Balaa hili,DULLA MAKABILA amchezesha MAGUFULI singeli,tazama mwenyewe hapa/wimbo huu ni noma.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- Please subscribe now on Our TH-cam channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time.
#middlesimba
#WeAreEverywhere
#dullamakabila
Kama umekuja kujifarij uku tujuane jmn rip magu
Yaan wew acha roho inauma mim
😢😢😢😥😭jembe letu jamani
Tutakumic mg
Dulla ndo Mond singer tz
Nan kasikia naipenda simba mtoto wa jangwani
🤣🤣🤣ahaa kumbe umesikia ee
Yaan katika nyimbo za kampen hiii ndo yenye mashair makali
Duuuh! Magufuli wetu maskini🙏😭😭😭😭😭😭 leo hii haupo kweli 😭😭😭😭 pumzika kwa amani baba ni uchungu mkubwa Sana😭😭😭😭🙆🙆
Dua lifike kaburini alipolala Mwl Nyerere Amina.
Alikiba njoo ufundishwe huku kuperform
Singeli hapa kwaooo.. magu alishindwa kujizuia 😁
Eee Mungu itikia dua aliko lala magufuli apunzike kwa amani Aamina
Ivi kweli magufuri ndo sito kuona tena
Rest easy baba yetuuu jmaniii mweeee Mungu tuhurumie jmaniiii
Rest in peace our president
Hongera bro wangu Dulla shoo nzuri sana!
Anajua
Mzee Na kiyoyoz Kwa pemben🔥
Real singing handling the beat 1000% bigup dulla
Nakukubali middle habari sahihi kwa wakati sahihi
Hatreeee nanusu
Umetixha xana mwamba nakuku Bali
Wallah nimecheka nliposikia pole pole takabal dua!!!
mm nimecheka na kushangaaa hasa🤣🤣😚😚😚
Nimekumc magufuli wetu nimejifarajil kuona unacheza kumbe haupo you make Mr cry any time byeee
Nimekukubari dulla kwa sengeri
😥😥😥😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
CCM OYEEEEE CCM OYEEEEE
Dullah nakukubali sana . Yaan ww ndo king wa singeli TZ asee
Aswaa yaani huyu king wa singeli!
@@subirajohn728 kwel kabisa yaan
R.i.p tutakukumbuka daima JPM
Jpm amepita
Majaliwa
Majaliwa
Dula anajua
Na mm niko
Kuna jama kamlalamikia middle Simba kuhus ally kiba xx Kama hajui unatk awe mwalim wake ?
Show kali balaa
Jaman too pain for we Tz😭😭😭
Waaaaooo boy Makabilla. U good boy. 💔💘👌👌👌👌👌👌
Makabila umefunika
Viva duller viva jmp kazi nzuri
dulla unajua bonge la nyimbo
😭😭😭
Dogo kauwaa
Dulla kaua
Huyo ndo King dulla dadekiiii
Mungu tunashukuru kwa yote ni mapenzi yako yatimie pumzik kwa amani imebak. Stor
Middle simba🙌
💯💯💯😍😍🌹
Tazama huyu mtanzania anaetengeneza helikopta th-cam.com/video/nJSIR9wdEQ8/w-d-xo.html
Hahahahahaha hili ngoma hatarii
Yan kama bado tupo nae jaman daaaaaa mungu mpoke veyema jembe letu tulimpenda mno ataish moyon mwetu daima daaaaa mmmmmmmmmmmmm
King wa singeli
Tembooo wa pilii
Daaaah huyu naamini ndio mond wa singeli
Duuuh😭😭😭
Unajua makabila
dulla makabila unajua
Mbona kavaa Kama chadema
Show qali makabilaaa
🙌🙌🙌🙌
🔥💯💯💯💯💯💯✅🥰
Nakubalisna
Hii show sio poa mskabila Alikua anamaanixh big up broo
Dulla félicitation ❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Da king wa singeli
Mbn unafel sana middle alikiba aumchambui kma wasanii wengine au kumfatilia shida mnapenda mtelezo
ALIKIBA ND NN WW
@@bongotv7120 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣wacha ncheke kwa saut
Alikiba kaisha
Ndo ujue Hana maajab😜😜😁anaweza performance Kama hi!!?
Muacheni king wa watu pusi nyie