BILLION 11 ZABADILISHA MADHARI YA DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • KASI YA UJENZI WA BARABARA KUBADILISHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA
    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, leo Machi 27, 2024 amefanya ziara ya kukagua miradi mitano ya barabara na daraja moja ambayo ipo chini ya Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) Mkoa wa Dodoma kwenye Halmashuri ya Wilaya ya Dodoma Mjini.
    Ziara hiyo imebainisha maendeleo mazuri ya ujenzi wa miradi hiyo kwani yote ipo kwenye hatua za umaliziaji. Licha ya hali hiyo ya kuridhisha, Mkuu wa Mkoa ametoa maagizo ya kuhakikisha miradi hiyo inakamilika kwa wakati ili kuleta tija.
    Karibu Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo
    MEDIA COVERAGE
    1.Goverment Events
    2.Social Events
    3.Documentary
    4.Live Streaming
    5.Zoom Meting
    6.Photo & Videograph
    BUSINESS ADVERTISEMENT
    #Hotel
    #Appartiment
    #Restaurant
    #Supermakert
    #Hall
    #Sallon
    #New Business
    PTINTING
    1.Banner
    2.Sticker & Flyers
    3.Brochures
    4.Business Card
    5.Graphics Design
    6.Logo Design
    7.Tshirt Printing
    Call Us
    0716909567
    0766909567
    DODOMA

ความคิดเห็น • 1

  • @stanymccary7136
    @stanymccary7136 6 หลายเดือนก่อน

    Barabara ya Hombolo mpaka ilete mahafa ndo itakuja kutengenezwa