CARRYMASTORY AMCHANA ZUCHU UKWELI MCHUNGU/ATALIA/DIAMOND HAWEZI KUMUOA/ANAMCHEZEA/SHOW YA USA KUBUMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 398

  • @lindakadalma6472
    @lindakadalma6472 ปีที่แล้ว +52

    Finally finally someone is truly saying naked truth I love carrymastory

  • @Ndiyooo
    @Ndiyooo ปีที่แล้ว +31

    Nampenda uyu Dada carimastorry na mpenda anasema ujweliiiii saana

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +1

      Aaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiii yeye kaganikiwa Nini na ukweli wake

  • @milka1827
    @milka1827 ปีที่แล้ว +7

    Carrymastory is naturally beautiful, African Queen 👑

  • @moussaayubuchris7491
    @moussaayubuchris7491 ปีที่แล้ว +8

    Ukweli unauma ila unabaki kuwa ukweli👌👏apo mwanzoni nimekuwa nikuelew na kukupenda wap coze umekuwa ukipinga WCB ila kwa ili la Zuchu kwa kweli umeongeya point tupu na kwa ilo la Ali na Konde ni kweli mtupu. Kweli Dada Carry zuchu kwa ilo la USA wamezinguwa sana kwanza anzia ma Burundi, Rwanda, Congo(uvira, Bukavu) Ouganda, zunguka Africa kwanza kisha wende ma USA coze bado sana kwa Zuchu wetu na ma USA kwa kweli niko pamoja na izo point mmeongeleya👏👏👏

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 ปีที่แล้ว +22

    Carry huwa nampenda sana kwanza ni mkweli pia hanaga makorombwezo kama midoli yetu tulivyoizoea mara wanja kope liplistick mawigi yeye aku! Yeye yupo kawaida sana

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 ปีที่แล้ว +1

      Nawewe ukiwa kawaida itakuwa vizuri zaidi

  • @safiasaid9164
    @safiasaid9164 ปีที่แล้ว +79

    True yaani huyu msichana anaakili saaa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 ปีที่แล้ว +5

      Mnajuwa anayo yafanya yeye hata unasema ana akili??? Yake mwenyewe hayajuwi itakuwa anajuwa ya watu tuu kuyasema...Mhhhh

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +4

      Kwa kuongea kuhusu mambo ya mwenziwe ndio anaakili? Anamtafuta kiki tuu.....sai kuingia mjini lazima uongelee kuhusu zuchu na Mondi......hivi vile amekaa nimtu anaakili.....ama nikama wewe tuu hapo ndio akili imekufikisha

    • @mjuvemjuve7847
      @mjuvemjuve7847 ปีที่แล้ว

      Anaakili looinamuuma kwasababu yeye kama mwanaume acha loombaya kuna umbea na loombaya yani nyinyi wanawake mnaloombaya sana hampendani kwani kupendana na kuachana si kawaida acha loombaya wewe carry ujulikan kama mwanamke au mwanaume

    • @pendojuma9664
      @pendojuma9664 ปีที่แล้ว

      Q

    • @pendojuma9664
      @pendojuma9664 ปีที่แล้ว

      Po

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sai mwaka mwengine umefika!!! Ndio zuchu anazidi kupendwa na mondi.... carry inakukata sana.....

  • @cynthiamuli7258
    @cynthiamuli7258 ปีที่แล้ว +3

    She is very wise..I love her ,I'm from Kenya.

  • @noorrajpar3928
    @noorrajpar3928 ปีที่แล้ว +1

    Wewe dada ni nzuri sema tu hujui kujipangilia uvaaji na nywele ila ni mzuri sana yani ungejijua hakuna wanaokufikia kibongobongo

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 ปีที่แล้ว +9

    Nimekupenda sana , #dadaCARRY IMEONGEA VIZURI.

  • @imanimohammed8048
    @imanimohammed8048 ปีที่แล้ว +22

    Carry anaongea vizur sana Tena ukweli myupu

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 ปีที่แล้ว +21

    Carry umbea wako umeenda SHULE nakupenda sana ❤

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  ปีที่แล้ว +2

      Thanks Ritha nakupenea pia

    • @Makakulaya
      @Makakulaya ปีที่แล้ว

      @@Carrymastory naishi Canada nipe number yako nataka kukuwowa

    • @rehemararge192
      @rehemararge192 ปีที่แล้ว

      @@Carrymastory umeogea ukweli dada ,Simba mwenyewe haezi kuoa hilo nalo niukweli mtupu

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +12

    Madada kama Hawa ni wachache sana big up sana.

  • @hakiiki1767
    @hakiiki1767 ปีที่แล้ว +1

    True true zuchu in love with mondi but mondi is not in love with zuchu

  • @sonyango1964
    @sonyango1964 ปีที่แล้ว +10

    Love this lady,very intelligent and composed👌👌👌

  • @lorettahamaro9065
    @lorettahamaro9065 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mschana husema the hurtful truth,ukweli mchungu watu wasiotaka kuskia,much love from Kenya.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +17

    Dada umeongea ukweli. ZUCHU anapoteza muda.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 ปีที่แล้ว +2

    Mhhh kwa diamond Lebo kufa hizo n ndoto tajiri wa music 🎵🎵 Africa masharik!! Lebo kufa c Leo labda diamond asiwepo!!

    • @user-sp3gg7id8q
      @user-sp3gg7id8q ปีที่แล้ว

      Diamond ni mwizi wa views na subscribers feki hiyo ndo marketing yake kubwaaa na wasanii wengi kama harmonize marioo washaijuilia ni vile hawana pesa za kuboost views wengi kama mondi, maana diamond kaboost mpaka anawapita kina Burna Boy wizkid

  • @anicyaedward5605
    @anicyaedward5605 ปีที่แล้ว +21

    Carry your very right ... zuchu anadanganywa yan am very disappointed.. daimond doesn’t love this girl ... cyo kwa post hizo za mahaba public... kwann asiseme she is my woman .. yan let’s wait and see daimond anamtumia zuchu na mama ake zuchu anaona sawa. Yan save hii interview tutaona mwisho wake

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +2

      Hivi umekua Khadija kopa.....au unafikiria Khadija hajui kulea

    • @faizamohamed6993
      @faizamohamed6993 ปีที่แล้ว

      Mamake zuchu sidhani kama Ana furahia haya ilahana la kufanya coz zuchu ni mtu mkubwa hawezi kumcontrol

    • @zaitunisagwa2082
      @zaitunisagwa2082 ปีที่แล้ว +1

      Ashasema mke wangu.

    • @lang6626
      @lang6626 ปีที่แล้ว +2

      Sometimes men just want peace and if he can get that from Zuchu then that’s home for him nothing to do with beauty and status

    • @seraphiamwela6104
      @seraphiamwela6104 ปีที่แล้ว +1

      Is she the personal spokesperson for zuchu /diamond, leave zuchu alone

  • @hindabdulziz4868
    @hindabdulziz4868 ปีที่แล้ว +3

    On point carry ..i love you from kenya ..big up

  • @lastbornsaadah7632
    @lastbornsaadah7632 ปีที่แล้ว +19

    Carry I love you sister

  • @Worldwidetv901
    @Worldwidetv901 ปีที่แล้ว +29

    Big Facts 🦓 CARRY 😅

  • @Noah-zt5zf
    @Noah-zt5zf ปีที่แล้ว +8

    Aki ya mungu huwa nampenda huyu carrymastory walai si anipe nafasi tu niwe nae nimuoe sitomchezea nitafanua Kila kitu chenue atanambia adi kuosha chupi ntafanya tu ntampa mshahara wangu 70ksh Kwa mwezi najua hyo no kama million Moja hivi

    • @gressjoseph5615
      @gressjoseph5615 ปีที่แล้ว +1

      😳😳😳😳

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 ปีที่แล้ว

      70k ksh ni more than 1million almost 1,4. Tsh. All the best 😂😂😂 umbea wote huu utakoma pekeako 😂😂

    • @Noah-zt5zf
      @Noah-zt5zf ปีที่แล้ว

      @@victoriadaizy5277 😂😂😂hatar sana

  • @beatriceatieno6274
    @beatriceatieno6274 ปีที่แล้ว +20

    Wise lady!! Carrymastori

  • @justinog3105
    @justinog3105 ปีที่แล้ว +11

    Mi nataka kutengeneza chuki na mtu ataongea vibaya carrymastory maana siku zote kwenye interview zake ananitengenezea siku kiukweli😂😂🤣🤣nakupenda sana Mama ♥ love from 🇧🇮to 🇰🇪 ♥

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +17

    This is true ❤❤❤

  • @AlinaniSiame-yq1nk
    @AlinaniSiame-yq1nk 3 หลายเดือนก่อน +1

    you said the truth about diamond platnumz 🎉🎉🎉🎉🇿🇲💤

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit ปีที่แล้ว +1

    Tatizo NYOTA. haujifunzi kwa wemasapetu yule dada aananyota kali sanaa

  • @rahiymaallawi6551
    @rahiymaallawi6551 ปีที่แล้ว +2

    Una wivu carry.....moyo hauna hadhi popote unapenda..tu...na bora ukatwe na bati kama kukosa bahati...muacheni kabahatika hata akiachwa ndo maisha yetu tunapenda na tunaachwa...its lyf

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 9 หลายเดือนก่อน

      Ukweli unauma 😂😂

  • @scarletmerab
    @scarletmerab ปีที่แล้ว +4

    Carry u are killing me 😂😂😂 but above all the truth hurts watu wajisaidie wenyewe

  • @majumaatieno5640
    @majumaatieno5640 ปีที่แล้ว

    🤛🤛naked truth ooohh ..zuchitta we love you .. Tafakari anayo SEMA carry mastory..

  • @safiam5338
    @safiam5338 ปีที่แล้ว +7

    Carry wewe mtoto brain yako yiko barabara bravo

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc ปีที่แล้ว +8

    Kwa lulu waliongea sana mwisho wa siku aibu kwao ...kuna muda msipende kumuongelea mtu unajuwa wanaume uwa wanapenda mwanamke mtulivu tusubil siku itafika uje urudie hivi unavyo ongea...acheni wivu zuchu anawakomesha

  • @kijanayaaput8940
    @kijanayaaput8940 ปีที่แล้ว +4

    *Real Talk especially hapo kwa mambo ya relationships💯%🤣🙌🔥🇰🇪*

    • @bilqis476
      @bilqis476 ปีที่แล้ว

      Me cna pesa CNA anything lakini kama Kuna mtu nikiwa kwenye relationship nae naeza ficha kama cocaine 😂😂ni huyu diamond, waschana Hawa cjui mbona wanapenda kujitangaza 🤣🤣unajificha ukiulizwa unakana

    • @bilqis476
      @bilqis476 ปีที่แล้ว +1

      Udaku ya celebrities wa tz na Kenya it's very different like 🤭😅😅😂 so diamond analipa watu wasimseme like this mwikaju guy why is naseeb paying him 😂mwikaju hawezi toboa Kenya angekua broke

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 ปีที่แล้ว +11

    Umeongea point

  • @salehmasunga5147
    @salehmasunga5147 ปีที่แล้ว +9

    Ni kweli aisee

  • @piusphilip307
    @piusphilip307 ปีที่แล้ว +2

    Carry namtafuta mama yako, ili aniambie wakati akiwa na uzauzito wa mtoto wake Carry, alikuwa anakula nini, wee mtoto unatumia zaidi Akili nyingi na elimu kidogo. Safi sana

  • @lailaoman3856
    @lailaoman3856 ปีที่แล้ว +17

    Kweli yani ajaongea uwongo ata kidogo zuchu ndo anajipendekeza kwa daimond,alafu mwana kulitafuta mwana kulipata

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx ปีที่แล้ว

      Ujue carry anaongea ukweli lkn watanzania hawapendi ukweli hpo watamtolea maneno mabaya sababu tu ukweli.

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx ni kweli kabisa

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว

      @@malak-lz6kx yupo ndani ya moyo wa diamond? au anajiongelesha tu

    • @yustayusuph9101
      @yustayusuph9101 ปีที่แล้ว

      Acha alitafute kwani yeye ndio atakuwa mwanamke wa kwanza kuachwa kwenye hii dunia?

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 ปีที่แล้ว

      @@yustayusuph9101 😄😄

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 ปีที่แล้ว +5

    Nakupenda da Carry lakini usongee ukamaliza. Tukumbuke kila mbuyu na shetani wake.

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  ปีที่แล้ว +1

      Hahaha kweli huo ni uchambuzi tu kwa Sasa 🤣🤣

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky ปีที่แล้ว +8

    My bby sister carry uwe unafanya interview kila week banaaa

    • @Carrymastory
      @Carrymastory  ปีที่แล้ว +3

      Hahaha Sawa ntalifanyia kazi kila yakitokea mambo

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว

      Ana umbea ulio tulia 😆😆😆mbea aliekomaa

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 ปีที่แล้ว +4

    Wanawake wa kitz wana roho mbaya sana ,zuchu sasa ndio anaolewaaaa tena kwa heshima zote ...mke haina uzuri wala nini sifa za mke huwa tofauti kabisaa

    • @estherndolo6237
      @estherndolo6237 ปีที่แล้ว

      Dadangu Mungu akubariki kwa kunenea wengine mema na baraka

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 ปีที่แล้ว

      @@estherndolo6237 watu waajabu ,unakuta mtu anakaa akinyanyasa mwanamke mwemzie kisa wivu kwani zuchu si mwanamke tuu kama wanawake wengine ...alafu muangalie huyu mwenyewe anaeongea midomo imeungua kwa sigara na bangi...mungu akubariki na wewe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว +15

    TANASHA ALIKUWA FIT

  • @nelsonmwaipaja3727
    @nelsonmwaipaja3727 ปีที่แล้ว

    Carrymastory dada unakili kubwa xana nimekupenda ccter✌️✌️✌️✌️👍👍👍

  • @bettyokito774
    @bettyokito774 ปีที่แล้ว +4

    I love you so much carry ♥️♥️♥️❤️❤️🌹

  • @mfalumetonny8466
    @mfalumetonny8466 ปีที่แล้ว +1

    Carry ni mali safi I love this lady, is she Single? nimempenda dada huyu sana.

  • @whitetigerprincy5882
    @whitetigerprincy5882 ปีที่แล้ว +12

    Huyu dada ana akili dah

  • @queenbibisha1961
    @queenbibisha1961 ปีที่แล้ว +10

    Ila cary uwa anaongea ukweli , mimi naomba mungu asaidie wasiachane maana inaweza kuwa asara kwa mziki wa zuchu , yani ukipendana na boss ujuwe kazi yako iko hatarini kuisha

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 ปีที่แล้ว +1

      Aya ni mahusiano ambayo kla mmoja hana ndoto na mwenzake

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว +1

      Wacha iwe shida Yao ama wewe umekua Khadija kopa???

    • @amanimapenzi571
      @amanimapenzi571 ปีที่แล้ว

      @@sultansallah8772 achana nao

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit ปีที่แล้ว +2

    Umekosea sanaa. Kwanini unamtamkia mtoto wa mwenzio whyy??? Eti zuchu sio hadhi ya dai. Wewe nani??? Mapenzi n mahusiano mungu ndio anapanga wewwee tuneona maskini aliolewa na tajiri... Vipi weww

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 ปีที่แล้ว +1

    ss si kira mtu na wakati wake ujui mapenzi anaweza mtu akawa mzuri au akawa na pesa na akapenda mtu mwengine acha a enjoy mda wake huu akiachwa kawaida tu mbona ata ss mtaani tunaachwa na maisha yanaendelee muacheni mtt wa wawatu

  • @mayrose9772
    @mayrose9772 ปีที่แล้ว +5

    Dawa zikiiisha zuchuuu ataachwa vbayaaaa😏😏

  • @julianamushi3392
    @julianamushi3392 ปีที่แล้ว +4

    Kweli ali kiba na daimond ni asante kwa kushiriki😃😃tunamuomba konde chonde chonde kaza baba tukuone huko 02 arena

  • @joleal7941
    @joleal7941 ปีที่แล้ว +1

    Carry mastory nakupend sana mudogo wangu

  • @ashleynatalie3872
    @ashleynatalie3872 ปีที่แล้ว +3

    Unaupiga mwingi sana., Mwombee mwenzàko mema hili pia wewe upate mafanikio dada.

  • @amisjabubakari7734
    @amisjabubakari7734 ปีที่แล้ว +7

    Love you 😍 much love

  • @Mamatonny2065
    @Mamatonny2065 ปีที่แล้ว +3

    Huyo Zuchu anajidhalilisha tu.
    Afanye mziki aache mambo ya kutekenyana na huyo Simba..

  • @adamkazembe8745
    @adamkazembe8745 ปีที่แล้ว +1

    Leo ndo nimekuona carry mastory n msichana mrembo mno alafu unalijua xn gemu la bongo

  • @jsabood
    @jsabood ปีที่แล้ว +1

    Carry mastory upo sawa kabisa..

  • @phinaomy
    @phinaomy ปีที่แล้ว

    nakupendaa dada ❤

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 ปีที่แล้ว +7

    Hakiri za kiume hizi.carrymastory🔥💪💪🦣🐘💪💪

  • @pokomoprincess
    @pokomoprincess ปีที่แล้ว

    Mwacheni zuchuu jameni... Ni mdada anangangana. Na Mungu atamfikisha mbali. Kwa sababu yeye anatia bidiii

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 ปีที่แล้ว

    Uyu dada ni jinga sana , unawivu sana. Utapata aibu. Zuchu ana pesa ana kipaji Pia msomi Pia mzuri…Zari, mobeto tanasha tapeli tu. Zuchu ndo mke 💯 %

  • @Badriyasalim-pi5xo
    @Badriyasalim-pi5xo ปีที่แล้ว +1

    safi snaaaa yan umeongea point

  • @tatotato506
    @tatotato506 ปีที่แล้ว +1

    Carry leo NIMEKUKUMBUKA NAKUPENDA wemdada

  • @khadijaali7919
    @khadijaali7919 ปีที่แล้ว +3

    Very true zuchu anatumika

  • @baby_face_
    @baby_face_ ปีที่แล้ว

    uyu dada anaongeya kweli sana zuchu atapoteza bahati zake mungu asha mutayarishiya bwana wakuishi nae

  • @shamsaalsalamy5159
    @shamsaalsalamy5159 ปีที่แล้ว

    Kwa maono yangu diamond hana hadhi kabisa ya kua na wanawake wazuri na shida unakuja wanawake wanapenda pesa na kwa nasibu ni pesa tu ndio inawapeleka, ila kwa kusema diamond ni handsome hapana yaani ktk hiyo line hayupo.

  • @sultansallah8772
    @sultansallah8772 ปีที่แล้ว +5

    Mm naona kinyume chake.... Zuchu ndo hampndi kbsa dimond

    • @monahmussamonah6229
      @monahmussamonah6229 ปีที่แล้ว +3

      , kweliii hjuiii kuangaliaaa, zuchu anampenda Sanaa mwamba

  • @nahhhh7242
    @nahhhh7242 ปีที่แล้ว +1

    Skiliza dada nikuambia huyo unaemsema ww ni binaadam km binaadam wengine na kingine huwezi zi jua rehma za allah zipoje .... Bt nikufunze kitu UZURI,SHAPE ZA UTURUKI na vitu zengine nilizokuwa cja mention apa vyote ivyo vinafunikwa na kitu kimoja tu (HULKA NJEMA)

  • @ramak.9587
    @ramak.9587 ปีที่แล้ว

    #Carrymastory kuna kipindi ulipotea kama corona nilikumiss sana kama wali wa daku. Ila nakupenda dada

  • @khadijakamus2850
    @khadijakamus2850 ปีที่แล้ว +1

    Zuchu mzanzibar dada sahau ilo

  • @mishelineamuri3618
    @mishelineamuri3618 ปีที่แล้ว

    Kweri carry una ongeya point

  • @jamil1547
    @jamil1547 ปีที่แล้ว +3

    Huyo msichana carry anasema ukweli

  • @tumainiedgar08
    @tumainiedgar08 ปีที่แล้ว +9

    Carry ana akili anajuwa kujibu maswali

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 ปีที่แล้ว

    Mungu diamond nimutu waGygiwazamani hakuna asiyejuwa❤😂

  • @edwardmaguluko6541
    @edwardmaguluko6541 ปีที่แล้ว +1

    Ila nimeamini ukiwa na sura mbaya hata roho yako haiwezi kuwa nzuri huyu dada ana roho mbaya sana

    • @ramlaisaac665
      @ramlaisaac665 ปีที่แล้ว +2

      Weee carry ni mbaya 🤔🤔

  • @kahindorose9983
    @kahindorose9983 ปีที่แล้ว

    For the first time,carrymastory you have talked apoint.am behind you

  • @hadijabashiru5146
    @hadijabashiru5146 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizuri sana hapo kwenye pesa na familia,,ukiwa na pesa huna familia hio nayo ni tatizo

  • @mrrajjy
    @mrrajjy ปีที่แล้ว +2

    WOW anamsahau Mondy

  • @nadinesafifeza7127
    @nadinesafifeza7127 ปีที่แล้ว +1

    Tu nakupenda dada

  • @ceciliambui4
    @ceciliambui4 ปีที่แล้ว

    Ni kweli kabisa zuchu hapana

  • @Mwajabudegwa-j2p
    @Mwajabudegwa-j2p ปีที่แล้ว

    Yaan carry so bright anaongea fact Sanaa big up

  • @asiashaban5809
    @asiashaban5809 ปีที่แล้ว +5

    Kazi na mapenzi RIP zuuuu

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 ปีที่แล้ว +1

      🤣🤣🤣🤣👍 chukuwa boa hiyo 🥃 zuchu anapoteza muda tu , daimondi ni pyai boy Malaya wa kiume zuchu amepakwa upupu angoje kufa tu mama yake ajiandae kumfunga nepi🙈

    • @asiashaban5809
      @asiashaban5809 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂🤣Agtchuu girl

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      @@ziadasalimu1730 😄😄😄😄😄😄😄😄

  • @mohamedissa3751
    @mohamedissa3751 ปีที่แล้ว

    Interview Kali sana nilikuwa sikupendi carry mastor lakini kuanzia Leo nitakufuatilia, ushauri wangu mjitaidi kubalance stor sio waandishi mnakuwa na timu mnapoteza waskilizaji Leo umegusa Kila engle, makofi kwako...

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 ปีที่แล้ว +2

    Bby carry Nakupenda mpka nalia hapa

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 ปีที่แล้ว +3

    Akili kubwa Catherine

  • @yahyashee4857
    @yahyashee4857 ปีที่แล้ว +3

    DIAMOND PLATNUMZ ANA BILIONI KUMI NA MOJA YA KITANZANIA AMBAPO UKIBADILISHA NA YETU YA KENYA NI MILIONI MIA SITA.

    • @jan6703
      @jan6703 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo? Tumeshajua hela ya Kenya iko juu. Unasemaje sasa! We unazi kaka KAPUKU?

    • @Legends_Interviews
      @Legends_Interviews ปีที่แล้ว

      @@jan6703 we nawe

  • @neemakilingo8282
    @neemakilingo8282 ปีที่แล้ว +7

    Carry you are so bright

  • @georgettemakene3147
    @georgettemakene3147 ปีที่แล้ว

    Ukiangalia vizuri haocarry anaosema wasiokuwa na hazi wengi wao ndio wako kwenye ndoa.usishangae akamuoa nawakaishi.yote inawezekana

  • @Mohamed-uz8id
    @Mohamed-uz8id ปีที่แล้ว

    Carrymastory nakupenda sn unaongeaga ukweli na ukilisana

  • @naseemabdul6637
    @naseemabdul6637 ปีที่แล้ว +1

    Mapenz sio kitu ni utu🤣 fala ww uyu carry mastory atachelewa sana kufanikiwa kwq sababu ya iyo akili yake mbovu

  • @vickynkuba4965
    @vickynkuba4965 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kabisa Zuchu anafosi mahusiano kwa Dai ila Dai hana mda nae

  • @chazzkayoka9205
    @chazzkayoka9205 ปีที่แล้ว +2

    ani mtu anaongea km anakujua sanaaa kumbe hakujui umbeaaaa tyuuuuu

  • @sarahlucongo3867
    @sarahlucongo3867 ปีที่แล้ว

    Wanaume wanapenda vinyonge vinavyowapa furaha, unaweza kuwa na kila kitu na mwanaume akajifeel ana hang hafiti,

  • @nancynancy4362
    @nancynancy4362 ปีที่แล้ว +1

    Njoo Kenya 🇰🇪 dada

  • @michilita2959
    @michilita2959 ปีที่แล้ว +1

    Carry nakupenda Bure lakini huyo kipenzi changu ommy dimpol niache pliz usimchambe

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 ปีที่แล้ว +4

    Muacheni zuchu aenjoy maisha!!kwani lazima tupendane mi nikimpenda na ananipa ninachokitaka shida haipo

    • @tatotato506
      @tatotato506 ปีที่แล้ว

      Shida ipo ivi zuchu nimdogosana mondi sio muowaji atomuowa ndomana watu wanamuoneauluma ataalibu adi mzikiwake

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

      @@tatotato506 mdog wa nn km age now nimkubwa kazaliw 92

    • @aminatanzanya7475
      @aminatanzanya7475 ปีที่แล้ว

      @@tatotato506 mdog wa nn km age now nimkubwa kazaliw 92

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 ปีที่แล้ว +5

    Hataki hatakusikiliza nyimbo ya harmonize!!!!
    Inamaanisha bado anampenda saaaana harmo.

  • @Chekibob
    @Chekibob ปีที่แล้ว

    Noma sana

  • @Mejaclub
    @Mejaclub ปีที่แล้ว

    Wakikufukuza Tanzania ukuje Kenya mimi nitakuoa nakupenda sana

  • @masiboeliza5739
    @masiboeliza5739 ปีที่แล้ว +3

    Mnapenda kuchunguza ya watu wanaendelea unabaki apo