Hii nyimbo imenibariki sana wapendwa wangu. Ujumbe wa kiinjili katika wimbo huu ni mkubwa mno. Arrangement, harmony ubunifi, mwonekano wa uchukiaji ujumbe mnaouimba, maudhui ya uimbaji wa kiadventist, utulivu, n.k mko vizuri na mnanifanya nijivunie kuwa sehemu katika imani yetu tukufu ya ki-adventist wa kisabato. Amen amen amen. Mrakozye
Lots of thanx and love for your reply Fanuel Hume, I'll ask my husband to get them for me- he's from South Africa. Continue the gd news work Nyamasovu SDA Choir, its soooo beautiful and heavenly, God Bless.
Asanti sana Ndugu zangu ndani Ya Yesu kristu. Mumebarikiwa sana kabisa na sauti nzuri sana. sasa tuungane pamoja tu wa ite wale watoto wa Mungu wenye bado ndani ya hizo kanisa za babiloni. nyimbo ni nzuri kabisa alakini na wale wenye wanakuwa huko ndani ya hizo kanisa za babiloni nawo piya wana imba nyimbo kama hizi. sasa tuombe Mungu atusaidiye na atutumiye Roho Mtakatifu ili tuimbe hizo nyimbo zenye zina kuwa hiyo maneno yenye inaonesha hali ya babiloni gisi ime anguka na tuite sasa watoto wa mungu wenye wana patikana huko waweze toka Babiloni ili tuweze sasa Mtukuza Mungu pamoja na Yesu ake kuja mara ya pili atukute sisi wote tayari na tuende ishi pamoya naye milele na milele. Tuta endelea ku waombea muweze kubarikiwa na Maneno Yenye Roho itawapatiya yenye inakuwa na Present truth pia muweze kubarikiwa kipesa. There are many precious truths contained in the Word of God, but it is “present truth” that the flock needs now. I have seen the danger of the messengers running off from the important points of present truth, to dwell upon subjects that are not calculated to unite the flock and sanctify the soul. Satan will here take every possible advantage to injure the cause. But such subjects as the sanctuary, in connection with the 2300 days, the commandments of God and the faith of Jesus, are perfectly calculated to explain the past Advent movement and show what our present position is, establish the faith of the doubting, and give certainty to the glorious future. These, I have frequently seen, were the principal subjects on which the messengers should dwell. If the chosen messengers of the Lord should wait for every obstacle to be moved out of their way, many never would go to search for the scattered sheep. Satan will present many objections in order to keep them from duty. Early Writings p.63
Waooh,hakika wimbo umenibariki sana,nimepata ujumbe MUHIMU sana,MUNGU nisaidie nichague jina jema AMEN
Hii nyimbo imenibariki sana wapendwa wangu. Ujumbe wa kiinjili katika wimbo huu ni mkubwa mno. Arrangement, harmony ubunifi, mwonekano wa uchukiaji ujumbe mnaouimba, maudhui ya uimbaji wa kiadventist, utulivu, n.k mko vizuri na mnanifanya nijivunie kuwa sehemu katika imani yetu tukufu ya ki-adventist wa kisabato. Amen amen amen. Mrakozye
Nimeupenda sana huu wimbo...hakika nyimbo ni ibada...Mungu atusaidie na kututia nguvu..
Kama upo mnanila au manyovu like hapa twende sawa
Amen Amen Amen! Mungu awatie nguv mzidi kusonga mbele Nyamasovu,,Haleluyah
Ahsante MUNGU kwa vipawa hivi KATIKA uimbaji,nimebarikiwa zaidi ya sana,
Nyimbo hii huwa inanibariki Sanaa sioni mwingine tena Bari mungu tu
Glory to God,who given you this good songs with nice massage
Mungu awe upande wenu 💕💕💕
Marogo Msalya nawapata nyimbo nzuri niko bunda mara
Hongereni nyamasovu kwa wimbo mzuri.
JAMAN WIMBO MZURI NILIKUA SJAJUA KAMA N NYAMASOVU.
Ongereni saana na WA penda Toka DRCONGO
Lots of thanx and love for your reply Fanuel Hume, I'll ask my husband to get them for me- he's from South Africa. Continue the gd news work Nyamasovu SDA Choir, its soooo beautiful and heavenly, God Bless.
Barikiwa
Mbarikiwe sana
nyimbo inafariji sana barikiweni
Nazi yenu njema sana,Mungu awainue zaidi nyamasovu SDA choir,hamchoshi kusikiliza na ujumbe mzuri mbarikiwe sana
Mbalikiwe
Asanti sana Ndugu zangu ndani Ya Yesu kristu. Mumebarikiwa sana kabisa na sauti nzuri sana. sasa tuungane pamoja tu wa ite wale watoto wa Mungu wenye bado ndani ya hizo kanisa za babiloni. nyimbo ni nzuri kabisa alakini na wale wenye wanakuwa huko ndani ya hizo kanisa za babiloni nawo piya wana imba nyimbo kama hizi. sasa tuombe Mungu atusaidiye na atutumiye Roho Mtakatifu ili tuimbe hizo nyimbo zenye zina kuwa hiyo maneno yenye inaonesha hali ya babiloni gisi ime anguka na tuite sasa watoto wa mungu wenye wana patikana huko waweze toka Babiloni ili tuweze sasa Mtukuza Mungu pamoja na Yesu ake kuja mara ya pili atukute sisi wote tayari na tuende ishi pamoya naye milele na milele. Tuta endelea ku waombea muweze kubarikiwa na Maneno Yenye Roho itawapatiya yenye inakuwa na Present truth pia muweze kubarikiwa kipesa. There are many precious truths contained in the Word of God, but it is “present truth” that the flock needs now. I have seen the danger of the messengers running off from the important points of present truth, to dwell upon subjects that are not calculated to unite the flock and sanctify the soul. Satan will here take every possible advantage to injure the cause. But such subjects as the sanctuary, in connection with the 2300 days, the commandments of God and the faith of Jesus, are perfectly calculated to explain the past Advent movement and show what our present position is, establish the faith of the doubting, and give certainty to the glorious future. These, I have frequently seen, were the principal subjects on which the messengers should dwell. If the chosen messengers of the Lord should wait for every obstacle to be moved out of their way, many never would go to search for the scattered sheep. Satan will present many objections in order to keep them from duty. Early Writings p.63
Wimbo huu unanibariki na kunifanya nijione MTU katika watu
Mungu azidi kuwapa afya njema ili mzidi kulihubili neno la Bwana Yesu kwa njia hii ya uimbaji.
Feeling so happy when I listen your songs, God bless you
Good music
God bless you all, I love this song very much
Amazing Song.. Bless you Nyamasovu SDA Choir
Feel the Manyovu presence though in India
OK Mungu akubariki
Nashukuru sana Mungu azidi kuwapa nguvu
Thanks for the nicely song.May God bless you all.
Nyamasovu, mnanibariki sana
Wonderfully settings
Beautiful song
Nc songs
Nabariwa mno Mungu awainue mfike mbali
nice
I like it big up sana kwa kumwinua yesu
be blessed yo People of God
mungu awabariki i feel blessed when i listen this kenya listens u
I Love this song God bless you nyamasovu
I like it when am hear it am strong
mbarikiwe
wimbo mzuri
mungu atukuzwe
God bless you.
Thenk
love this song, May God Bless u all Nyamasovu SDA Choir. Is this cd and dvd available in Australia- i would love to buy some.
Unfortunately Aneta the DVD are not available in Australia. Thanks for your interest!
nawapenda wote
amina
Shams Mussa mungu awabaliki
Kumbe phanuel stole this song but he made it awesome
He didnt steal the song, he was asked to it back then when the knowledge to do it was still low to most people
@@fanuelhume ogey
good
very nice
wimboo mzuly mbalikiwe namng
mkolani
amina