Njaa yakumtia mamba roba, au kumpiga Simba kichwa!!! Hatari sana. Yani hapo dizaini mambo bidubidu inabidi ufunge mkwiji. Bonge moja ya pini yakigumu!!!
Kidogo tunapiga break na radha za kizamani, lakini gem kwasasa nilakimataifa acha mziki kaka mwishowe utaimba singeli, ulipo ifikisha mziki heshima tosha ,kizazi hi ni cha pombe jon magu, yaani kizazi chenu kilipita kitambo ila ngoma kali kwazamani zileeeee hizi nimbovu,
Tunaoangalia 2024 tujuane
Juma yupo mbele ya muda mno sjui nini SHIDA sa hii Ngoma ndo angeitoa sasaiv ingekua balaa mnoo...au hata ile vesi ya squiza ubishi na hasira daah
Njaa yakumtia mamba roba, au kumpiga Simba kichwa!!! Hatari sana. Yani hapo dizaini mambo bidubidu inabidi ufunge mkwiji. Bonge moja ya pini yakigumu!!!
Mwanangu sana nature
Juma...hizi ngoma za life ya uswazi unazijulia yaani saafi kamanda.....endeleza kutupa hizi ladha.....hizi mastyle ziko fresh zitakuweka fresh
The king of music in Tanzania
wakenya mko wpi kama unakubali Juma Nature
Vantete Vakuntazani.Nnitanaje baba
Huyu ndo nature yuleeee tunayemfaham...umetishaaaa big up kibla
Nature yuleyule ajabadilika Big up.ww kwangu mm ndio simbaaaaaa
Hili gemu.hili gemu.nakubali sana hlo song@ludisheni gemu ya kitambo
Ugali funza mwanangu Nature.Ngoma kali,beat kiepe nyani,Video kikaburu kabisa yani kimentariri.Tishaaaa #komaaa
Ngoma kali kweli. 🇰🇪 ndani.
Kaka fungua dalasa la musick kwasababu wengi wanavamia gemu bila kupiga hodi kwa wenyeji
Real nature ....komaaa dingi apewe firigisi boooooooom 2018
Tunakomaa tu toka kitambo mpaka sasa hauboi haupoi Bigup moto mchibuyu
kaka mkubwa Nature, big up sana niakuelewa a hundred percent
Nature ...ameambiwa akachimbe dawa ye kenda kufyatua matofali.
Ridhiki haipatika kwa wepesi kwenye mtandao wakijeshi leeeteh!
28thDecember2022 still listning to that Nature song 🔥since in 🇰🇲Comoros islands 💪🏽💪🏽
dah!! nature hujawahi kuniangusha jembe langu
Ww ndio juma nature ninae mjua big up
Ngoma imekomaa kabisa
bba la bba niaje mzeeya ngoma imesimma kinyama sema nni wata pisha2 soon
Hizi ndizo nyimbo, 2020 bado ipo juu
Tisha mbaya king kiroboto kazi nzuri na kiooo kikali toka kwa Directed jazzyweezy
fala Nature nimeirudia zaid ya malakumi lkn bado cjatosheka kuiangalia.tisha mzee baba yamo🔥🔥🔥🔥
Latifa Abdallah love u bae
Abbas khamis love u too
Unique voice J nature ni noomaaaaaa 🇹🇿
We are in 2022
From Comoros islands 🇰🇲 still listning, realy like this song of NATURE.🔥🔥🔥
Am listening now ❤❤❤ kama kalambwabda
Wakunteteee wakuntazania
Ww ndiyo baba rao..ngoma inaeleweka ni noma
Nakuelewaga sana
Hakuna Kama ww Tisha sana
Atari sana👍
juma nature kiroboto
A real jumaa... big up bra... keep it up.
geofrey makundi salut zote jesh letu msitu wa fina
Daaahh hiii njaa niyakumtia mamba roba😂
Mwamba Nakubali Juma
kumpa kichwa simba ujiapange kweli
Great video man... love the shots and the locations used. Keep the good work braw, bless!
Raymond Mwalongo
nature stil de boss in hip hop bongo. musik .
Hae
Yap hivi ndo vitu tulivyomic...
Hahaha nature upo vizuryyyyyy
THIS IS THE REALLY BONGO FLAVA
Nature nimekuelewa mzaz
nyimbo za kutoa ukweli wa maisha
Nakukubari Sana'a kibla
Nature ❤
Wale Wa 2023 tujuaneee
Noma sana kacha nature
Kiroboto
Nimuige 50 naakati maishayangu kama gari la site😂😂😂🤣🤣
2236 still listen
Huyu kumamamake anaimba
juma nature . alikuepo
Tinye tikalalee😂😂 kitambo ssna
Pamoja sana kibla hili goma 2020/25/04
Duuuuh nyimbo
Kali juma nature
daaah tangu 2000 necha ww mwamba tu
Komaa 2020
Ipo fresh dogo kiroboto
Bonge la ngoma
30.12.2021 bado ngoma ni 💯
Kama bado unasikiliza mpaka leo gonga like hapa
nakukubali sn neche
sir nature nakubali mzazi
kama unataka mtoto gongwa zaa 😂😂😂
Nature live 2038
Ujawai kukosea mzee baba
Hii ngoma hatari sana 2021/5/21
Bonge la song
Kidogo tunapiga break na radha za kizamani, lakini gem kwasasa nilakimataifa acha mziki kaka mwishowe utaimba singeli, ulipo ifikisha mziki heshima tosha ,kizazi hi ni cha pombe jon magu, yaani kizazi chenu kilipita kitambo ila ngoma kali kwazamani zileeeee hizi nimbovu,
Gibsony Shadrack we unafikiri mziki unasikiliza peke yako
Ramsey Arsenal tatizo lawabongo ndio hilo
mashabiki wake anawajua hutaki acha sio kuleta majungu we unafikiri kila MTU anataka mapnz
We boya sio lazima usikilize nyimbo zake fala wew
Gibsony Shadrack kaimbe yako c tunatak fleva zake mpk kufa kwake unaijuwa ngoma ya nature Salio la vers aikiliza utajuwa nature nani
Heshima kwako kk
Kariiiii
Tunakomaa kibishi
❤❤
Nouma
Komaa 2019
2022
2018
Can anyone translate what he is saying in English?
He's rapping about " Being Strong On hustle " ... Komàa means Being Hard
2019
Kibla
🔥🔥🔥🔥🔥🦾👊🏽
Poa
FFS a