Hongera sana Ally Kamwe, kwa kuweza kusali vema Baba yetu na Salamu Maria. Mungu azidi kukuongezea baraka na mafanikio katika majukumu yako haya muhimu na ya kifamilia.
You sound soooo stupid! Walimu waliokufundisha Wote waislam, madawa unayomeza yametengenezwa na waislam, Barabara unazotumia zimejengwa na waislam! ACHENI KULETA upumbavu! Regardless ur religion,we all pray to one God! What a fool? Faith is in you heart bro SIO kuvaa kanzu au kujua KIARAB
Watu acheni ushamba huyu dogo anahudumu kwenye taasisi kubwa ambayo inamchanganyiko ya dini mbili hivyo hapa alipo yupo kwenye kituo cha kulelea watoto yatima na cha kikristo hivyo mlitaka asalimie kiarabu. Kwa hata mama Samia huwa akisalimia hivyo huwa anakosea? Watanzania tuache ukosoaji hata kwenye mambo ya msingi msiyoyajua
Mm niseme tu Alliy kamwe amekosea pakubwa sana anatakiwa amuombe radh mola wake hiyo sala inaweza ikamtoa ktk uislam km akifanya masikhara Alliy kamwe nenda kaangalie vzr hii vedio utajua wap ulikosea
Acheni mambo ya ujima, jifunzeni kuishi na watu wote kulingana na mazingira yao, huo ndio ukomavu wa imani na maarifa bora. Ally kamwe ameelewa vema World view.
Hongera sana Ally Kamwe, kwa kuweza kusali vema Baba yetu na Salamu Maria. Mungu azidi kukuongezea baraka na mafanikio katika majukumu yako haya muhimu na ya kifamilia.
Toeni maoni bila kukashifu.Sisi wote ni wamoja.Iwe muislam au mkristo,ni wamoja.Ndio kinachofanya tanzania kuwe na amani.Safi sana Alyy kamwe.
Mwenyezi mungu awa bariki na kuwalinda maana watoto wame pata baraka na skukuu ime nzuri kwao
Mungu awabariki sana wanayanga mpate ushindi🎉🎉❤
Woow!! Hii imenibariki sana ❤
Uko vizuri kamwe umejifunza mengi
Amiin mungu atuongoze leo tupate ushindi dhidi ya dodoma jiji fc
Heeeeeeh kweli Mungu wetu sote Ally Kamwe unajua Hadi sala za Kikristo Mungu awajaalie haja ya moyo wenu mpate matokeo wanayanga. Aminaa 🎉
Yaa hii club yetu wote waislamu na wakristo ndo maana wanatembelea vituo vya waislamu na wakristo.
@selemanmcharazo nimefurahii sanaaa
Hata mimi nashangaa😅😅
Kilamtu azingatie iman yake
Iman ya ali kamwe ipo moyon mwake
Aly kamwe kumbuka iyo ni kazi usitekeki sana na Ayo mambo ya upande wapili
Kuna din na iman ally kamwe ana imani sio dini
Mungu akulinde semaji letu
Mungu azidi kutuongoza ktk shughuli zetu
Alliy sijapenda hii clip. Mkitoa fanyeni Siri. Mungu amekataza alliy
We ungejuaje,na wanahamasisha na wengine wajitoe
Inaruhusiwa kutoa Kwa Siri na dhahiri ili kuhamasisha wengine kutoa.
Lipi mbaya?
Natamani nimtukane huyuuu au basii sasa hapo lipi baya?
Nyie mnaongalia dini ,mshachelewa mwache amuheshimu na kumwomba anamwamini mungu ni mmoja
Mohamed showing ubarikiwe kwa uelewa
Ww ali kawme iyo kazi tu kuna maisha baada ya kufa utartad bila ww mwenyewe kujua
Ally kamwe tunakushukuru kwa maombi
Innalillah wainnailayhi raaj'un muislamu wasema "2msifu yesu kristo"acha tu Allah atuadhibu
Sasa hp amekosea nn iman ya mtu iko kifuwanii wache kupnda kuongea vibya sis sote n ndugu
Ni upumbavu tu wakifikira ndio unakusombua ww na dini yako kama umekamilika ungekuwepo hapa na kushinda mitandaoni badilika kifikira
Jifuze kuwa na imani sio dini badilika broo
soooteee ni ndg wote ni watanzaniaa ndinii baadaeee swaala la yanga ni swalaa la utaifa zaidii uwe muelewa bhn
You sound soooo stupid! Walimu waliokufundisha Wote waislam, madawa unayomeza yametengenezwa na waislam, Barabara unazotumia zimejengwa na waislam! ACHENI KULETA upumbavu! Regardless ur religion,we all pray to one God! What a fool? Faith is in you heart bro SIO kuvaa kanzu au kujua KIARAB
😂😂😂😂nilijua tu umu ndani kuna washenzi watacheka
Mbona akuna shida kwaiyo kisa dini watu wasipendane sio kwel me naona akuna shida
Mtaiga Sana mtachoka nyie SI chochote igeni kutoka smba
Saf sana alikamwe
Watu acheni ushamba huyu dogo anahudumu kwenye taasisi kubwa ambayo inamchanganyiko ya dini mbili hivyo hapa alipo yupo kwenye kituo cha kulelea watoto yatima na cha kikristo hivyo mlitaka asalimie kiarabu. Kwa hata mama Samia huwa akisalimia hivyo huwa anakosea? Watanzania tuache ukosoaji hata kwenye mambo ya msingi msiyoyajua
Kamwe hongera kwa kupiga sala 😂😂
Alikamwe nikiongozi wetu waislam na wakristo ktk mpira kwahiyo ulitaka abague,wewe ukifa unaenda mwenyewe nayeye kivyake wewe unaumia nini
Kwan yeye anawahudumia jamii ya kiislam tupu ? Tabia mbaya saaana ubaguz tu kusali aaaaaaaah
Wewe ni mungu unayemwambia amekosea kuomba kikisto,mungu Hana dini walambinguni dini hzipo
Mm niseme tu Alliy kamwe amekosea pakubwa sana anatakiwa amuombe radh mola wake hiyo sala inaweza ikamtoa ktk uislam km akifanya masikhara Alliy kamwe nenda kaangalie vzr hii vedio utajua wap ulikosea
Acheni mambo ya ujima, jifunzeni kuishi na watu wote kulingana na mazingira yao, huo ndio ukomavu wa imani na maarifa bora. Ally kamwe ameelewa vema World view.
Acha unafiki sisi sote ni ndugu watoto wa baba mmoja