BODABODA ALIEHUSIKA KUMUA MTOTO WA MIAKA 6 DODOMA AFIKISHWA MAHAKAMANI/ ATAHUKUMIWA KIFO?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 37

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 8 วันที่ผ่านมา +10

    Hawa vijana mmoja wao inaezekana na mpenzi wa Jojo. Haiwezekani tu mtu akaamua kuua Kuna jambo lililojificha hapa..mama ahojiwe kuhusu hili poa.

  • @claudiangowi9628
    @claudiangowi9628 6 วันที่ผ่านมา +1

    Nawaombea Mungu haki itendeke na aliyefanya haya ajulikane.

  • @williamgeorge-hd2tn
    @williamgeorge-hd2tn 7 วันที่ผ่านมา +3

    Ila haya mambo iseeeh usiombe,usikute hao boda boda wema wao umewaponza,huenda hawajahusika nimewaza tu

  • @frankmollel8510
    @frankmollel8510 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kwahiyo unaweza kumuacha mtoto na bodaboda alafunyie mnaenda Kula maisha kweli ubwa wao

  • @omegaanyitike3263
    @omegaanyitike3263 7 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman kisheria ao jamaa sio wauaji Bali ni washitakiwa ko tusubili maamz ya mahakam tusiwe wepesi wa kuwahukumu wenda ndio wameua au hapana

  • @DeborahreubenReuben
    @DeborahreubenReuben 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hii dunia kweli inataabu nyingi sana

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 3 วันที่ผ่านมา +1

    Inavyoonekana kama vile huyu boda boda anashangazwa na kinacho endelea. Labda na yeye alimuachia huyo mwingine amuangalizie mtoto ili ampeleke mteja mahali.

  • @Faustinapre
    @Faustinapre 8 วันที่ผ่านมา +3

    Ila uyu mwingine yani haelewi kabisa nini kinaendelea😢

  • @stellamokiwa2025
    @stellamokiwa2025 7 วันที่ผ่านมา +2

    Wakaka wazuri jaman

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 7 วันที่ผ่านมา +4

    Uyu boda boda Ata ukimwangalia ni kama aelewi kinacho endelea ila mama wa mtoto mbona ajakamatwa

  • @alicedusabe7510
    @alicedusabe7510 6 วันที่ผ่านมา

    Wa mama wengine kama hawajapata uchungu 😭😭wewe unaacha mtoto eti naenda kujifukahisha uwekwe ndandi kwanza nawewe upate maumivu mala 2 mujinga wewe mama

  • @RandomRealitiesRevealed
    @RandomRealitiesRevealed 8 วันที่ผ่านมา +3

    Waandishi wa mitaani, hao sio wahusika hao ni watuhumiwa

  • @PeterOlais
    @PeterOlais 6 วันที่ผ่านมา

    Ama kweli binadamu mungu atuhurumie

  • @saumusulaiman4742
    @saumusulaiman4742 8 วันที่ผ่านมา

    😢😢😢😢jmn mumuue mtt mdg hy asokuwa na hatia jmn dah mungu a2pe nyoyo za huruma 😢😢😢

  • @FrahaTitu
    @FrahaTitu 7 วันที่ผ่านมา +4

    Mama awe wakwanza kufungwa maana ni uzembe sana na ukahaba wa hali ya juu alienda wapi usiku kucha chanzo cha kifo hicho ni mama.awe wakwanza kwenda jela

  • @InnocentClover-dh8hz
    @InnocentClover-dh8hz 8 วันที่ผ่านมา +2

    Hao hawana hatia Kuna mchezo ulichezwa hpo

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 7 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna kitu kimejificha apa siyo bule

    • @MUDIKIDEVU-fl7ii
      @MUDIKIDEVU-fl7ii 6 วันที่ผ่านมา

      Muda unavozidisogea tutafahamu tu

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 6 วันที่ผ่านมา

    Au uyo mtoto alikuwaa ana baba wawiliii

  • @EmeverlyneZz
    @EmeverlyneZz 7 วันที่ผ่านมา

    Wauliwe😢😢

  • @nolbetykasim3329
    @nolbetykasim3329 8 วันที่ผ่านมา

    Tuwe makini kwenye hili jambo kama wamekiri ni wao wamehusika watuambie na wale wengine ni wao au na kama sio wao atafutwe mhusika na atuambie kwa nini mtoto je na wengine ni yeye au yaani akipatikana ahukumiwe jera ya peke ake mbwa huyo

  • @CafeJohn-n9o
    @CafeJohn-n9o 5 วันที่ผ่านมา

    Kwa hiri wayongwe tu kama walivyo katisha uhai mtoto mdogo abaye hana hatiya

  • @humaidalnaamani7859
    @humaidalnaamani7859 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ikiwa wamefanya hukumu ni kifo

  • @IsabellaZacharia
    @IsabellaZacharia 6 วันที่ผ่านมา

    Naomba wahukumu watende haki binafsi sion mwenye hatia apo

  • @SaidAbdallah-sm1ft
    @SaidAbdallah-sm1ft 8 วันที่ผ่านมา

    Sasa wafanya Nini mpaka Sasa hao wasivheleweshwe wapigwe kichwani kama walivyo muuwa mtoto au wapigwe risasi za kichwa wauliwe

  • @MUDIKIDEVU-fl7ii
    @MUDIKIDEVU-fl7ii 6 วันที่ผ่านมา

    Ila huyo bodaboda mbona kma hajuikabisa kilichomleta hapo....? Wamchunguze vizuri wajue kua ni yeye kweli alofanya hivo au ndo kwasababu mkutwa na ngozi ndio mlanyama.....?

  • @LuganoMwalwembe
    @LuganoMwalwembe 6 วันที่ผ่านมา

    Hapana hiyo

  • @tembatembele5332
    @tembatembele5332 7 วันที่ผ่านมา

    Mama alienda kura bata

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 6 วันที่ผ่านมา

    Utauwaje mtoto mdogo hivyo jamani huogopi laana ?

  • @majanitvshow670
    @majanitvshow670 8 วันที่ผ่านมา

    Nawao pia wauaweee

  • @LeahEdwin-n6c
    @LeahEdwin-n6c 6 วันที่ผ่านมา

    Yupi boda kati yahao wawili?

  • @NgomboAggy
    @NgomboAggy 8 วันที่ผ่านมา

    Uyo hb anafungwa jamani

  • @MuniraGambere
    @MuniraGambere 8 วันที่ผ่านมา

    Watu kama hawa ni wa kufa tu... mtoto aliwafanyia nini?????

  • @hassanmwallimu5767
    @hassanmwallimu5767 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi wewe ni bogus kabisa hao ni watuhumiwa na sio washitakiwa

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 6 วันที่ผ่านมา

    Yan unamwachia bodaboda mtt kwan wa dada mnamatatizo gan naujinga wenu mkafugwe wote naujinga wenu