Kuna watu bado hawajaelewa lrani ni nchi ya kidini na kisiasa kwa hiyo kwenye siasa unaongoza watu wote wenye dini na wasio na dini kwa hiyo kauli ya kiongozi wa lrani ni sawa
Hao waislamu unaowataka wewe kina Saudi Qatar Jordan wako wapi kupigania uwisilamu unasambalatishwa na marekani na mazayuni tena wao ndio wanashirikiananao leo iran ndio anaipigania palestina na lebanon na wauthi wa Yemen ndio wanaupigania uwisilam
@@selemanisalum7685Usiwe mjinga yaani hadi leo bado una fikra ya kuupigania uislamu.yaani umeona israel,marekani na nchi za ulaya zinapinga uislamu?uislamu ulishakuwepo hapo kazi ni kwako ww kutimiza yale yaliyomo kwenye msahafu.
Asante kwa kutuhabarisha mr.Awadh Rashid, Congratulation.
Tunakupata vizuri sana ndugu wa Arusha one kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna
Amin kwetu sote
Ilani nimewapenda nilihisi niwalewele .want ita wakristu makafuri .hongera kwa ilani
Kuna watu bado hawajaelewa lrani ni nchi ya kidini na kisiasa kwa hiyo kwenye siasa unaongoza watu wote wenye dini na wasio na dini kwa hiyo kauli ya kiongozi wa lrani ni sawa
Haya kazi ianze
Mtawazikaje kwa mfano . Wamejichanganya na Raia .
Dalili wazi siyria inakwenda kuvurugika zaidi Makundi mengi yenye malengo tofaut namataifa washiriki namalengo tofauti muda utaongea
Mahaaaaa
Hivi Syria bado ina jeshi tena!!
another Libya and IRAKi
Huyu sii kiongozi wa waislam ni kiongozi wa mashia na ushia sii uislam
Huna akili hata nusu
Hao waislamu unaowataka wewe kina Saudi Qatar Jordan wako wapi kupigania uwisilamu unasambalatishwa na marekani na mazayuni tena wao ndio wanashirikiananao leo iran ndio anaipigania palestina na lebanon na wauthi wa Yemen ndio wanaupigania uwisilam
Hawa Ni Kama Asaad tu
@@selemanisalum7685Usiwe mjinga yaani hadi leo bado una fikra ya kuupigania uislamu.yaani umeona israel,marekani na nchi za ulaya zinapinga uislamu?uislamu ulishakuwepo hapo kazi ni kwako ww kutimiza yale yaliyomo kwenye msahafu.
Wew nidin gan fuataupepo2wew
Erdoğan ni mnafiki na kadhihirika
Kumbuka uturuki ndio yenye jeshi kubwa la pili nato
@@edwardmongi117 ni kweli lakini bado anacheza both sides
acheni unafiki waislamu jipangeni muwaangamize wazayuni
Mmmmh
😂😂😂😂😂
Dollaaaaaaaaa
Uturuk maneno weng vitendo akuna
Muoga