MBINU 6 ZA KUPATA WAZO BORA LA BIASHARA - Victor Mwambene.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Kama wewe ni miongoni mwa watu wenye mtaji fedha ila haujui ufanye biashara gani, basi somo hili ni muhimu sana kwako kwani utajifunza mbinu kubwa sita za kupata wazo bora la biashara.
    .
    Tafadhali Usiache Ku-SUBSCRIBE na kubonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa ya somo jipya tunapo kuwekea.
    .
    KUMBUKA, Masomo haya yanakujia kila siku ya J’pili yenye lengo la kukusaidia kuwa na akili ya fedha pamoja na akili ya Biashara.
    .
    Kwa Mafunzo au Kupata Vitabu vyangu vya Fedha na Biashara Tafadhali wasiliana nami kwa 0744126640. Nitumie Majina yako Whatsapp Kupitia namba hiyo ili tukuunge kwenye Kundi letu la Whatsapp uzidi Kujifunza kutoka kwangu.
    KUPATA VITABU PIGA 0744126640 / 0658503737.
    1. KANUNI 20 ZA FEDHA.
    2. JINSI YA KUANZISHA NA KUKUZA BIASHARA.
    3. NGUVU YA KUJUA.

ความคิดเห็น • 17