Tumaini Langu by Merveille Kasitu ‘’My hope’’ by Merveille Kasitu Wewe ni wangu wa maisha ‘’You are mine for life’’ Tena ni nguvu yangu ijapo shida ‘’And my strength in spite of difficulties.’’ We’ni wangu wa maisha ‘’ You are mine for life’’ Yesu ni suluhisho ijapo shida ‘’Jesus is the solution in spite of hardships’’ Sina mwengine wa kutegemea ‘’I have no other to lean on’’ Ila ni wewe pekee natumainia ‘’except you alone I trust in’’ Roho yangu imechoka sana ‘’My spirit is very tired’’ Msaada pekee ni wewe tu Bwana ‘’The only help is you alone, Lord’’ Bado nakiri wema wako ‘’ Still I tell your goodness’’ Hata hili litapita ninajua nitafika (3) ‘’Even this will pass away; I know I will arrive’’ Watengeneza njia mbele yangu ‘’ You make a way before me’’ Neno lako ni Mwanga kwa njia yangu ‘’Your word is Light on my way’’ Nafuata hatua zako moja kwa moja ‘’I follow your footsteps systematically’’ Sitaogopa, Bwana u nami ‘’I will not be afraid, Lord you are with me’’ Bado nangoja na tumaini nangoja ahadi yako kwangu itimie ‘’still I wait with hope; I wait your promise for me to come true’’ Bado nangoja, najikaza, natembea; mupango wako kwangu utimie (7) ‘’Still I wait, I strive, I walk; may your plan for me be fulfilled’’ Hata hili litapita ninajua nitafika (3) ‘’Even this will pass away; I know I will arrive’’
Be blessed.
Endelea kuitumia Karama uliyopewa kumtukuza Mungu.
Ni watu wachache sana waliopewa Karama uliyo nayo.
The right song@ the right Time
Nakutumainia Eeh Yesu 🙏🏻 Hata hili litapita Amen
Tumaini Langu by Merveille Kasitu
‘’My hope’’ by Merveille Kasitu
Wewe ni wangu wa maisha
‘’You are mine for life’’
Tena ni nguvu yangu ijapo shida
‘’And my strength in spite of difficulties.’’
We’ni wangu wa maisha
‘’ You are mine for life’’
Yesu ni suluhisho ijapo shida
‘’Jesus is the solution in spite of hardships’’
Sina mwengine wa kutegemea
‘’I have no other to lean on’’
Ila ni wewe pekee natumainia
‘’except you alone I trust in’’
Roho yangu imechoka sana
‘’My spirit is very tired’’
Msaada pekee ni wewe tu Bwana
‘’The only help is you alone, Lord’’
Bado nakiri wema wako
‘’ Still I tell your goodness’’
Hata hili litapita ninajua nitafika (3)
‘’Even this will pass away; I know I will arrive’’
Watengeneza njia mbele yangu
‘’ You make a way before me’’
Neno lako ni Mwanga kwa njia yangu
‘’Your word is Light on my way’’
Nafuata hatua zako moja kwa moja
‘’I follow your footsteps systematically’’
Sitaogopa, Bwana u nami
‘’I will not be afraid, Lord you are with me’’
Bado nangoja na tumaini nangoja ahadi yako kwangu itimie
‘’still I wait with hope; I wait your promise for me to come true’’
Bado nangoja, najikaza, natembea; mupango wako kwangu utimie (7)
‘’Still I wait, I strive, I walk; may your plan for me be fulfilled’’
Hata hili litapita ninajua nitafika (3)
‘’Even this will pass away; I know I will arrive’’
The fact that you play your guitar so well made me love you more!!! Barikiwa dada
Mungu aku tumiye zaidi dada ❤️❤️❤️❤️
Amen, hata hili lita pita, sure nita fika, barikiwa my dada
Très bien vraiment j'apprécie
endelea mbele dada , Mungu a kubariki
You’re gifted I’m also praying for you. God bless you abundantly🙏🏾
Hakika, hata hili nalo litapita
Wooow❤ so encouraged and blessed by this ...the lyrics are amazing❤very beautiful and anointed voice
God bless you❤❤️
courage vraiment. Il faut l'espoir dans le desert
Congratulations Merveille. God has granted you special skills for his glory. Keep on and watch over yourself
Très cool Merv. Courage sana
Waaaow nimeupenda guy Wimbo Sana💯💯🔥🔥🔥❤️❤️
Wonderfull Song; Ubarikiwa sana Dada de moi
Amazing voice, I love it.. MUNGU akutumie vyema dada..
Man this is beautiful. Teach me how to play gal... Love your skills and may God lift you 🙂😘
My oh my... This is beautiful❤❤
Ça c'est fort... Très beau texte et si inspirant. T'es forte, Merveille.
Such a beautiful song 💓
amen amen , ce moment aussi passera
Am blessed 🙏🙏🙏🙏, thank u
Hata hili litapita
J'aime vraiment; I'm very proud of you, you Know....!! Be blessed Sister
Ubarikiwe wimbo mzuri
Naamini katita yeye anitiaye nguvu
Kazi kubwa sana
Mungu ametenda muujiza juu yangu
Amina pokea tena zaidi
MUNGU akubariki sana
Amina hata wewe ubarikiwe
Pure Talent🙌
Great talent
Where did you learn that good Swahili?
Amen stay blessed
❤❤❤
Amen
❤️
Napenda unavyoimba toka kwenye kilindi mwa moyo wako... Na pia inavyocheza hiyo guitar... Ningekuwa karibu ungenifunza...
Shalom! Mungu akubariki kwa kipawa kizuri ... Check out this other sister ... she must be your twin ...th-cam.com/video/Kk9o4GxiQHk/w-d-xo.html
Amina dada ubarikiwe sana th-cam.com/video/TuG9SQWG3wE/w-d-xo.html
Amen