for blaming the cameraman but to arrive at your success . I see success coming to this beautiful girl ❤️❤️
True
Something's happen for a reason...now it's Time for faith to shine and we have to remember the camera man who took the video coz without him or her faith hangefika hapa,we have to give whoever took the video his flowers
True
Kabisa @@RonikaAgo
That's silly
Wamama tunapitia mengi sana kwa sababu ya watoto wetu, God bless all mother's
Anyone struggling with her family,more blessings ❤❤❤❤
Amen God @@phoebeadikinyi3441
Whoever did the recording should get an award or get recognized..tumwambie Asante
Ni huyo wake na yy
Hapana@@ireneondimu5416
@@ireneondimu5416we umeskiza interview 😖
Amen 🙏
@@ireneondimu5416I think so huyo..amesema hakuwa tulip likiendelea alikuja baadaye
Huyu faith kweli n mke wa kuish despite the challenges anapitia yey ako sawa tu.....Kwa hakika from the incidence you are going to be blessed....Pia mama mkwe kweli n Mama wa kusimama
She's smart, beautiful & healthy. 🎉🎉🎉
Unamtaka au
Rashid Allah akubariki wewe na familia yako 🤲
Huyo Mzee alikuwa anamnyemelea huyu msichana but inaonekana Faith alikuwa hataki sasa Kwa hasira yakuwa anakataliwa kila wakati anapomtongoza, ndio akawa anamfanyia hivyo
Ni kama ni ivo alikuwa anamutongoxa😢
Kabisa si unga pekee kitu iko
Hata mie naona ivo
Exactly 💯 alikua anamtaka sio unga no no no
True soo sad
Mungu umasikini ni kitu kibaya najua Baraka simefunguka kwa Faith
Mother-in-law, apewe kikombe. She's a wonderful mother🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 she has really stood with her family
Exactly she is one in a million
Very painful
Really @@brucenyunja1052
Napo kusikiza faith nasikia kulia but kupitia kwa hayo kumbuka mungu raises people from grass to grace and this was the right time for you because God's time is the best now your enemies are ashamed
Ak...me too
FIDA should take over this case
This has broke my heart 😢😢😢 sorry faith
So painful 😢
Indeed 😢
Unga wa kilo mbili inafanya uchape mtu kama nyoka seriously, wee umelaaniwa na mbingu na mchanga. Pole Sana Dada.
A girl from my village 😢.your the mordecai gal its your time, gladness and joy is your portion
Another day we are crying with strangers 😭😭,, but when God wants to change your life he can use it anyway.
And GOD used enemies
Aki bt people are evil ata ingekua niukweli aliona is a 2kg unga worth kuchapa mtu Ivo kweli
True facts
😢😢😢😢painful
@@MableGayiimagine
Justice for faith 😢
Watu hukuwanga na chuki na watu wengine bila sababu.😭Kwanza akijua wewe ni maskini na huwezi mfanya chochote atakuonyesha moto💔💔💔💔💔
Aki 😢
Truest
Faith means a lot now it's your time to shine and succed in your life completely imagine hata mungu ni mkuu
Heko kwa 📷 man/lady,na pia mama mkwe wabarikiwe sana.Huyu dada nimemwonea Imani.....yuwafaa Msaada mahsusi kabisa,Mungu haachi mja wake
Whoever who recorded the primary video deserves a A gold medal. Hii yote ingejulikana aje?
Very true this poor woman show she has really safered 😢😢this her time time shine
Very true Alifanya poa kurecord hatungejua
Very true
@@fredkenyanya1575 kabisaa abarikiwe
Absolutely right ✅️ the video grapher is a convayer belt for Faith Ntambi 's life changing 🙌 ❤
Justice for faith Rashid barikiwa sana
Ako sawa kiakili, shida kuongea tu. Ni kama mzee alimtongoza akakataa ndo akawa na vitina naye😢
So sad aky wamama tuna kapitia 😢😢😢😢 justice for this girl
Jamani Mimi ningekuwa na uwezo kwanza ningempeleka Faith hospitalini akaangaliwe uwenda alipata majeraha mbaya ambayo hayawezi onekana kwa inje kutokana na kupingwa alikuwa anapingwa,, pole sana faith 😢
Alipelekwa though majibu hayajatoka
Sheria imechukuliwa hatua,
Ashapelekwa hosp she'll get well soon
@@naomimoraa1493 nashukuru jamani
I am, it's so painful. God, remember this young God.
Who gave Kenyans permission to be taking laws in their hands.this is so wrong n this lady needs justice
Life changing episode.....camera man should also be rewarded
Rashid God bless you you guys don’t choose whom to interview you welcome all together with lulu
So painful, may she get justice
Wenye wanao wadharau masikini wajue Mungu wetu sio masikini, umasikini ni wa muda tu
I can relate to her pain. Its hurts being left with a child where sometimes you dont have food, electricity, means of cooking, rent and all you have is God. I went through that and its painful. You literally wait for your neighbour to drop even a small piece of soap for you to collect
😭😭😭😭God uplifts the poor.🙏🙏🙏🙏
We demand justice for beautiful faith
She's such a beauty! 😊
She is blessed to have a loving mother in-law
Aki this lady is traumatized 😢😢may God see her through jameni
Poverty has no .roots.poverty doesn't knock at anyone's door God your time to bless someone is indeed . at your hands.i believe in you Yahweh
Mwenye alishukua hii video mungu ambariki sana mahana hii hilikua ni ushsidi kwa faith
Mungu ni mwema.... Mungu uja kwa wakati wake. Mwenye kumchapa afungwe
Thank you Rashid and who ever recorded the vedio
Justice for tis lady please🙏🙏🙏
Mungu Awabariki Sana RMS. God Bless You Rashid for making a Passionate Appeal for Sister Faith. Godspeed!
Caring mother-in law
I'm far away from home but i don't leave any chance for anyone to harrass my family in whatsoever manner. If my family awe you anything just contact me i'll settle or else otherwise report the matter to police and let's solve it in a legal way. Kama wamekosea i'll correct them privately once you're sorted.
Justice for faith hiyo ni inhuman kuchapa mwanamke kuwa na mtoto mkononi
Vibaya sana
What a sad state 😢😢 nipitieni guys pale kwangu youtube😢
Faith asaidiwe sasa. Huyo mwanamme amempiga wanasema alinunua shamba ili wapate pesa za kusomesha watoto wa hiyo family. Anawadharau kwa sababu ya umaskini ama anataka awanyanganye shamba lote! Inanikumbusha kisa cha Kachukua Hatua Nyingine kwenye Mayai Waziri Wa Maradhi na Hadithi Nyingine. Huyo ameibariki familia ya Faith sasa, yeye akiishia korokoroni.
True 💯 maybe anataka kuchukua shamba yao😢😢😢😢😢, nipitieni guys pale kwangu youtube🎉
Mungu amfikishe cameraman mbali thanks umemesaidia faith sana
God please thank you for showing light to this lady she has made me 😭😭 God protect all mothers
Ni uchungu but nimipango ya mungu kubadirisha maisha ya faith.
It's a touching story. Hope mafisi hawatamwandama please in the name ya kumsaidia
Aliechukua vedio mungu akubariki sana😢
Xana 😢😢😢
Ama huyo mzee alikuwa anamtaka faith na akakataliwa ndio akaamua kuwekelea makosa ndio apate fusa ya kumpchapa😢
Very likely.
Mwanaume ukimkataa aneza kuchukia.sana
Maybe 💯 nipitieni guys pale kwangu youtube🎉
By the way
Kabisa 😢😢watu wa mkobubo mananasi waaah
Finally God has done,barikiwa sana Rashid
Mother inlaw thank you…its rare to find such kind and caring Mother-inlaws
To God be the glory because He Has lifted faith higher Psalms 113:7-8
😢😢sina mengi lkn umaskini ww watu maskini tumejionea mengi
Kabisa
Faith she is humble and patient to her life
😢😢😢😢😢😢Aki Mungu wangu.if I ever complained about my problems ..please forgive me GOD.av really felt for this lady.😢😢😢😢😢😢😢
Huyo mwanaume bado anapumua??justice for this girl
Ako ndani very stupid man
Faith be strong and believe on God will help you
Guardian angel aliimba wimbo akasema wakati wa Mungu ukifika hakuna natakaye Pinga. It's your time gal. It was painful but God is fighting your battles
Baada ya dhiki ni faraja, Mungu wetu ni mwema siku zote, haijalishi kiwango cha mapito!!
Ingekuwa bora zaidi ikiwa mume wake Faith pia angetafutiwe kibarua
God's grace is coming to her life
Aky mungu kumbuka watu wako 😢😢😢😢😢i feel for faith umasikini ni kitu mbya
Ata kama alikua amechukuwaa sio vizuri kumuchapaaa kiazi hisho.
Who is cutting onions😢😢
Me
😢😢
Me
Have really cried but let justice take its course
😢😢😢😢so sad,i pray 🙏 someone comes for her rescue shes so humble
So bad may this lady get Justice please
Justice for faith😢😢😢
This is so sad, hata kama alikua amechukua unga ya 200 angeambiwa alipe hata mara tano
Mtu mwenye unajua njaa ni nini huezi fanya ivo.. Nitamwambia enda nayo lakini usirudie hiyo tabia na iwapo hana ni heri uombe.
God stood with her🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤.
I saw tht video and it really broke my heart , 😭😭 why wld you beat up someone just because of a 2kgs flour ata kama ingekuwa 100kgs enyewe some pple are just heartless
Eric omondi kuja tuanzie hapa wewe ndo kusema na kutenda
I really felt this story...na yule mzee Jamani mungu amsamehe
She's very beautiful but I feel took much tears
This lady she's very beautiful ❤️
Hearing aid gadget will benefit this girl
Sure 💯
Mbona anahema she needs medical attention.
Remember its her first day on cameras
Please stop!!!!!at least you can understand her what's she is trying to say......
Exactly she is not breathing well
Walisema faith ako na shida kuongea na kuskia
Huyu Mzee ashikwe mwanadada apate Haki yake....wazee wa hovyo sana
People of Good heart stand for Faith😢
Ahsante sana citizen tv kwa makubwa mmemtendea faith, inashanza kuona tukio hilo kutoka kata yangu!! Ni huzuni sana
She seems to be honest with generous
Mungu afungulie kathabi makuu
Amen God
Sorry faith huyo mzee alikuwa na wivu jamen 😢😢😢😢
Pole mamaa mungu atakuonekania
This is a very young and beautiful lady chini ya 25yrs maybe huyo mzee alikuwa anamtaka na faith hakuwa anaahikanisha dots.hiyo haikuwa kichapo ya unga bali ni ya rapists, mengine ufanyika ndio usaidike kimaisha,bora hakumuuwa but sasa mzee ataanza kula maharagwe soon😂😂😂family yake sasa itakosa huo unga bila na mzee wao
Sure 🎉
True
😭😭😭😭
What is really happening
Umaskini 😭😭😭😭😭😭
I appeal for medical check up more so kwa maskio because from how she is talking kuskia kwake kuna shida kubwa and whoever did this karma hanaga usingizi 😢😢😢
True
Power of social media that they want to shut ..
When Jesus say yes nobody can say no!!everything happens with a reason Faith's life will change forever who could have known her if that had not happened
Na bwanake amemtoka but naona atarudi kwa kumuona kwa tv, faith achana na uyo bwana yako
Am sorry to answer you but the husband had travelled to look for green pastures somewhere he was not at home plz
Kwa hivo ako na mumewake@@bosiboripriscah1885
Nyandarua surely Kwani ni haki na anaongeanga na mamayake hawezi pea Bibi simu waonge 16:06 Mwaka mzima nooooo dear 16:06 e@@bosiboripriscah1885
Bwanake alienda nakuru kibarua 😴
Bwana alienda kutafuta kibarua ,hajamtoka
This lady is very beautiful
May you find justice Faith 🙏🫂
Msichana alikataa mambo ya huyu mzee ya ngono ikamuama sanaaaaa
Ukweli
Shinda inakuanga na matharau, Mungu saindie kila mtu sana sana wamama. Wamama huwatunapitiya mashinda mingi sana especially wakati tunaleya watoto.
good work from camera man,,na huyu mwanamke atafunguliwa njia zake kuanzia leo,,
Na wale wanaume hawana KAZI na pesa ndio ukataza bibi zao family planning wanataka tu azae throughout.. hata saa hii huyo bwanake akikuja atamuweka mimba ingine tu
May God touch the hearts of these rich individuals to help faith.
and she is really beautiful ,kwa kwli🎉🎉atabarikiwa