Unamwongelea mama wa nyumbani ambae anakutwa nyumbani kila siku? Uso wa tabasamu wa mke utajengwa na mume kumbuka mwanamke sio toy awe na tabasamu kila sekunde kwa ajili ya mume mume anakazi kubwa ya kutengeneza hilo tabasamu liwepo kila siku kwa ajili yake, wote wanahusika kutengenezeana tabasamu.
tabasamu kinakuja baada ya kushiba na kupata mahitaji ya msingi ambayo yanapatikana kwa baba! Yan umeondka hujaacha mahitaji ukirud Nina njaa nitakuchekeaje Sasa! Wanaume jitumeni Sana mtaenjoy maisha
Mungu akubariki
Ubarikiwe mgogo mtani wangu
Asante sana mchungaji Daniel Mgogo
Ubarikiwe milele
Hongela past
MUNGU AKUTUNZE NA KUKULINDA BABA, NABARIKIWA SANA NA MAHUBIRI YAKO, MUNGU AKUBARIKI SANA NA KUKUINUA MTUMISHI WA MUNGU.
Abarikiwe
Mafundi yako nayapenda Mungu akulinde
Amen
Be blessed man of God
So powerful Amen
Ubarikiwe
Good message
Bienvenue
Barikiwa mchungaji
amina baba
ubarikiwe pastor 🥰🥰🥰🥰
Kweliii
Ubarikiwe saaana pasta
Bien compris
Always blessed
Kutoka moyoni ndoa nyingi hazitarudiana pale mungu akija kutenganisha ndoa ili ziliduane tena
Tumebariwa
Safi sema ukweli kabisa
👍
Nikweli kabisa 'ndowa inasiri kubwa'inaomba uvumilivu
Ni atari baba muchungaji
Siwezi kulidiana
Ahsante kwa Neno
Waambie ibada njema huanzia nyumbani sio mpaka awapo kanisan2
Is true.jamani hilo n neno
Kuna wanawake wengine hawawezi kuridhika bila kuchapwa
Unamwongelea mama wa nyumbani ambae anakutwa nyumbani kila siku? Uso wa tabasamu wa mke utajengwa na mume kumbuka mwanamke sio toy awe na tabasamu kila sekunde kwa ajili ya mume mume anakazi kubwa ya kutengeneza hilo tabasamu liwepo kila siku kwa ajili yake, wote wanahusika kutengenezeana tabasamu.
Kwakweli uwezi jichekelesha tu peke ako bila mue kukupa furaha
Very very true!
Kuwa na uso wa tabasamu mchungaji inategemea na mwanaume mwenyewe, Kuna wanaume wengine hawatabiliki ukitabasamu wewe nani unamchekeachekea nani?
Jina la yesu n ngome imara
Ongezea mchungaji inagusa saana hilo nimelikubali
Ni ukweli mtupu
endelea Ku WA nyowa akili Baba
Pasta kaz
Mugogo
Mchungaji fimbo bila maelezo
Pastor wewe ni mkweli kabisa wewe nikiboko ya wanadamu
nimuzuri kufata mahubiri iyi inajenga
Kwakweli uso wa mbuzi huu du tutabadilika
Ni kwel kabisa tabasamu la mke ni furaha ya mwanaume iyo nikwel kabisa
Na Hilo tabasamu la mke litatokana na Mme. Waume wengine hawapeani sababu ya mke kutabasamu. Waume wengine wakorofi kuliko shetani mwenyewe.
tabasamu kinakuja baada ya kushiba na kupata mahitaji ya msingi ambayo yanapatikana kwa baba! Yan umeondka hujaacha mahitaji ukirud Nina njaa nitakuchekeaje Sasa! Wanaume jitumeni Sana mtaenjoy maisha
Mbavu zangu jamani 😄😄😄😄😄
Belive
Y. Zes
Kuwa na uso wa tabasamu mchungaji inategemea na mwanaume mwenyewe, Kuna wanaume wengine hawatabiliki ukitabasamu wewe nani unamchekeachekea nani?