MITIMINGI # 730 NGUVU YA MAAMUZI KATIKA MAHUSIANO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Watu waliofanikiwa hufanya maamuzi kulingana na nini watakavyokuwa. Lkn watu wasio na mafanikio hufanya maamuzi kulingana na hali zao za sasa

ความคิดเห็น • 16

  • @marianacharles2194
    @marianacharles2194 5 ปีที่แล้ว +1

    Napenda unavyofundisha uko vzr sana Mungu akubaliki

  • @neemamathew7465
    @neemamathew7465 2 ปีที่แล้ว

    Kwerr wanamme wa sasv ni waongo sana ,,,,Mungu auongoze😢🙏

  • @mariammussa2540
    @mariammussa2540 5 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu

  • @kababatatu1060
    @kababatatu1060 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji ushauri mzuri sana

  • @johnfubusa1598
    @johnfubusa1598 5 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana kwa somo zuri

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +3

    Napenda mafundisho yako mchungaji.Mi nina miaka 29 bado nipo single lakini napata pressure sana kutoka kwa ndungu na wanakijiji wananiuliza kila wakati wewe mbona huolewi nkiwaambia bado namsubiri MUNGU anichagulie mume bora wananichekelea,wanasema umri unakwenda.Wengine wananiambia basi zaa japo mtoto mmoja utakuja kupatwa na early menopause bado ukisubiri tu ila kwa mafundisho yako yamenitia moyo na nguvu mpya yakuendelea kumsubiri MUNGU mana maamuzi yangu ya leo ndio yatakodefine future yangu na ya watoto wangu.MUNGU AKUBARIKI

  • @danielsulumba7783
    @danielsulumba7783 5 ปีที่แล้ว +1

    nakupata kutokea Mbeya Ushilika tunabalikiwa Sana mm naitwa Daniel Sulumba

  • @ججوي-س4ي
    @ججوي-س4ي 5 ปีที่แล้ว +1

    nikweri nimegunduwa kiti ambaco nime kosea .asante mutumishi wamungu

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo mazuri sana

  • @pamelanabokolweojuma1964
    @pamelanabokolweojuma1964 5 ปีที่แล้ว

    ubarikiwi sana

  • @justingwahila4040
    @justingwahila4040 5 ปีที่แล้ว

    Good is better

  • @roseindekhwa5167
    @roseindekhwa5167 5 ปีที่แล้ว

    Asante baba

  • @luckywinnieofficial6300
    @luckywinnieofficial6300 5 ปีที่แล้ว +1

    Ni makosa MTU kuolewa na yuko na mtoto

  • @philiswanyonyi9331
    @philiswanyonyi9331 5 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji mahubiri mazuri lakini msg za WhatsApp hureply.

    • @mitimingionlinetv9896
      @mitimingionlinetv9896  5 ปีที่แล้ว

      Pole sana na Changamoto msg zinazoingia kwa siku huwa ni zaidi ya Elfu 1. Huwa nasoma kwa sehemu lkn nitakufikia. Karibu sana.