baadhi ya nyimbo zao zilizo tamba sana Sabaha Mlango wa mungu,Rukia Udugu wetu mchana ,Mwanaidi Pakacha Ashura paka mapepe Afua Utalijua jiji naongezea Mwanaidi ZOA ZOA
Melody, ahhh what a find!! Absolutely the best taarab...whats the name of this queen? Some one please give me the lineup of the East African Melody stars singers.
Ramadhan niko Mbali na jiji pia nimemiss mtoe Ngoma mpya pia natamani Mrudi wale wa zamani kina rukia ,Mwanaidi,Khadija yusuph,Eshe Mohamedy,Afua, Ashura, Sabah Salum Nawapenda Sanaaaaaaa
Mwalimu Maandiko hii nyimbo haina miaka 15 huu ni wa 12 Imetoka Mwishoni mwa 2007 kundi ni East African Melody Muimbaji Mwanaidi Shaaabani Waiitikiaji ni kina Afua suleiman ,Rukia Ramadhani ,Ashura Majaaliwa na Mariam
Nipe hizi nipe zile kubeba unajipinda 2024🙌
Dah uyu mama yuko poa sana 2020 tujuane kwa like
Sawa bossss......
baadhi ya nyimbo zao zilizo tamba sana Sabaha Mlango wa mungu,Rukia Udugu wetu mchana ,Mwanaidi Pakacha Ashura paka mapepe Afua Utalijua jiji naongezea Mwanaidi ZOA ZOA
Nyabise Maro nawakubari sana
Mashallah
Akiliii zetuuu zinafanaaaa
Zamani mlikua mnaimba jaman Mimi nilikua naskia mama angu anazipenda izi nyimbo ! Bc ata Mimi huwa nazikumbuka
Sasahivi nivurugu tuu miaka 90 mpaka 2000 vurugu zikaanza
2024 still hit song❤❤
Nimekuja kuona mwenye kusema ,"UMEJAZA UMESUNDA"😅😅😊
❤❤❤❤ MKONO TELE NA NYANDA DAAAAAH!!!!!!!
Hiii team ilikuwa haimuachi mtuu salamaa mpk uinukee uchezeee East Africa taarabuuu
it was my friend's favorite song R. I. P my best friend 😭
Gonga like tujuane kama nawe umelielewa song
Aaaaahhh mtu mfupi mwenzangu nakupenda sana na nakumiss sana...
Nampenda kea roho yangu yote
Ukiwa hujafahamu ameshakwacha kitambo 💃💃💃💃💃💃 nakumbuka mbali 👌👌👌👌👌
Hongera mwanaidi shaaban!!! Maneno kuntu👌👌👌
#ili ngoma sijaona Kari kisenge
Mwanaidi Shaabani,Sabaha Salum chachu,Rukia Ramadhani,Afua suleim,Ashura Ramadhani na Mariam pia Mwanahawa Ally nimewamiss sanaa
Si mariam ni Aisha othman
Na Mariam pia yupo huyo Dada Mwembamba
Melody, ahhh what a find!! Absolutely the best taarab...whats the name of this queen? Some one please give me the lineup of the East African Melody stars singers.
2021 mpoo😘💃💃💃💃
Nakumbuka ENZI hizo... pakacha litabeba jivu 😅
KAWAIDA YA PAKACHA HUVUJISHA NA HALINA STARA KIKAWAIDA...✍️
2021 🔥🔥❤
pakacha iko poa sana nyimbo za zamani ziko poa sana
Pakacha pambeeeeee
#kiboko San ili goma
Mwanaidi wangu!
Hahaaaaaaaa Kweli
Laiki hapa by ishala mmepe❤❤❤❤
Napenda misemo yako mwanaidi shaaban
yaani taarab hii nzuri hata melody zake zimekaa sawa!!!!!
Nasikiliza hadi leo .penda sana
Ok-dada-namaindi-uy-nipenamba-yako-yasimu-nakuenda-sana
Iyo atali miaka mia inadumu
Mkono tele na nyanda mkono tele na nyanda tamaa imekushikaaaaah
🙌🙌beba usichoke beba 🔥🔥🔥
Bado nasikiliza 2019
Anakwambia aupo tena kwenye team nenda kacheze cha ndimu😅
2021
msham nakuomba utuweke nyimbo ya mzee yussuf na omar kindumbe ndumwe chali
Aug 2024🎉❤
mambo yamekuenda kombo na sasa utabeba taka!!lolooo,ikiwa hujafahamu ashakuacha kitambo
🤣🤣🤣
Daaah kitambo Sana hii ngoma namkubali uyu mama.
Watoto wa 2000 awazijui
Mara hiki Mara kiLe Vingine Vitakushinda Vingine Vitakushinda Siku Zote teLe teLe Mkono teLe Nang'anda Mkono teLe Nang'anda ikhas itakushinda
Taarabu hii ya zamani sana
Maskini African Melody Modern Taarab i miss you very mutch
+siti ntsoholi mbona hii kundi bado ipo!
Ahsante sana Mshamu Maji :-)
Sawa!!
@@mshamumaji4742 msanii mwnyw alikufa ktmboje mwanaidi shaban
Ulipewa ukaacha?? Wow 😮
Hehe anakwambia tumeshakupiga picha yavuja washindia kumbe we pakacha bovu😂hatarii miss power mwenyewe from zenjibari
kadamshi
fantastic music from home. pls keep posting more taarab.
awAaa
@@samiramrabumrabu6378 is possible l0😮😢😅😅😢 5:❤❤❤❤❤😮29 😮😅😅 5:38 5:39 😅😅😅😮😢😢😊😮😮 8:01 9:10 😮I'm 😢😢😊
2020 bado tupooo nayo
Kweli ya kale dhahabu
2023 tupia likes hapa tunaosikiliza
Super
PAKA PAKA PAKACHA
mambo ya rusha roho hayo si mchezo ,nawaminia east africa melody
Atufigwege Mponi tenaaaaa maneno mareshi bi mwanaid penda sana shost
❤❤👍2020
cheza na wenda wazmu huchagui wee pakacha heheheee
Melody hoyeee
Nakupenda sna hii nyimbo
Hapo cha cha ajulikana pakacha
wajulikana pakacha hamna siri tena shoga nimekufunika sasa huna lako jambo
Cheza nawendawazimu uchaguliwe pakacha hahahahaaa
MZUR MAPAKACHA WAMEJAAA
Ngoma tamu!
maashallah
2022
Amazing
huko Tena kwenye timu nenda ukacheze katimu hahahahahaha hatujuwe byenye tunapendaka kweli
pakacha
mama ni wamoto wewe
😂sauti nzuri uko wapi hivi sasa unaendelea na taarab
4:33
Nice taarab song
Jamani tumewamiss Kundi hili la East Africa Melody taarabu
Ukuje Lango La Jiji J3
Ramadhan niko Mbali na jiji pia nimemiss mtoe Ngoma mpya pia natamani Mrudi wale wa zamani kina rukia ,Mwanaidi,Khadija yusuph,Eshe Mohamedy,Afua, Ashura, Sabah Salum Nawapenda Sanaaaaaaa
2024mukuje hapa❤❤❤❤❤
Wajulikana pakacha shoga nimekufunika
Konk👌👌👌
Natan ijiridie tena
Abilahi omary
❤😅
😂😂👌👍🙏
🥰🥰🥰🥰
Mkono tele na nyanda tamaa imekushika
Nikiwa nawarabu ukunaburudik
Na mim mnaye uku pakacha bovu
Mwmbali nani
Pakacha
Swahili taarabu tuwekee kipande kilichobaki
😂😙
gog
Lo!Hii mpya toka jikoni ama vipi?Kali sana,nani huyu aitwa pakacha?
omukolongolo yani umeandika comment inamiaka9 hapa looo zama sana huu wimbo
na bado mtamu hivi
@@priscilarkahindi9126 ata we muongo nyimbo inamiaka takriban 15 kitambo mno Ila aichuji
Mwalimu Maandiko hii nyimbo haina miaka 15 huu ni wa 12 Imetoka Mwishoni mwa 2007 kundi ni East African Melody Muimbaji Mwanaidi Shaaabani Waiitikiaji ni kina Afua suleiman ,Rukia Ramadhani ,Ashura Majaaliwa na Mariam
@@nyabisemaro5574 umemsahau Aisha uthman sijamuona maryam