Bunge: Kupita JKT isiwe kigezo kupata ajira Serikalini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • Bunge la Tanzania limepitisha azimio la kuondoa kigezo cha kuwa na cheti cha mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) au Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) ili kupata ajira katika baadhi ya taasisi za Serikali ikiwemo Takukuru, Uhamiaji, na Jeshi la polisi.
    Kwa habari zaidi:
    Soma: nukta.co.tz/
    Twitter: / nuktatanzania
    Facebook: / nuktatanzania
    Subscribe kwa makala zaidi za kina na kiuchambuzi @Nukta TV

ความคิดเห็น • 5

  • @AgripinaKisoka
    @AgripinaKisoka 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mama...

  • @user-eb2to3tp9x
    @user-eb2to3tp9x 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi kabisa spika tumepata

  • @Mosses8
    @Mosses8 6 หลายเดือนก่อน +2

    kama mimi nimepambana hadi leo sijaenda hadi nanilikuwa napenda kwenda hadi nimefikia miako 30

  • @ibuomari6962
    @ibuomari6962 หลายเดือนก่อน

    Kigenzo bdo kipo na kitarud ten😅😅