CARRYMASTORY AFUNGUKA SABABU YA DIAMOND KUSHINDWA KUMUOA ZUCHU/UGOMVI MKUBWA NA HARMONIZE/CHRISBROWN

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • Tumepiga story na #Carrymastory #harmonize #diamondplatnumz #Rayvanny
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 141

  • @kondeboishukuru
    @kondeboishukuru 25 วันที่ผ่านมา +10

    Uyu dada anaakili sanaaaaa😂

  • @BintChaula-yj2xw
    @BintChaula-yj2xw 25 วันที่ผ่านมา +8

    Ila carrymastory mi nakupenda unachambua sana wasanii kwenye ukweli unawachana big up

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  25 วันที่ผ่านมา +1

      ❤🤩🤩

    • @JulianaTadei-ki5by
      @JulianaTadei-ki5by 13 วันที่ผ่านมา

      ​@@Carrymastory carry ni moja tyy

  • @mwakazisaidi1175
    @mwakazisaidi1175 25 วันที่ผ่านมา +7

    I remember there’s an interview you did after Harmonise quit WCB, you said that in two years Diamond would have been finished in music. We don’t see that happening and it would not happen in the recent future. Though we interviews pia it’s business.

  • @SalmaSalma-rh1jr
    @SalmaSalma-rh1jr 24 วันที่ผ่านมา +2

    Ataolewa tu mungu yupo punguza makasiriko

  • @carolsayo6409
    @carolsayo6409 25 วันที่ผ่านมา +1

    Welcome back queen

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 25 วันที่ผ่านมา +17

    Zuchu zuchu Kila siku, Allah ndio anajua ataolewa na nani. Wewe carrymastory umeolewa

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ukweli unauma😂😂😂

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 25 วันที่ผ่านมา +1

      Ukweli gani unaouma wabongo kazi yenu ubaguzi tu utafikiri nyie wazuri mbatisha na anohojiwa kichwa kama kobe lol zuchu tu namuona shupavu si kwa hanadume lile anatuzalilisha tu

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 25 วันที่ผ่านมา +3

      ​@@Shuu.A Acha hizo wewe Carry ana sura nzuri sana na anajitahidi kutumia kichwa chake kuchambua mambo. Wewe waongea tu huna cha kuunga mkono hoja zako.

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 25 วันที่ผ่านมา +1

      @@Shuu.A zuchu hakutegemea kama atatongozwa na daimond

    • @joyhylton7901
      @joyhylton7901 25 วันที่ผ่านมา +1

      Exactly I wish they could just back off and leave Zuchu alone. Let her enjoy some happiness before marriage or babies. Sending ❤ from 🇺🇸

  • @salmakashau-ib9fq
    @salmakashau-ib9fq 25 วันที่ผ่านมา +9

    Nampenda sn hyu dada mm

  • @chekozuri4194
    @chekozuri4194 22 วันที่ผ่านมา

    Maturity is very important huyu dada is spitting Wisdom

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 25 วันที่ผ่านมา +2

    Carry ma story is beautiful

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 25 วันที่ผ่านมา

    Welcome back Kary😊😊😊😊😊😊

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 25 วันที่ผ่านมา +7

    Kwakeli Zuchu Ana tumika kuliwa Mukundu 😂😂😂😂

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 25 วันที่ผ่านมา +2

    Posh anataka kutulia anajua hapo kuna kitu ila konde anajua anatulia pia posh anakili kama watasikilizana wafika pia ana umbea umbea mjini mambo yako kimya au mashoka mimi nawakubali wapeni muda watakuwa sawa ila konde hampe heshima sio kutembea vidada mjini halafu poshi mtulivu akivaa anapendeza sioni ubaya tuombea wapata watoto wabarikiwe

  • @issaali1321
    @issaali1321 22 วันที่ผ่านมา +1

    Tz ujinga mtupu yaani kuangalia maisha ya watu tu .

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 19 วันที่ผ่านมา

    ZUCHUUUUU forever QUEEN ❤️❤❤️💯💯💯👍🏽💋🇨🇬

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 25 วันที่ผ่านมา +3

    Ww mwenyewe umnafiki ama haujijui

  • @salamaahmada3229
    @salamaahmada3229 23 วันที่ผ่านมา +2

    mmh wivu au choyo yaani zuchu kawakaa moyoni ndoa inaandikwa mbinguni awa wivu huo🙄

  • @DieudonneMbazumutima
    @DieudonneMbazumutima 25 วันที่ผ่านมา +1

    Carry u are real

  • @TopTop-vo6pe
    @TopTop-vo6pe 25 วันที่ผ่านมา +3

    Mukiamka zuchuu ,nasib, mkilala zuchuu nasib wa tz mumezidi achaneni nao jamani

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 25 วันที่ผ่านมา +7

    Ni kweli zuchu kuolewa ni mondi yaani ni ndoto..haitowai tokea

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 24 วันที่ผ่านมา

      Aolewe mara ngapi?

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wewe dada upumbavu sana unacho sema kuhusu Diamond,weka mindset yako vizuri

  • @user-jn7do4wd6f
    @user-jn7do4wd6f 25 วันที่ผ่านมา +5

    Diamond sio muoaji ni mtu anaependa kuchezea wanawake tangu yupo na zari yupo na tanashaa wote hao diamond alikua anatangaza kwamba anataka kuwaowa lakini mpaka sasa ajaowa leo aje amuowe zuchu hawezi kuhusu zuchu kumuoa izo ni Kiki tu kila siku habar ni hiyo tu anamuowa zuchu izo ni Kiki za diamond

    • @EstherMulindwa-fp3ml
      @EstherMulindwa-fp3ml 17 วันที่ผ่านมา

      Zuchu ataolewa utaki usipo taka ndoa itakuwa❤❤❤❤

  • @godfreyally-ps3fo
    @godfreyally-ps3fo 25 วันที่ผ่านมา +1

    Karry 🎉🎉

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 25 วันที่ผ่านมา +4

    ZUCHU POLE SANA 😩

  • @alicewangechimbatia7350
    @alicewangechimbatia7350 20 วันที่ผ่านมา

    I’m from Kenya and trust me she’s telling nothing but the truth

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 24 วันที่ผ่านมา +1

    Carry mastori nakupongeza kwa kumchukia diamond. Hadi unaingia kaburini yaani utafika mbinguni umechakaa vby mno.

  • @user-zj3ev9eu9w
    @user-zj3ev9eu9w 25 วันที่ผ่านมา +3

    Wahi kanyonyeshe achana na maisha ya watu

    • @dianaonesmo6951
      @dianaonesmo6951 22 วันที่ผ่านมา +1

      Kwakweli maana Yuko bize na maisha ya watu

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 25 วันที่ผ่านมา +1

    Pole sana carrymastor Kwa maumivu Kwa Zuchu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 24 วันที่ผ่านมา +1

      Ukweli unauma hakuna muwaji pale nikupasha viporo tu 😂😂😂😂

  • @edwarddastani3691
    @edwarddastani3691 25 วันที่ผ่านมา +1

    Uyu demu Ana nyege sana an daaah........ 😅

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 25 วันที่ผ่านมา +1

    Curry upo smart sana

  • @fatmasayid8895
    @fatmasayid8895 25 วันที่ผ่านมา

    Carry kariba kwangu kula ya bure week nzima❤❤❤

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 22 วันที่ผ่านมา

    Kaongeya ukweli mtupu,sasa sister nataka nikuowe wewe.nataka tujuwane,wewe ni mrembo kumzidi zuchu.nakupendaga carrymastory.

  • @isabellarkageha7707
    @isabellarkageha7707 25 วันที่ผ่านมา

    Carrymastory hoyeeee

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 24 วันที่ผ่านมา

    Lobe you Carry❤

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 24 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naishi ulaya uholanzi, watu huku ulaya wanaimba wimbo mbaya lakini wanasikilizwa,zuchu yuko powa ni chaguwo lako

  • @justinog3105
    @justinog3105 17 วันที่ผ่านมา

    Mi napenda Interview za Carrymastory because anaweka wazi kila kitu na ni fans wa Harmonize ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 24 วันที่ผ่านมา +1

    Ni kweli zuchu hamna kitu

  • @priscahkerubo6917
    @priscahkerubo6917 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli umenena

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 19 วันที่ผ่านมา

    Love you ZUCHU 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 23 วันที่ผ่านมา +1

    If I want to understand this Diamond not getting married is that ,Diamond in his life will never gets married. Who says so God or human beings. You people shouldn't stop predicting on people's life because God will judge you for condemning when he has not done so.

  • @user-yj3mu3bo6t
    @user-yj3mu3bo6t 20 วันที่ผ่านมา +1

    MWAMBIE MTANGAZAJ AFANY MAZOEZ NDO NN KUW N TUMB KM BABALEVO

  • @shadiwaigwa9230
    @shadiwaigwa9230 25 วันที่ผ่านมา +4

    Unachuki na Diamond, huna lolote, wivu

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 24 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe carima kazungumzie matomboi wenzio nasio diamond sisi hatutaki 🎉

    • @user-sb8cx1us6x
      @user-sb8cx1us6x 23 วันที่ผ่านมา +1

      Waace waenderee kumu ingizia kwangu anawashinda yvote

    • @user-sb8cx1us6x
      @user-sb8cx1us6x 23 วันที่ผ่านมา +1

      Zuch iko juuu❤👌

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 21 วันที่ผ่านมา

    Carry nastory kumbe sura mbaya lol from 254 kenya

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 25 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu ana mziki mzuri ni kama ukichaa tu hakuna kilele tu watu wasiona hadhi

  • @Bama959
    @Bama959 24 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu ni msanii ambaye anabebwa tu ila kamziki hawezi kabisa

  • @user-vq2cb7fn8f
    @user-vq2cb7fn8f 25 วันที่ผ่านมา +1

    Ukweli unauma lakini kuhusu zuchu unasema kweli

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 25 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mimi zuchu anaimba vibaya tuu

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 25 วันที่ผ่านมา +4

    Nilikumiss carry mastor kwaukwwli wako rudi mjini😂😂😂

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  25 วันที่ผ่านมา

      Am back 🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 25 วันที่ผ่านมา

      Carry I love give me you are konto no please

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 25 วันที่ผ่านมา

      Asante carry mziki wanawakw ni Nandy❤❤❤❤

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 25 วันที่ผ่านมา

      Sio carry. Anatumika kimuziki

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 25 วันที่ผ่านมา

      Carry posh ni bomba

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 25 วันที่ผ่านมา +2

    Wasanii hawataki umbea wko nyooooo😂😂😂😂😂

    • @user-ur8cq1ye3b
      @user-ur8cq1ye3b 25 วันที่ผ่านมา +1

      Wewe ndo wamikutuma awo wasanii wanafanyakiki ili wazungumziwe

  • @SAMUELGEORGE-so3qj
    @SAMUELGEORGE-so3qj 23 วันที่ผ่านมา

    Yaani mimi nimefurahije umerudi kichaa wangu

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 25 วันที่ผ่านมา

    Mtangazaji unyooshi maelezo.unazungukaaa

  • @user-pu6pr5jt4n
    @user-pu6pr5jt4n 25 วันที่ผ่านมา +2

    We mchagaaa utaujuaje nyimbo za zuchu😂😂😂

  • @hiyarimakelele6899
    @hiyarimakelele6899 25 วันที่ผ่านมา

    umbea unauweza kuvaa sigiria aaaah

  • @GabbyRomnize
    @GabbyRomnize 25 วันที่ผ่านมา +1

    Bola kusikiriza ww kuriko kusikiriza Mr pimbi

  • @AmanaAmos-hv3yz
    @AmanaAmos-hv3yz 24 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli sister umeongea point ila kuna mbuzi watabisha coz ya uteam wao

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 19 วันที่ผ่านมา

      Kabisa 😂

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 25 วันที่ผ่านมา

    Huwo ni Huwongo yani Ni Huwongo

  • @user-vq2cb7fn8f
    @user-vq2cb7fn8f 25 วันที่ผ่านมา

    Kwa sarah apana lo! Hapo umezidisha😂 bola zuchu

  • @beachboy10352
    @beachboy10352 20 วันที่ผ่านมา

    Chris brown sio kitu ss hivi huku Marekani😂😂

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 25 วันที่ผ่านมา

    Kwenye posh na hamonize apo wamepoaa

  • @upendommbaga7070
    @upendommbaga7070 25 วันที่ผ่านมา

    Carrymastor kaota nyama aise...

  • @qamaryasalim9531
    @qamaryasalim9531 25 วันที่ผ่านมา

    Hilo carymastory limekaa kama sagaji

  • @raniasufi5847
    @raniasufi5847 22 วันที่ผ่านมา

    Napenda huyu dem sababu hajawahi kosea anachosema i have been following her for ten yr hadi namuona hivi mchawi

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 19 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Alitabiri kwa zari na kwa tanasha ikawa ndohivo

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 19 วันที่ผ่านมา

      Carry mastor nimchawi akiongea kitu nikweli 😂😂😂😂

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 25 วันที่ผ่านมา

    Haya utaolewa ww....

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 25 วันที่ผ่านมา +1

    Uzuri wa mwanamke anaujua mwanamme hajali sura wala rangi tena hao mnawaona wazuri kwake huwa si lolote.... wabaya kwenu huwa mtamu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 19 วันที่ผ่านมา

      Ukweli unauma mwanaume star hawezi kumchukua mwanamke kama zuchu ,daimond anamtumia tu siohadhi yake 😂😂😂

  • @ramadanabdul7745
    @ramadanabdul7745 24 วันที่ผ่านมา +1

    Una roho mbaya ndio maana hata sura yako mbaya no senses 😅

  • @EmmanuellaNiceKeza-ee5dp
    @EmmanuellaNiceKeza-ee5dp 24 วันที่ผ่านมา

    Kiukweli na mimi siwezi kua shabiki wa Zuchu,hapana.

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 19 วันที่ผ่านมา

    Carrysmator wivu 😂😂😂😂😂

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 22 วันที่ผ่านมา

    Alafu nyinyi wambea sana wewe mwanaume mmbea sana😀. Et sara gan tena!!😄

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa ndo mkao gani huo wakujipanua🤭

  • @user-jd6vr9xw1o
    @user-jd6vr9xw1o 25 วันที่ผ่านมา +1

    Zuchu ananyota

  • @JeniferNgolanya-gt5xx
    @JeniferNgolanya-gt5xx 25 วันที่ผ่านมา

    Na kwa harmonize na poshy yaani apo harmonize kapotea...nyota ta poshy kwa harmo hamna...

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 22 วันที่ผ่านมา

    Wambea wote mwisho ni motoni kwa shetani. Umbea mana yake ni uongo na ushahidi wa uongo. Waongo wote baba yao ni shetani . Sasa hapo hamna

  • @mwanahkombo9496
    @mwanahkombo9496 20 วันที่ผ่านมา

    Yaani huyu Cary akikuchukia bc yy ni kukuchafuwa tu lo yy mwenyewe kapigwa mimba hajaapiga picha mpk Leo kusema yawatu hodari ya kwake aahhh😮

  • @alsam4881
    @alsam4881 25 วันที่ผ่านมา

    Kwa ujinga wa baadhi ya wabongo wenye akili finyu ndiyo wanapenda mambo ya Umbeya, Kiki, na Uchawa kwasababu ya Uvivu wa fikra na kujituma.

  • @rusimwalihasha1708
    @rusimwalihasha1708 22 วันที่ผ่านมา

    Wivu

  • @aeshazhran6839
    @aeshazhran6839 25 วันที่ผ่านมา

    Ilo ziwa vp??? 😂😂😂

  • @EdwinJohn-vo8uf
    @EdwinJohn-vo8uf 25 วันที่ผ่านมา

    Kwani huyu siku izi yuko wapi

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 25 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni muongo wa kimataifa . Unamjua Kris brown au unamsimkia Diamond hana pesa ya kumpa kris. Lakini kuhusu Zuchu unasema kweli.

  • @user-wi6uk1vz1h
    @user-wi6uk1vz1h 25 วันที่ผ่านมา

    ZUCHU ZUCHU ZUCHU ZUCHU ZUCHU Hummm jealous 😭

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 25 วันที่ผ่านมา

    aliyewaambia dai ataoa ni nani😊,,mbona mnataka kumdhalilisha kaka enu?? Ya davido aliiona?yan amrithishe zuu mali? Na mama je😊

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 25 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli rayvaninternation bahati tu ila mwenyewe hana haha kondenishow offachane hawe serous kazi kwelihana burn boy rafiki vizuri akipata bahati diamond hiyio safari yake Nobel

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 25 วันที่ผ่านมา

    Ni pesa tu anatafuta kwa zuchu kwa sasa yeye ndio ampa pesa mziki kwa kweli

  • @francoisebanza3859
    @francoisebanza3859 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @issazalala4907
    @issazalala4907 23 วันที่ผ่านมา

    Madem kama Hawa wana kuaga watam thanaa

  • @AllyNgollo-td6il
    @AllyNgollo-td6il 23 วันที่ผ่านมา

    Umemaliza kulea?😂😂

  • @SurprisedBakedCustard-vp8oi
    @SurprisedBakedCustard-vp8oi 25 วันที่ผ่านมา

    Huyo dem anaongea nonsense 😂

  • @user-mb2ek2ds1h
    @user-mb2ek2ds1h 25 วันที่ผ่านมา

    We mmewako yukowap

  • @ramadanabdul7745
    @ramadanabdul7745 24 วันที่ผ่านมา

    Nakuchukia sana Huna adabu kabis mutafute diamond platnumz akukaze ili ulizike

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 22 วันที่ผ่านมา

    Sasa carry mastery unaketi vipi? Kwenda kabisa

  • @user-en5ng4sc2x
    @user-en5ng4sc2x 25 วันที่ผ่านมา

    Kujichanuwa uko kwiyo

  • @faridapatel7584
    @faridapatel7584 24 วันที่ผ่านมา

    Ujafika ulaya unaongea upumbavu

  • @jrm9448
    @jrm9448 25 วันที่ผ่านมา

    Sasa hii kondoo iliyokosa mvuto inaulizwa kama nani???

  • @safarimusa5946
    @safarimusa5946 25 วันที่ผ่านมา

    Bila kumuongelea Zuchu Hamli bwege wewe

  • @user-he2pk6io4d
    @user-he2pk6io4d 25 วันที่ผ่านมา

    Uzazi umemkubari ila kwa daimond kumuoa zuchu saau 😅😅😅 ila na wewe car punguza umbea

  • @johnmshuta5133
    @johnmshuta5133 25 วันที่ผ่านมา

    Pointless auna story ongera auwez kuludi mjini bila kumuongerea simba😂😂😂😂 mjini auwez kuludi😂😂😂

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 25 วันที่ผ่านมา

    Carmastor una akili wewe mdada

  • @johnmshuta5133
    @johnmshuta5133 25 วันที่ผ่านมา

    Nimesikia pumba zako auna point wewe siyo m mbeya wew ni chawa Wa harmonize tuambie ela aliyo lipwa shida aujui kitu unapiga kelele 😁😁😁 huna akili wew chawa carry kuma

  • @niwaelally1579
    @niwaelally1579 25 วันที่ผ่านมา +2

    Daimond anamtumia Zuchu, wanawake wazuri wote aliokuwa nao hawezi muowa Zuchu.

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 25 วันที่ผ่านมา +1

      Hiyo dai kwa mwanamme gani hivi katika wanaume wazuri watoke mbele yeye yumo si pesa tu na unaarufu alokuwa nao bas hana chengine lol zuchu anatuzskilisha tu hakuna mznz anotaja kuolewa na wabongo

    • @user-pk1yl7zt8p
      @user-pk1yl7zt8p 25 วันที่ผ่านมา

      Umjb kw prsh Sana shuu hujaelewa alichomnsh jamaa

    • @zena6203
      @zena6203 25 วันที่ผ่านมา

      Kwani anachokifata sikumaaaaaa tuuuu😅

    • @Shuu.A
      @Shuu.A 25 วันที่ผ่านมา

      @@user-pk1yl7zt8p sio juma carimastory nimemjibu mwenye kichwa kama kobe