UKIOLEWA FUATA MAELEKEZO YA NDOA, PUNGUZA MARAFIKI NA UNAPOONGEA NA MUME USIONGEE KAMA UPO NA RAFIKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @najma3268
    @najma3268 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah, hongera sana Sofia

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah, Dr kumbuka

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana sofia

  • @dijeryusuphu6271
    @dijeryusuphu6271 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa somooo akii mume wangu atainjoi

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +2

    DADA sofia umeolewa hongera sana

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera Sofia

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว

    Wow nimependa jogoo wa Leo kweli kabisaaa Dr kumbuka nimejifunza kitu kupitia maneno yako

  • @saumrashid8086
    @saumrashid8086 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sofia😍😍😍👏👏🙏

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 ปีที่แล้ว +4

    Jamani dr kumbuka umeongea maneno mazima

  • @zahraalhabsi7931
    @zahraalhabsi7931 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwel kabisa bro

  • @latifamkulazi8378
    @latifamkulazi8378 3 ปีที่แล้ว +3

    Kweli waluguru hawana shoombovu bibiyangu mashaallah kwa kupika

  • @hasinaali4761
    @hasinaali4761 3 ปีที่แล้ว

    Hongera daa sofia

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe alikua hormone Honger Sana Sofia nimefurah Sana kukuona ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +2

    Jogooo wa Leo Safi Sana kumbuka nimekupenda bure

  • @ismailkenga1243
    @ismailkenga1243 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa kaka🤣🤣🤣

  • @vero57
    @vero57 3 ปีที่แล้ว +2

    Kumbuka kitchen party inakufaa 😃😃

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    In Sha Allah iwe ya kher

  • @tatutatu1976
    @tatutatu1976 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani natamani sana nitume zawadi kwa dkt kumbuka kusema ukweli unaelimishaa sana kaka yangu

  • @kuruthumusaidi1645
    @kuruthumusaidi1645 3 ปีที่แล้ว +2

    Maneno mazuri

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @beatricecassian3233
    @beatricecassian3233 3 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisaaa

  • @lovehawa4758
    @lovehawa4758 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimeyaelewa...inshaAllah mung ajaalie nipate mume

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 ปีที่แล้ว

      Ukotayari kuolewa ??

    • @peterwapesa7947
      @peterwapesa7947 3 ปีที่แล้ว

      Njoo tuyajenge mume nipo

    • @frankeliakim2200
      @frankeliakim2200 3 ปีที่แล้ว

      Mmmmmh vizur namba hii ukiwa free naomba nitafte 0753176212

  • @aoman5214
    @aoman5214 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Tim uhondo kwanin msiongez Hadi dakika jaman

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 3 ปีที่แล้ว

    Yaani kumbuka !!😃😃😃😃😃😃😃😃😃😅😅😅

  • @btylove1870
    @btylove1870 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona ekshipozaa!😂😂

  • @neemayatosha1618
    @neemayatosha1618 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwenye watu wako wanne,photoshoot umemaliza 🤣🤣,mtafukuzwa kazi nyinyi eboo

  • @far-hatfasih3504
    @far-hatfasih3504 3 ปีที่แล้ว +4

    Sofia Ni muislamu na Sheria ya dini ya kiislamu mwanaume ndio mwenye kazi ya kupika na co Sofia

    • @latifamkulazi8378
      @latifamkulazi8378 3 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂😂mwaume ganihuyo wa kizazihichi akutafutie na akupikie.au jaribu kumwambia dada sophia kazi basi wewe umeolewa kama atakuelewa. Hakisawa inatumizasana hii

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 ปีที่แล้ว

      @@latifamkulazi8378 😂🤣🤣

    • @slicehamfrey3504
      @slicehamfrey3504 3 ปีที่แล้ว +2

      Anaongea utani lakini sms yakweli hii inafundisha wanawake wote wataona udaku lakini hii fundisho kwa wengi

  • @georgemhalla8853
    @georgemhalla8853 3 ปีที่แล้ว +5

    Sio uwe busy Kama vile unaunda roho!! Haaaaaaaaaaaa

  • @far-hatfasih3504
    @far-hatfasih3504 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume Anaeifaham dini ya kiislamu hamlazimishi mwanamke kupika

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbuka umefunda wengi sio Sophia tuu

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 ปีที่แล้ว

    ❤️❤️

  • @nassirmasoud2545
    @nassirmasoud2545 3 ปีที่แล้ว

    Aaaaah...sofia hv ushaolewa hta hujanisubiri?

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 ปีที่แล้ว

    kwani kaolewa.

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 ปีที่แล้ว

    Uyu dr kbka sura kama lokole

  • @mrdaniel5223
    @mrdaniel5223 3 ปีที่แล้ว

    Jamanii eti usiwe busy kama unaunda roho..🤣🤣

    • @awinji4097
      @awinji4097 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @far-hatfasih3504
    @far-hatfasih3504 3 ปีที่แล้ว +1

    Apo tuache jogoo

  • @joyjilien5432
    @joyjilien5432 3 ปีที่แล้ว +1

    Acheni izo nyie ndoa haina dawa msidanganye watu danganyeni watoto wadogo🤣🤣🤣 kunguru hafugiki ndo wanaumee 🤣🤣

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 ปีที่แล้ว +2

    NYIE watangazaji.mnaboa mnaongea saaana

  • @hamzanasry8011
    @hamzanasry8011 3 ปีที่แล้ว

    Sofia ongera kumpata mwenza mwaya

  • @rubybeiby9472
    @rubybeiby9472 3 ปีที่แล้ว

    Swebe acha kuongea sana..muache kumbuka aongee ni mda wake

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 3 ปีที่แล้ว

    Atari lakin salama

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว

    sofia kaolewa mashallah mashallah

  • @aishafahdi8355
    @aishafahdi8355 3 ปีที่แล้ว

    Na majina ya Asha kwa kupika ndo fani zetu

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha naww unajua kupika ??

  • @gracemsawa1370
    @gracemsawa1370 3 ปีที่แล้ว

    Sina mbavu mnanipa raha balaa

  • @roseedevooo1236
    @roseedevooo1236 3 ปีที่แล้ว

    Kumbuka kiboko

  • @tatunjenje2426
    @tatunjenje2426 3 ปีที่แล้ว

    Maneno kuntu

  • @roseedevooo1236
    @roseedevooo1236 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @far-hatfasih3504
    @far-hatfasih3504 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanamke anakazi yake c kupika Wala kufua

    • @abufauzan9417
      @abufauzan9417 3 ปีที่แล้ว +1

      Kazi gani??

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo kazi ya mwanamke kwa siku hizi wala sio ishu maana hata madada poa wanaifanya tena vizuri tu, kwa hiyo lazima wanawake tujiongeze kwa mengine.
      Lakini ukisema wewe ni wa kitanda tu shoga jua imekula kwako.

  • @hakikahoman615
    @hakikahoman615 3 ปีที่แล้ว

    kumbuka nakupenda yaani uwa unaongea ukweli kabisa