Allah kupitia dua hii nakuomba uwape unafuu wagonjwa wote walolala vitandani,uwarehemu waislamu wote walotangulia mbele ya haki,utusamehe makosa yetu,dua hii iwe nisababu ya walopotea kukurejea we Allah,iwe Ni sababu yakufunguliwa vyote vilivyo vigumu kwangu kwakua ww Allah Ni kun faya kun,ya Allah dua hii iwe Ni sababu yakuwafanya wote wenye chuki juu yangu wawe na Upendo Nani,amiin,amiin,amiin
Ya Allah kupitia dua hii niongozee Watt wangu uwalinde na mahasidi wa kila aina na uwalinde na maovu ya kila aina uwape ufahamu wa elimu ya ahera na dunia amiin
Ya Allah, Mola wetu muumba wa mbingu n Ardhi ,mtawala wa vyote vilvyo juu mbinguni n duniani nkuomba Dua iwe ndiye kleta amani ndani n kua n mwangaza ndani y maisha yngu nkiwa n familia yngu, Allah nkuomba uweke mwanganza mwema kwa wtto wngu pamoja n jamii wngu wote ,pia kwa waislam wote kla anaye izkiza Dua hii,Ya Allah tujalie wepsi palipo na uzto wwote Yarb kpitia Dua hii ameen dhummah Aamiin ❤❤
Ya Allah kupitia Dua hii unijaalie ni mwenye kusamehewa madhambi ya Siri na dhahiri Mimi na family yangu. Ya rabbi tujaalie kila penye zito liwejepesi, penye mafundo uyafungue utukidhie deni zetu ya Allah. Amin Amin Amin
eeeh mwenyezi mungu naomba nisamehe makosa yangu kupitia dua hii inayosomwa na naomba umpunguzie mama yangu adhabu ya kaburi kwa dua hii inayosomwa na naomba umpatie Bibi yangu umri mrefu na naomba muondoshe mume wangu kwenye unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara Na pia mkuze mwanangu kwenye maadili mema yakupendezayo wewe.Amin
Mashallah naomba Allah azidi kuniajalia niwe mwenye kuzisoma Dua hizi anaponiajalia kuamka salama Kila siku Hadi mwisho wa maisha yangu Amin inshallah ni Dua nzuri mashallah zinaongeza mja wa Allah Iman katika moyo wake na kumpa utulivu zaidi
Mashaalah.M.MUNGU nakuomba nisamee makosa yangu ninayo yajua nanisiyo yajua kupitia dua hii isomwayo.kwa uwezo wako.sie viumbe ni wakosefu si lolote wala si chochote kwako.nisameee
Mashaallah.M.MUNGU Nakuomba nisameee makosa yangu yadhahir nayasiri ninayo yajua nanisiyo yajua katika dunia hii. Kwa uwezo wake sie vimbe tu kwako is chochote...ya ALLAH NAKUOMBA UMREHEMU MAMA YANGU NA BABA YANGU UWASAMEHE MADHAMBI YAO YA DHAHIRI Na yasiri ya ALLAH Nakuomba Uwape pepo wazazi wangu uwaepushe na adhaba ya kabir.. AMMINN🤲
Ewe Mwenyezi kupitia dua hii tupe maskizano nyumbani nilindie watoto na uwaongoze kuwa watoto wema yarrab🤲
Ameen ya rabb
Jazakallahu khair Allah Akuzidishie mema ya dunia na Akhera Insha Allah
Mashaalah Allah akuzidishie elimu inufaishe umati Muhammad
Allah kupitia dua hii nakuomba uwape unafuu wagonjwa wote walolala vitandani,uwarehemu waislamu wote walotangulia mbele ya haki,utusamehe makosa yetu,dua hii iwe nisababu ya walopotea kukurejea we Allah,iwe Ni sababu yakufunguliwa vyote vilivyo vigumu kwangu kwakua ww Allah Ni kun faya kun,ya Allah dua hii iwe Ni sababu yakuwafanya wote wenye chuki juu yangu wawe na Upendo Nani,amiin,amiin,amiin
Amin yarabi
Amiin
Ameeen 22:41
Ameen yarab
AllahummaAmin 🤲🏻🤲🏻
Since 2018 this is My fav dua and alhamdulillah ❤i tanks for it❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏
Alhamdulilh, kwa dua hii Mungu atujaalie waja wake, tutende mema, na tuwe na mwisho mwema in shaa Allah,
Bismillaah Mashallaah, Allaah awamiminiee neema, barka, kheir ya akhera na duniyaa, aammin🙏🙏
Wmenyez mungu atupe mwisho mwema atunusulu na shar zakidunia Alhamdulillah
Shukrani shukrani shukulia🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Shukrani jazillah, Allah akuzdshie her duniani na akhera 🙏🙏🙏
Ya Allah kupitia dua hii niongozee Watt wangu uwalinde na mahasidi wa kila aina na uwalinde na maovu ya kila aina uwape ufahamu wa elimu ya ahera na dunia amiin
Ya Allah, Mola wetu muumba wa mbingu n Ardhi ,mtawala wa vyote vilvyo juu mbinguni n duniani nkuomba Dua iwe ndiye kleta amani ndani n kua n mwangaza ndani y maisha yngu nkiwa n familia yngu, Allah nkuomba uweke mwanganza mwema kwa wtto wngu pamoja n jamii wngu wote ,pia kwa waislam wote kla anaye izkiza Dua hii,Ya Allah tujalie wepsi palipo na uzto wwote Yarb kpitia Dua hii ameen dhummah Aamiin ❤❤
Alhamdulillah jazaqallah kheir🙏
Mashallah mwenyez mungu atupe kila kheri dunian na akhera ameen yarabiy
Ameen
amin
Aamiin
Shukran JazzakaAllahu khairah
Eee yaarab tujaalie mwisho mwema
Mashallah nice ❤❤❤❤
Alhamdhulilah iwas suching for this prayer
Maasha Allah..like me
From iringa Tanzania qibraTen Fm
,
Ya Allah kupitia Dua hii unijaalie ni mwenye kusamehewa madhambi ya Siri na dhahiri Mimi na family yangu. Ya rabbi tujaalie kila penye zito liwejepesi, penye mafundo uyafungue utukidhie deni zetu ya Allah. Amin Amin Amin
mashaaAllah mashaaAllah mashaaAllah Jazaka Allah kheri every morning I read this dua shukran Allah akulipe kila la kheri 🤲
Az3
Ma shaa Allah. Dua.
ALLHAMDHULILLAH ❤❤❤❤
Jazzakka Allahu khyern 🤲❣️🌹❤️
ÜüüüppppöööäÄYDxxx9c9c0 ü.9.9m8 8
898888iioxixuzxzytyttzuioööäü0üüüpocpp op
Iikjhhhhhhhhhhhhhhjhgggg75öööö8
MaashaAllah Allah awalipe mbadala
eeeh mwenyezi mungu naomba nisamehe makosa yangu kupitia dua hii inayosomwa na naomba umpunguzie mama yangu adhabu ya kaburi kwa dua hii inayosomwa na naomba umpatie Bibi yangu umri mrefu na naomba muondoshe mume wangu kwenye unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara
Na pia mkuze mwanangu kwenye maadili mema yakupendezayo wewe.Amin
Aamin 🙏 na bilaalamin
Amiin Amiin Amiin
Ammin🙏🙏🙏🙏
Allah atuwekeye wepesi waislamu wote
Amiiin
M/mungu nakuomba unipe wepesi ktk riziki na unifungulie vifungo.
Alhamdulillah ❤️❤️❤️
Alhamdulillah I was searching for this dua shukran
Mashallah naomba Allah azidi kuniajalia niwe mwenye kuzisoma Dua hizi anaponiajalia kuamka salama Kila siku Hadi mwisho wa maisha yangu Amin inshallah ni Dua nzuri mashallah zinaongeza mja wa Allah Iman katika moyo wake na kumpa utulivu zaidi
Kwa baraka ya Duaa hii iwe n wepesi Kwa kila lilozito kwangu... Shukran Jazzaka Allah Kheir 🤲🏼
Amiin Amiin Yarabi
MashaaAllah maashaallah mashaAllah
MashaAllah
Mashallaah
Mashaala asante kwa kutujuza alla akupe mwisho mwema
Mashaalla allah awalipe heri .mmetusaidia sana.
Barakallah fiykum wajazzakullahu khaira ALLAH akulipe kheri InshaaAllah
Mashaallaah . ameen
mashaallaah
Eeh mwenyezi MUNGU kupitia dua hii nakuomba uniondolee maradhi niliyo nayo naunijahalie Afya njema 🤲🤲
Shukuran ❤❤❤
mashallaah
Ma Shaa Allah.
Asalam Alykum ya Aakh
@@mallogomkonje4589 ALHAMDULILLAH hatujambo c jui ww
Baraka llahu
Yaa Allah dua maqboor
Mashaalah.M.MUNGU nakuomba nisamee makosa yangu ninayo yajua nanisiyo yajua kupitia dua hii isomwayo.kwa uwezo wako.sie viumbe ni wakosefu si lolote wala si chochote kwako.nisameee
Mashallah
Amin
Mashaallah.M.MUNGU Nakuomba nisameee makosa yangu yadhahir nayasiri ninayo yajua nanisiyo yajua katika dunia hii. Kwa uwezo wake sie vimbe tu kwako is chochote...ya ALLAH NAKUOMBA UMREHEMU MAMA YANGU NA BABA YANGU UWASAMEHE MADHAMBI YAO YA DHAHIRI Na yasiri ya ALLAH Nakuomba Uwape pepo wazazi wangu uwaepushe na adhaba ya kabir.. AMMINN🤲
Alaahuma Amin yaaarab
Mashallah mungu akubarik Kwa kutuwepesishia😍
Alhamdulillah jazakallahu r. Kheir
Shukran, Shukran, Allah akulipeni kher kwa Negheema hii.
Mashaa Allah
Amin
Amiin amiin, shukran
Mashaallah ❤️❤️❤️🙏
I listen and I read this Dua everymorning.
Ameen Ameen
Mashaallah amiin❤❤❤❤❤❤
ameen
This is my daily breakfast alhamdulila I always win each day…
May Allah grant us all ease
Mashallah Mashallah
Maashaallah Aamiin yaraab Aamiin
Allaah akulipe yaliyo mema duniani na akhera
Mashllh mungu atupe husinulihatwima
I love this dua
Amina.
Jazaakallaahu kharyan ndugu yetu kipenzi
Jazak Allah kheir
Mashaallah allah karimu
Masha allah
Inshaallah mungu atupe mwisho mwema
Mashaallah
🙏🙏🙏
Manshallah
My name is aisha salim.
@@salmajumanne6980 nice Where are you
Mashallah jazaka llahu kheir
Kwadua hii Allah namuomba afanye wepes
Alhahamdulilah
Alhamudulilah
Machallah, thank you love.
Alhamdulillah nafarijika nasoma kila asubuhi na jioni
Mashaallah❤
Inshallah yaraby tupe mwisho mwema
MaashAllah mabrq
Shukran sana, InshAllah heri
Inshaallah
Maashaallah
Aaaaaaaaaaaaaaàaàaaaaaàaaaaaàaaaàààaàaàaa
Aameen Allaah atuking na kila aina ya shary zote
SHUKRANI Alhmdullah
Mashaaallah ❤️❤️❤️
Alihamndulillah
Alhamdulillah
Mashaallah ameen ameen
Xxmm
Amiin
Mashallah
Allah kupitia Dua yangu mama hangu hapone homa yake
Allah wakibar
Allahu akbar
Allah atupe mwisho mwema
Why i cant download
Mashallah atupe elimu yenye manufaa
Amina
Jazzak alahu kheir
Allahumma ameen ❤
Ameen
Jazzaka llah kheyr
Aliamdulillah 🙏
Mashaall
Maa shaa Allah Shukran
Maa Allah shukran
Mashallah
Asalmu walky