Nimependa sana hisia zenu mnapo kutana kumbe mwaeza tengeneza kitu chengine kizuri zaidi.muko vizuri kwa kweli mawazo mazuri tena yakudumisha na kuelimisha.ongera kwenu nyote
Kitale maneno yako yamenigusa mtima wangu utaona mtoto yuwaburuzwa ba mama wa kambo libaba liko linaangalia tu nalichukia sana libaba lenye na na hii tabia
Nakweli % kubwa yamakungwi unakuta kwenye ndoa wameshindikana mfano ukifatilia makugwi wa dareslam ndoa hawana mwanaume au mume hana zaidi ya kudanga na waume zawatu alafu sasa mmh siez elezea yan awana maaana..

Wanifokea kama wafokea bata😂😂😂😂😂Allah amrehemu mzee Majuto🤲💔
😂😅Innalillahi,,,amjalie wepesi adhabu ya kabr
@@Macapella_ 😂😂😂
Mwenyezi Mungu amrehemu kwakweli
Assalaamualaykum wa rahmatullaahi wa barakaatuhu vphl aujambo kwakweli mungu akulipe kheri snaa maana umetufunza mengi
Kitale maneno yako yamenigusa mtima wangu utaona mtoto yuwaburuzwa ba mama wa kambo libaba liko linaangalia tu nalichukia sana libaba lenye na na hii tabia
Mola hailaze nafsi yako mahala pema peponi # Amri Athumani Amri.
Amen
😂😂😂😂kungwi noma unafunda wali kwako panakushinda
Kitale umeongea point kama unakubali kitale gonga like
R.i.p babu yetu kipenz
Hierdie inligting sal as vertroulik 🎉🎉😢😂
Dunia bure kweli nikuku mbuka Sana babu yetu kipenzi
Nakweli % kubwa yamakungwi unakuta kwenye ndoa wameshindikana mfano ukifatilia makugwi wa dareslam ndoa hawana mwanaume au mume hana zaidi ya kudanga na waume zawatu alafu sasa mmh siez elezea yan awana maaana..
baada ya miez sita utaota chuchu hahahaha kingwendu noma jmn
good movie