HAKUNA PEPO YA KUSWALISWALI.DK SULE NCHINI MSUMBIJI.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 28

  • @mohamediramadhani6120
    @mohamediramadhani6120 3 ปีที่แล้ว

    Duh noma sana

  • @saquinaalisufo2266
    @saquinaalisufo2266 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣sio kisuaile na kisuaile 🤣🤣

  • @rashid-h7341
    @rashid-h7341 7 ปีที่แล้ว

    kweli kbs Dr Sule, Mashaallah

    • @allyhassani3442
      @allyhassani3442 7 ปีที่แล้ว

      Heritier Rashid hunayo elimu hata kidogo ya shaarha

    • @allyhassani3442
      @allyhassani3442 7 ปีที่แล้ว

      Heritier Rashid haooo jamaa wazushi mnooo

    • @allyhassani3442
      @allyhassani3442 7 ปีที่แล้ว

      Heritier Rashid kuwa makini Akhy

    • @saidabdallah6495
      @saidabdallah6495 6 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa hakuna pepo ya kuswali swali. Km hivyo alivyoeleza dr. Suley. Mbona suratul bakara imeeleza jamani, twatakiwa tuisome jamani dini yetu. Zama hizi tumeichukulia hii dini ni jambo dogo sana. Tusomeni, eee he e!

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว

    aaaa mbona hivo gwau vipi jamani. kwa nini umetuekea kipande

  • @ismailhassan5662
    @ismailhassan5662 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣🤣kiswaili kina tafsiriwa na kiswaili.

  • @ishaqsalim3107
    @ishaqsalim3107 3 ปีที่แล้ว

    Wewe hata hujijui waongea nini

  • @swalehothman8251
    @swalehothman8251 4 ปีที่แล้ว

    Dr dokta huna elimu hata kidogo

  • @abuurayyan3393
    @abuurayyan3393 4 ปีที่แล้ว

    Dr ww hujasoma dini usiwadanganye watu

  • @ustadhihamisi1081
    @ustadhihamisi1081 6 ปีที่แล้ว

    Lugha gani hiyo ina fanana sana na kiswahili

  • @othmanbakari2675
    @othmanbakari2675 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ni mjinga ktk dini kuna aya 'na hadith zinazo husu kupata pepo tena firdausi na unamzulia mtume ww mjinga

  • @hamzamussa8727
    @hamzamussa8727 7 ปีที่แล้ว

    endelezea video tafadhali

  • @aminariziki1677
    @aminariziki1677 6 ปีที่แล้ว

    tunaomba mtuekee video hii imaliziki tafadhali.tupate kuelewa zaidi.

  • @joharikaiche2484
    @joharikaiche2484 7 ปีที่แล้ว

    mbona kipande

  • @tatukinyogoli9001
    @tatukinyogoli9001 6 ปีที่แล้ว

    mbona hamjamalizia mtawachanganya watu

  • @aeshaha8770
    @aeshaha8770 7 ปีที่แล้ว

    khaa mbona kipande tena

  • @gaddafialjabry
    @gaddafialjabry 4 ปีที่แล้ว

    Jannatul firdaus imewekewa wenye kuswali! Wewe Dr sule ushangolewa jino kwa sababu ya dini?

    • @babyhamisi1437
      @babyhamisi1437 2 ปีที่แล้ว

      Wallai msiba huu,utu Dr sule hajielewi