The happiest people on the planet are found in Africa. We don't have much but we somehow found a way to be happy with the little we have. If our leaders can be a little patriotic and fix things, we would be in a good position to be even more happy and not think of traveling out of our countries. God bless you my African brothers and Sisters. Bunch of Love❤ From Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬, I can't exchange my Africans for anyone.😢
vijijini hali ya maisha ni ngumu sana watu wakipata mziki wa pamoja ni burudani na inasaidia sana kupunguza stress, zaman kwny kambi za wakimbizi baba alikua akiweka radio za gar anaunga kwny speaker mziki unakua mzito watoto wanakuja kwny nyumba zetu wanacheza na mm najimix ilisaidia watoto weng kuondokana na dhana ile image ya vita za nchini kwao Rwanda na Burundi 😢😢😢 hii ni zaidi ya burudani
Mm juma ISSA malivata jamaniiii apo ni Kijijin kwetu chigugu,nimezaliwa apo na kukulia apo,tumetoa mc uyo Amisi Misooooo,Nash mc,na waigizaji kama wotee,jamanii Kijiji chetu kina vibe kama zoteeee karibu vipaaji teleeee
Misso katufungia mwaka kwa vibe sana🎉🎉🎉
Hii ndomana halisi ya furaha yetu haimtegemei mtu keep enjoying guys miso nna mauwa yako❤
Huyu dj aangalie kwa jicho la pili, good vibe, Hivi ndo Inatakiwa kuwarusha watu, big up, Mpeni maua yake huyu.
❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥💃🕺🕺💃✨✨🇹🇿✊🏾
Ni chiz huyo ukimualika hakikisha mazao umevuna hachelewi ila me namkubal san
@@josephdionizy2868🤣🤣🤣
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 big up sanaaaa
@@josephdionizy2868 😂😂😂
Nakutakia Kila lenye Kheri Dj Miso...Kwa Furaha unayowapatia jamii inayokuzunguka lnshaallah mafanikio yapo mbele yako🙏
The happiest people on the planet are found in Africa.
We don't have much but we somehow found a way to be happy with the little we have.
If our leaders can be a little patriotic and fix things, we would be in a good position to be even more happy and not think of traveling out of our countries.
God bless you my African brothers and Sisters.
Bunch of Love❤ From Nigeria 🇳🇬🇳🇬🇳🇬, I can't exchange my Africans for anyone.😢
Daa Tanzania yangu nakupenda bulee niko South jurbug Nakumbuka nyumbani maokoto Yamenitolosha nyumbani tz 😢😢🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏
🤣😂
one day yes
Yap! Maokoto muhimi always home is sweet
Ni furaha sana kumaliza Mwaka na Dj Miso😂😂 umepigaje hapo
th-cam.com/video/4kcn-b6558w/w-d-xo.htmlsi=1O5kyPcayVVgrn8K
Pig Kaz kijana pengine ndo maisha yanataka kukubali Mungu mkubwa❤
Dhaaa unyama sana😁🤔
Kaka maisha yameshakubali tayar😂
Yupo vizuri sana uyu mwamba
Huyu sio wa Bongo hii Tena Big Up 👊👊
🤣🤣😂😂jamaa noma sana. Ase nimeskia skia sana Miso misondo nnkasema ngoja nimtafute nijue vitu vyake!
Ila watu wa vijijini wanakuwaga na vibe...
Live
Stella unataka utufananixhe na wa mjiniii
Amini kwamba
Nenda kajaze kama rahisi
Huku mjini tunakua serious na maisha sana kumbe ni ufala
Misondo to the World..
Najikuta na enjoy sana kupitia furaha hiii❤
Tunaitaji misso missondo festival😂😂😂
Hii dunia uweza jikuta unamuonea wivu mtu hata akiwa na maraha yake tu😊😊😊
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
ushauri wangu kwako MISO
EPUKA MATAPELI
Wanampenda Sana huyu dogo 🎉🎉🎉
Sana😂😂😂😂
Misondo ni balaa sana huyu mtu
Ila kusini tunapenda mziki sana
Sanaaaa
nakubar mwanangu wape misondo mpaka waseme
Baada ya kuona Missomissondo Twita (X)sasa tuishi nae😂😂
Watu wa bushi wana vibe sana ila town watu wanajifanya ni wastaarabu kupitiliza
BIG DJ MKOA WA LINDI
NIAJEEEEEEEEE
DJ Misso tuuwe basi😮
Good vibe ...
😂😂😂😂 unatrend sana siku hizi hata sura yako siijui at
Anajua apewe t mauwa yke🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏😎😎😎
Njoo tunduru mwanangu ukiwashee misomisondo
Ongera sana dj misso❤
Hadi nimetamani ningekuwa mtanzania tu u basi 🔥🔥🔥
Kwani wewe ni raia wa wapi?.
Atakua raia wa dsm huyu c mtanzania😊
@@HadijaRajabu-pr9di Kenya
At first I thought my phone audio was damaged but then after a few seconds, I realised the beauty of this clip.
Huna baya miso nakupenda❤
Kazi mazuri Sana dogo
Duuuu yani hata kuna baadhi ya wasanii hawamfikii kwa kujaza nyomi ya watu hivi😂😂😂
unatisha sana mwamba nakwombea mwana🙏🙏🙏
We misso misondo umepigaje hapo
Ila daaah mwamb Ana htr 🎉🎉🎉
Wauuuuuniiiii
Wapiiiii miso misondooo
Misondo noma sana
Piga keleleeeeeee Kwa missooooooo akeeeeeeeeeee
❤❤❤musiseme wana mpenda missomisondo anajua😎😎😎
AKmz
Ow82is8smisjuy😊
vijijini hali ya maisha ni ngumu sana watu wakipata mziki wa pamoja ni burudani na inasaidia sana kupunguza stress, zaman kwny kambi za wakimbizi baba alikua akiweka radio za gar anaunga kwny speaker mziki unakua mzito watoto wanakuja kwny nyumba zetu wanacheza na mm najimix ilisaidia watoto weng kuondokana na dhana ile image ya vita za nchini kwao Rwanda na Burundi 😢😢😢 hii ni zaidi ya burudani
Huyu noma sana 🔥🔥🔥🔥
Umepigaje apo😂😂🎉❤
Unyamaaaa
Oy boy DJ killer tangahapa nifosio no tufanye kaz
Mwaka unaumaliza vizur sana miso congratulations
Fireeeee
Ngoja wale Raha maana Tanzania Mungu katubariki amani, Kuna Nchi nyingine huwezi zurula nje like this
Unyama sana hadi rahaaaaaaaaaa mpaka Raha tena
Mambo yangu hayoo
Umetisha miso misondo
Kazi mbele
Noma sana
Umepigaje hapo missoooo
Jaman kuna kofia zimevaliwa hapo acha kabsa au misso ndo sare ulioagiza ivaliwwe
Amepigaje hapo😂😂
Umepigaje apo 🔥🔥
🇹🇿🇹🇿💐💐💐mauwa yako ayo
Dah 🙌🙌🙌😂
Misso misondo umetisha big up
Safi sana kwa ubunifu mzuli 2:19
Nakubarrrrrrrrrrrrrr
noma xana
n fire 🔥🔥🔥🔥
Daaa awe miso nimuba nihatali pamoja sana mutu wang
Haa nihatali
Watu wa vijiji wanainjoi sanaaa
We miso Misondo umepigaje hapo
Mambo ya nyumbani hayooo😂😂😂
We mkali
Huyu Dogo ni tishio kwa Ma Dj wa mjini.
Mbosso huyu hapa
Mmpendeza jaman
Kama wanachezA cndimb😮😮😮
😂 miso misondo anapewa anamaliza Dada zetu kitaa
Misso kweli ulileta vibe 🎉🎉🎉🎉😅😅🎉
Nyie munajua
We miso umepigaje hapo
Iv izi redio station awamuon uyu mtu maan ni ana balaa wamuajir tu khaaa!
Atar na nusuu duuuh😂😂😂😂😅
🔥🔥🔥
Nomaaaaa
Uyu jamaa ana level za juu kila la kher kwake
Hatari sana...😂😂😂
Yuko sawa dogo🎉🎉🎉🎉🎉
Unajua san❤❤
Wakati wa mungu ndio wakati sahihi
Misso we ni nomaa
Moto💥💥💥💥💥💥
Good miso
Unajua
Aise miso misnd unatisha karbu mwanza ukiwashe jamn❤❤❤😅😅😅
Sema mwamba kule kijijin ndo watammis sanaa aisee maana keshaletwa mjini
Weeeee miso misondo umepigaje hapo na kubali broooo
kaliiii saaanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Msamsondo hatar ntakupa dada😅😅😅😅😅
Mm juma ISSA malivata jamaniiii apo ni Kijijin kwetu chigugu,nimezaliwa apo na kukulia apo,tumetoa mc uyo Amisi Misooooo,Nash mc,na waigizaji kama wotee,jamanii Kijiji chetu kina vibe kama zoteeee karibu vipaaji teleeee
umetisha miso
Aisee janjaa una kipaji kumamaee😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌