Forodhani Zanzibar

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @dontbsad12
    @dontbsad12 ปีที่แล้ว

    Always enjoy watching you guys ..So amazing

  • @sharonsheillasheilla5880
    @sharonsheillasheilla5880 4 ปีที่แล้ว +1

    From Uganda but great am shy 🙊🙊🙊

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 4 ปีที่แล้ว +2

    Walaurojo wanafurahisha

  • @hafidhbadru6651
    @hafidhbadru6651 4 ปีที่แล้ว +2

    Nafurahi sana kuona mitaa ya nyumbani ingawa np mbali lkn na enjoy km np home.ndio maana kila siku tunasema Zanzibar ndio kwetu

  • @muhamedhossen4420
    @muhamedhossen4420 4 ปีที่แล้ว +1

    Nafrahi sana kuona mta wa Hom foradhan nakubali sana

  • @jumahamisi9280
    @jumahamisi9280 4 ปีที่แล้ว

    Am coming to Zanzibar Soon

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah raha sana

  • @sabrinasab2910
    @sabrinasab2910 4 ปีที่แล้ว

    Jaman nafurah kweli kuona zanzibar japo Niko mbali nafarajika sana kuona wanapiga kachumpe

  • @bimkubwaali1605
    @bimkubwaali1605 4 ปีที่แล้ว +7

    albait yalimkuta kama haya allah awaongoze mmoja yupi sos kule spinal code ndio tatizo.hattari sanna mie naona

    • @fatumayusufu1706
      @fatumayusufu1706 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabs yaan kuwaona2 nikamkumbuka albaity ni michezo hatarishi

    • @abubakarmuhammadsaid3244
      @abubakarmuhammadsaid3244 4 ปีที่แล้ว

      Mimi nilipiga makachu miaka ya 80s, sijamuona aliepata tatizo lolote.
      Hivi sasa nakaribia miaka 50, mwili umeshakataa tu, la sivyo, natamani nirudi tena 😁

  • @fakisunshine3253
    @fakisunshine3253 4 ปีที่แล้ว

    Nice nyumbani

  • @aminaally3817
    @aminaally3817 4 ปีที่แล้ว +1

    Wapiga makachu hao wananikumbusha mbali sana

  • @hamidhamadhamad5653
    @hamidhamadhamad5653 4 ปีที่แล้ว +1

    Home sweet home I love you Zanzibar yetu

  • @shakerashakira6285
    @shakerashakira6285 4 ปีที่แล้ว

    Jaman so parefu

  • @deogratiasgabriel8555
    @deogratiasgabriel8555 4 ปีที่แล้ว

    Nimepamic sana home ngoj nipate likizooo nije

  • @musictz1805
    @musictz1805 4 ปีที่แล้ว

    Nyunbani rah wallah

  • @vuaipanduhaji3681
    @vuaipanduhaji3681 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawaaa

  • @user-eg1dr6so4c
    @user-eg1dr6so4c 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice ila cwez kuogelea

  • @arjunpanditi8661
    @arjunpanditi8661 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @jacklinamani7519
    @jacklinamani7519 4 ปีที่แล้ว

    Nimepa miss hapo

  • @allydaruweshi5983
    @allydaruweshi5983 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ndio nn ah munazinguw ban

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 4 ปีที่แล้ว

    Miaka ya 80s ilikua ndio enzi zangu hapo.

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 4 ปีที่แล้ว

    Muje kuvunjika shingo bule jamani kunayule mkaka 1 alikua akifany hivyo mpaka sasa bado yupo hospitalin jaman nyie

  • @saadikibinjazaa1511
    @saadikibinjazaa1511 4 ปีที่แล้ว

    mis zanzibar

  • @ahmedmohd5507
    @ahmedmohd5507 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali wanangu one day tutakuwa p1 tena hi kwa ixhaka, mze bwax,bbolo, kidoh, farac n.k Nimewamic wanangu

  • @allymohamed7417
    @allymohamed7417 4 ปีที่แล้ว

    Forodhani ni sehemu ambayo itaendelea kua na heshima bustani pamoja na upepo mwanana wa bahari ya hindi

    • @frozen4rozen475
      @frozen4rozen475 4 ปีที่แล้ว

      Samani forodhani ndo nini

    • @khamissharifu888
      @khamissharifu888 4 ปีที่แล้ว

      sijaona cha ajabu apo vijana wang

    • @jumaseifjuma4185
      @jumaseifjuma4185 4 ปีที่แล้ว

      @@khamissharifu888 hujaona wala hutoona cha ajabu kwako hapo kwa sababu wewe siyo sehemu ya hao. Miye nafikiri wewe si wa Forodhani, wala Shangani wala wa Mkunazini wala Kiponda wala Vuga wala Malindi wala Kikwajuni n.k.Waulize wenyewe raha walizozipata au tulizozipata kwa kupiga KACHUMBE........ Endelezeeni wanetu na wajukuu zetu 'entertainment' yenu badala ya kukaa vijiweni mkawaza mambo mabaya.

    • @ruhaimaothman2716
      @ruhaimaothman2716 4 ปีที่แล้ว

      @@frozen4rozen475 asany

    • @kikalenampwapwa5483
      @kikalenampwapwa5483  4 ปีที่แล้ว

      @@jumaseifjuma4185 Maneno Kuntu

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 4 ปีที่แล้ว +1

    Wabara wnaogop kuogelea ukiwaingz Kam machubw

    • @chujirai2822
      @chujirai2822 4 ปีที่แล้ว

      Bramo Ajibu kwaiy hapo ndo mnaogelea wenyew

    • @sashaaishajamani1979
      @sashaaishajamani1979 4 ปีที่แล้ว

      Bramo Ajibu unataka tujue wote nani atakushangilia

    • @abdillahnassor8371
      @abdillahnassor8371 4 ปีที่แล้ว

      uko kwao hakuna bahari ya kupiga show kama hizo

    • @sashaaishajamani1979
      @sashaaishajamani1979 4 ปีที่แล้ว

      Abdillah Nassor ku mbe hongereni sana bahari ipo sema watu tuko busy na kazi

  • @munasaidi614
    @munasaidi614 4 ปีที่แล้ว +2

    Natamani kujuwa kuogelea jamani mm siwezi

    • @ismailmjesh3511
      @ismailmjesh3511 4 ปีที่แล้ว

      uko wap muna saidi

    • @saidfaki2894
      @saidfaki2894 4 ปีที่แล้ว

      Ukiwa tayar sema utafundishwa,,,,, simple sana kuogelea madam

    • @hassanmahmoue3034
      @hassanmahmoue3034 4 ปีที่แล้ว

      Haha

    • @hamiyarsaid2844
      @hamiyarsaid2844 4 ปีที่แล้ว

      Apply newton third law of motion rahisi tu,unaskma maji nyuma ww utaenda mbele,

    • @teggertegger3669
      @teggertegger3669 4 ปีที่แล้ว

      Muna tukutane tanga pale pale home kwa mzee sawa lol

  • @elishaworkout6116
    @elishaworkout6116 4 ปีที่แล้ว

    So funny nigga

  • @tanzania5030
    @tanzania5030 4 ปีที่แล้ว

    Lazima umwage che... Bonyeza hapa 👇 subscribe
    th-cam.com/video/61QkURlGDgY/w-d-xo.html

  • @doctorpheisaltv6266
    @doctorpheisaltv6266 4 ปีที่แล้ว

    Ajabu sana atimae dawa ya bawasili imepatikana na unaweza kujitibu mwenyewe bila kutumia pesa bonyeza hapa👉 th-cam.com/video/laeFrvXBiLM/w-d-xo.html

  • @haidaromar2079
    @haidaromar2079 4 ปีที่แล้ว

    Nice