proud of you my congolese brother.....hiyo nyimbo yako ya Nisamee ni kubwa sana ila inaonekana wantanzania hawajaiona kama sisi...le rythmede tschiluba c'est juste waww...ta soueur du kivu qui vit en Europe
napendaga sana uimbaji wako bela yaani sana haswa live band huwa nakufataga hata mikoani lakini kunasiku sintokaa niisahau kidgo tu niipoteze maisha ila mungu alinilinda pia ❤❤🙏🙏🙏
Ndo utofauti wa msanii na mwana muziki ulipo hapo,,,,sio wale wanapiga play back,,,,wewe ndo mwanamuziki walio wengi tz ni wasanii 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 lkn wana muziki ni wadogo sana
Bella wewe nimwalimu sana ila jifunze live za koffi au kina fally pupa kitu ambacho unaalibu nipale unapoimba nyimbo kiukweli huitendei haki jitaidi usiwe unakata kata nyimbo ukiimba imba nyimbo yote pangilia nyimbo ya kupandia na yakumalizia
nyie live band mwachen tu king ov the best melod christian bella nyie wengine mnaarbu au endeleen kufanya mazoen afu kimsing hiz show ndo nzur saana kuliko hizo zenu mbovuuu
Wa kuwa wakwnza vive DRCONGO WANPI MUNAMKUBALI chr bella
CBO KING OF THE BEST MELODIES BIGUP CHRISTIAN BELLA OBAMA LOVE FROM KAMPALA UGANDA 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
proud of you my congolese brother.....hiyo nyimbo yako ya Nisamee ni kubwa sana ila inaonekana wantanzania hawajaiona kama sisi...le rythmede tschiluba c'est juste waww...ta soueur du kivu qui vit en Europe
napendaga sana uimbaji wako bela yaani sana haswa live band huwa nakufataga hata mikoani lakini kunasiku sintokaa niisahau kidgo tu niipoteze maisha ila mungu alinilinda pia ❤❤🙏🙏🙏
Mwana Congo 💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 félicitations yaya nzambe apambola yo
Ndo utofauti wa msanii na mwana muziki ulipo hapo,,,,sio wale wanapiga play back,,,,wewe ndo mwanamuziki walio wengi tz ni wasanii 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 lkn wana muziki ni wadogo sana
Asee wacongo man achaa tyuu wanatufuraisha Sana kuanzia akn madlu system,kof ,Papa wemb ,fally,fre,Christian Bella dahhh ,kochokochoo
BELLA ATARI SANA WW KIBOKO AKUNA MWINGINE ZAIDI YAKO
Bana congo
Bana Nzambe tujuane humu
Wapi likes ya bro wa Bellah
We jamaa wew yan unajua mpk unaharb sasa kaka dah ne hatareeeee zaid ya fireeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Wengine ungeskia wanasema vua shati,,mara sema eeeee eeeeee,,,,na ma play back 😂😂 mwenzao anaimba 🇨🇩🇨🇩
Merci beaucoup grand frère ubeti kitoko Penza live mwasi wana nde azo kotisa ma demi tôt nakati yanzembo ya maman grand ommy dimpozi ayimbi tookosi
WerrAmerica pour Christian Bella
Hongera Bella aeneza kiswahili duniani
No playback💪💪💪 to you de King. You're not like them there! We need a collabo with innoss'B 🐅
Ommy Dimpoz takataka aisee 😥😥😥😥😥
Pole Sana ommy
🔥🔥🔥🔥 live performance
Love from Christian Bella de puis Bruxelles 🇧🇪🇨🇩
Jaman like Kama zote from congo
Sisi wa conngo mziki iko ndani ya damu
Hatari lakini salama.....!!
Bella fundiiii munoooooo loveee loveeee
Napenda sana nyimbo zako Mungu akuinue maana zna maadili baba yangu nakuombea ufikie viwango vya juu
Number one vocalist for all the time
Nyimbo Nzuri-From Kamanyola
Petit nayo Serge depuis Bukavu b club chez David EFFO person
✊✊, vgogo
Kujawa kazi ni tamu sana
This really live 100% singing and instrument yote ina pigwa si kama awa wengine wa na piga computer
Nice 🇨🇩👍🏾😎
Mungu ata kusaidiya haha
C bella on point 👌🔥🙏..
Kila nyimbo yako naipenda
Sheriiiiiiiii
Nishike Nikushikeee 💪💪💪💪
Jaman tu sambaze hiyi link ili bella askike.
🇨🇩🇨🇩🇨🇩my home
Waoooh kubali sana😍
courage ndeko🇨🇩🇨🇩✌️👌
CBO tuwekee Basi ya kigamboni nijione aiseee 😀
Mungu atakusaidia ♥️♥️♥️
My Fav Of All Times 🥰🥰🥰😍
Bella
Nakubali mzee baba 🔥 🔥 King Wamasautiiiiii
Niko Wa kwanza
🔥 🔥 fire 🔥 Atari
King Mamelodies
mzee iyo voko Atari..
♥️✔️
CBO🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kingi🔥🔥🔥🔥🔥👍🏿❤️
🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥 nakubal
Bella wewe nimwalimu sana ila jifunze live za koffi au kina fally pupa kitu ambacho unaalibu nipale unapoimba nyimbo kiukweli huitendei haki jitaidi usiwe unakata kata nyimbo ukiimba imba nyimbo yote pangilia nyimbo ya kupandia na yakumalizia
Adviser 🙄... Better Keep Your Advice To Yourself He's #ChristianBella And Not Them Get That We Love Him That Way Stop Comparing Him With Em No Hate
Huyu ni Christian Bella, Hebu kuwa Show manager wake ili ushauri vizuri zaidi
Bella Yuko safi bna acha kisilani
nyie live band mwachen tu king ov the best melod christian bella nyie wengine mnaarbu au endeleen kufanya mazoen afu kimsing hiz show ndo nzur saana kuliko hizo zenu mbovuuu
Kaka unaimba vizuri sana ila band muziki hawajakupigia vizuri ninafahamu maajabu yako uwapo kwa stage huwa unahakikisha mashabiki zako tunafurah.
Mauno km yoote
CBO 4LIFE🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Hahahahahaha bela ww ni ngazi ya dhahabu
Ninakupenda
Critia wewe niwakweli
👍👍👍
Kwa nn mziki wa band kwa wasanii wengi wa tz live band inakua mbaya na kuboa kuliko recording?
Me sijakuelewa,unamaanisha Bella kazingua au?
tz kiba ndio mkali wa live na uyu mondy amna kitu live ndio maan aitumii liv band
In in
Musique en personne @CBO
Cf
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥