Mungu ibariki tanzania mungu ibariki yanga yetu iweze kupata mweendelezo mzuri zaidi kocha wetu mpya aweze kuwaongoza kwa kila mchezo ujao waweze kushinda
Mfumo huo wa gusa achia hauz fanyakazi kwenye mechi za kimataifa sababu timu za clab bingwa zina wachezaji wenye quality kubwa,huo mfumo utafaa kwenye ligi mkuu
Timu bado haina njaa ya magori, ikifunga bao 3 inaridhika, offensive wise sio saaana kama ya gamondi, kwa jinsi walivyocheza prisons ilibidi wapigwe nyingi. Mdathir mchoyo sana. Amekosa gori, kumbe angempa dube alikuwa kwenye nafasi nzuri

Yanga bingwa
Dube huyooo 😂😂😂
Mfumo huo wa gusa achia hauz fanyakazi kwenye mechi za kimataifa sababu timu za clab bingwa zina wachezaji wenye quality kubwa,huo mfumo utafaa kwenye ligi mkuu
Mkumbkeni na faridi musa na sure boy
Sijawaelewaaa hawa wandishii ety hawamjuiiiiii kitale iwonder......🏃🏻🏃🏻🏃🏻!!!!!!
Bado tunamtaka baleke acheze
Ndoo tumeanza ss muongee tn
Bado hamjajipata endeleeni kujitafuta.
Ongelea goli la nne Leo basi kidi kama pere mkono😢
Halafu nilitaka kusahauuuuu piga kichwani hao bado wanapumuaaaaaa..
Mi nafrai sana mwana mfalme akifunga goli
Timu bado haina njaa ya magori, ikifunga bao 3 inaridhika, offensive wise sio saaana kama ya gamondi, kwa jinsi walivyocheza prisons ilibidi wapigwe nyingi. Mdathir mchoyo sana. Amekosa gori, kumbe angempa dube alikuwa kwenye nafasi nzuri
Kamdomo😂😂😂😂
Bado ujasema
Dube alilogwa na makolo ambao ni simba
kwl yan
Apo sw
Kitale hana goli