@@augustinomathan4385 Hao wamerudi kwao baada ya kutangatanga duniani kwa miaka 2000 hivi baada ya kristo, eti waarabu wakataka kuwazingua cha moto wamekiona. Yaani huyo Netanyau ni cha mtoto kwa Mfalme Daudi kwa vita
Tunakupata vizuri sana ndugu adam Hussein kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna waisraeli siku zote ni taifa linalopenda vita hivyo wachosema nikweli kabisa kinachotakiwa taifa la iran ijinge vizuri kusubiri kushambuliwa na taifa la Israel mungu ibariki taifa la iran
@@EzraKawogoPujongtownTatizo hawa wavaa magaumi ni shule tu,vita ya dunia ya sasa sio imani,it’s all about technology,sasa hivyo vikundi vya wavaa vijora wakiongozwa na Dada yao Iran Akili zao zinarudi nyuma baada ya kwenda mbele
Nani alikudanganya kwamba Marekani anamtegemea Israel?Huo ni urongo mtupu.Ni kwamba, wayahudi walichofanikiwa ni kujiingiza ktk vyama vya siasa vikubwa Ndani ya Marekani.Ni kweli pia kwamba wayahudi ni miongoni mwa wafanyabiara wakubwa ktk Marekani.Pia Israel ni taifa lililoasisiwa kwa ufadhili wa Matajiri mailuminant wa huko Ulaya na MAREKANI mwaka 1948 Israel Kwa kupora ardhi za Wapalestina,sambamba na kuwaua,ni taifa la Mashetani.Ndio maana ushoga ni ruksa kwa Sheria za Israel.Vilevile Israel si wakristo na ni marufuku kuhubiri habari za Yesu Ndani ya Israel.Hawa ni watu wanaobebwa na Mataifa ya magharibi, mataifa ambayo yana ajenda za kishetani.
Waache wajitie ktk mtego kupigana na wagambo wa Hamas na hizbullah washajiona kila m2 wanamuweza 😅 wakat hao wahouth tu kupigananao mpk wasaidiwe na USA na UK
@@somymoivanlukumay4198 Israel wamewajaza watu propaganda wakijua hii ndio Ile ya Wana wa Israel kwa yote anayofanya watu bado yupo nae sabb wanajua n msingi wa Iman kumbe hola
@@sukari800 pole sana kwa chuki zako israeli haitabadilika milele mtakuja na mengi mabaya juu ya israeli lakini mtakufa na israeli itabaki kua israeli🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏
Adhima yetu imetimia, tumesha yadhoofusha mataifa yote 6 hasimu juu yetu, tunaenda kumalizia kiporo Iran, kitacho fuata ni kupiga magaidi nyumba kwa vyumba, hadi uvunguni mwa vitanda vyao tutawasaka, sisi ndio Israel mtoa ROHO.
Wenye kukaa duniani ngoma iyo sisi wakristo tunaangalia ahadi ya BWANA YESU KRISTO alienda kuandaa mahari na sasa amekaribia kurudi twende zeeeeeeeeeeeeetuuuuuu
Kuna mtu ananyemelewa na NYUKLIA muache abweke na MAREKANI akiingilia kati akaonekana uchumi wanamshusha kwa maana kuna CHINA, URUSI na KORREA wana hamu nae
Wale waliozoea 'WIZI' daima wanaishi kwa wasiwasi!😮 daima wanafikiria "vifo na mauaji"!! Daima huwa hawana raha hapa Duniani! ama kweli DHULMA NI MBAYA!!!
Mimi ni mtanzania sio islael wala iran.mimi ni mwafrika mtu mweusi wala sio mwarabu wala muyaudi mungu ibariki TAIFA LA TANZANIA HAO WENGINE MIMI SIWAJUI SIWEZI KUBARIKI TAIFA AMBALO MIMI SI ISHI HUMO ITAKUWA NI UPUMBAFU NA ULOFA ,UFALA,UMASIKINI WA AKILI KICHWANI NA UPUNGUANI.MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA
hiii vita itakuwa kubwa saanaa waamerika wata chukuwa wafrikaa kuja kupigana irani wapo milioni 90 muyahudii wapo kidogo huu mtiti ni muingereza na amerika
@@charlesboniphace2249uko nyuma mzee vita na hezbollah haikuisha waliomba wenyew IL kusitishwa kwa vita, then HAMAS bado hawajapotezwa wanawapoteza raia wasiohusika kitu usichofaham.
Mi nawashangaa badhi ya watu wanacoment bila kuangalia historia kwa swala la vita achananwni na israeli taifa ambalo kwao vita ni amani yaani wakifanya vita wanapata amani tofauti na mataifa mengine kabisa hata marekani hawezi vile
Taifa la Israel lina bahati mbaya cha ajabu Manabii wengi walitokea kule lakini limekosa baraka angalia Hitler alivyowakaanga hadi huruma na sasa hivi wanakaangwa tena dah !?
Israel hamna kitu kwa Iran vita vikianza Israel na Hamasi utaona Marekani wanawahi mapema kupeleka Meli za kivita😂 juzi ameshambuliwa na Wahouth WaYemen mpaka marekani ameingilia kati kuwashambulia Wahouth humu kuna watu hawatumii hata akili Israel bila Mataifa ya Magharibi hawawezi kukaa pale Ghaza
Tangu 1999 netanyahu alisema nchi 7 lazima zisambaratishwe ili waweze kujitawala zaidi, Baadhi ya nchi hizo ni misri, libya, syria, iraq iran pia. Baadhibya hizo nchi tayari zimeshaangushwa bado Iran tu ndo inatafutwa. Mwenyezimungu awape nguvu iran ili wawashinde hao mashetani waliojivisha ubinadamu wanaotaka kuharaibu dunia kwa maovu na ushoga. Laana iwe juu yao daima
@@FrancisThomas-jc8wq huyo mungu wako wa Anraha na yakobo sio kwa hao kwan sio wale wana Israel unaowajua ww hao unawajua ww alishatimuliwa huko wapo ethiopia na Africa baadh ya nchi kama bant kwa ujumla ss ww baki kuwaimbea hao wanaisrael feki hao ni mayahudi kwa jina wanaitwa Ashkinaz fanya research nyiee hamtaki kusoma historia mumebaki na kudanganywa hao kina Netanyahu wanamsubiria masihi wao kudi na sio yesu kristo.wa kwao nimwengine na wameshaanza kumwandalia kiti chake.ss ww nenda kafany research yako kwanza uje hapa.
@@FrancisThomas-jc8wqMungu wa waisrael sio huyo yesu wako ukae ukilijua Hilo 😂😂😂 ukiwatajia yesu Israel ni sawa na umewatajia zuchu Tanzania ni maarufu TU Wala sio lolote
Ameshapewa green light na baba yake America. Trump always yupo against na Iran so anataka kuona inaishiwa nguvu kama Islamic state zingine. Let's us see this show!!!
Hawa vijana wanaongea ongea, Israel ni balaa na akipiga kishindo kinasikika popote duniani! Mungu alisha waapia hivyo ( Israel means umeshindana na Mungu na Binadamu umeshinda). Yetu macho kwa sababu Israel akitamka ameisha maliza mahesabu yake lakini msianze kulia lia eti akamatwe PM ashitakiwe 😂😂😂
Kama mnakumbukumbu kuna maneno netanyahu aliyaongea mara mbili [alirudia maneno] ili kuvuruga siasa za ndani ya Iran ila iran hakujib kakaa kimya had sasa *nataka tuangalie huu mchezo wap utaibulia
Ukiona hivyo ujue Marekani kishatia go ahead😂😂
Awajamaa wanapenda vita zaidi ya kula
Watu wa vita hata baba yao Daudi alikuwa mtu wa vita sana. Netanyau anataka kuvunja rekodi ya Mfalme Daudi
Hatari bila ubabe utaonewa sana duniani
@@augustinomathan4385 Hao wamerudi kwao baada ya kutangatanga duniani kwa miaka 2000 hivi baada ya kristo, eti waarabu wakataka kuwazingua cha moto wamekiona.
Yaani huyo Netanyau ni cha mtoto kwa Mfalme Daudi kwa vita
Tatizo jina, Israel ni mtoa roho so wanawaza kutoa roho tu
Mashariki ya kati ukiwa mnyonge utalelewa
Tunakupata vizuri sana ndugu adam Hussein kwa kuenndelea kutujuza habari za ulimwengu mungu akubariki sanna waisraeli siku zote ni taifa linalopenda vita hivyo wachosema nikweli kabisa kinachotakiwa taifa la iran ijinge vizuri kusubiri kushambuliwa na taifa la Israel mungu ibariki taifa la iran
Safi sana IDF piga sana hao Waajemi.
Mtoto anautakaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂 iran chakle chakle hiyo inakuja,usimbakishie baba kulayoteeeee
Ameutakaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂
Iran mpe woteeeee😂😂😂😂😂😂
uyo sie Israel anae taka kupiga irani uyo ni American na wenzake wote
Unawagopa sana marekani
I@@ElizabethMsizio ilinujue kuwa sio Israel
Waacheni wanachokozwa na huyo Iran. Hongera IDF Mungu yu pamoja nanyi
Ila nyie si mna allah 😂😂😂😂
@raymrash Sasa shida nn
Kinachowatesa Israel ni wa Yemeni wanajua nguvu Yao inaroka iran
Na wao nguvu yao inatoka marekan n sawa tu
MUNGU ibariki Israel ❤❤❤
Mungu Ibariki jamuhuri ya kiIslamu ya Irani na washirika wake
Jaribun, marekan wamekili kuishindwa Iran tangu mwaka 79, NYINYI mtaweza???
Wataweza mdgo wangu
USA🇺🇸 wenyewe wa wanamtegemea🇮🇱🇮🇱 sasa Iran😂 si kikundi chakina mama tu
@@EzraKawogoPujongtownTatizo hawa wavaa magaumi ni shule tu,vita ya dunia ya sasa sio imani,it’s all about technology,sasa hivyo vikundi vya wavaa vijora wakiongozwa na Dada yao Iran Akili zao zinarudi nyuma baada ya kwenda mbele
Nani alikudanganya kwamba Marekani anamtegemea Israel?Huo ni urongo mtupu.Ni kwamba, wayahudi walichofanikiwa ni kujiingiza ktk vyama vya siasa vikubwa Ndani ya Marekani.Ni kweli pia kwamba wayahudi ni miongoni mwa wafanyabiara wakubwa ktk Marekani.Pia Israel ni taifa lililoasisiwa kwa ufadhili wa Matajiri mailuminant wa huko Ulaya na MAREKANI mwaka 1948 Israel Kwa kupora ardhi za Wapalestina,sambamba na kuwaua,ni taifa la Mashetani.Ndio maana ushoga ni ruksa kwa Sheria za Israel.Vilevile Israel si wakristo na ni marufuku kuhubiri habari za Yesu Ndani ya Israel.Hawa ni watu wanaobebwa na Mataifa ya magharibi, mataifa ambayo yana ajenda za kishetani.
Marekani sio Mungu, kuna vitu awezi, ila juwa kuwa Israel inapiganiwa na Mungu Mkuu
Amen na israel lasima washende hiyo fita hilo taifa teule la mungu
@@mejangingiro3005 Hilo taifa la mungu na Hawa hawafanan
Haw n wayahudi wa ulaya
Hilo taifa la shetani ila nyie makafiri hamjui na waislamu tuta tawala Dunia mpende msipende
Mungu hapendi ushoga
Izraeli tayari amempiga irani pale gaza, Lebanon Yemen amejua udhaifu wake enda ukamalize kazi izrael
Anataka kuchokoza moto izrael
Waache wajitie ktk mtego kupigana na wagambo wa Hamas na hizbullah washajiona kila m2 wanamuweza 😅 wakat hao wahouth tu kupigananao mpk wasaidiwe na USA na UK
Moto gan Iran aliwah kufanya tukio gani mnamsifia upuuzi tu ngoja wamshenyete mtakaa kimya
Umejisahulisha kilichofanywa na Iran kwa israel @@CharlesMbise-hc2sz
@@CharlesMbise-hc2szkashindwa hamas mbaka leo mwaka wa 2 unaenda
@@alisaleh283 ashapigwa tyr
❤❤❤❤❤usraell taifa teule
Piganeni mtapoona mmechoka mtaacha wenyewe kwn sisi Afrika tunapigana na ukoloni mamboleo na hatujui lin tutajikomboa .
SAFI SN PIGA MBWA IRAN
MUNGU ibariki Israeli MUNGU ibariki❤IDF🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu gani anakaa na wauaji nyie wote ni wauaji@@bonifacewanyonyi3555
Aamen
@@somymoivanlukumay4198 Israel wamewajaza watu propaganda wakijua hii ndio Ile ya Wana wa Israel kwa yote anayofanya watu bado yupo nae sabb wanajua n msingi wa Iman kumbe hola
@@sukari800 pole sana kwa chuki zako israeli haitabadilika milele mtakuja na mengi mabaya juu ya israeli lakini mtakufa na israeli itabaki kua israeli🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏
Huo ni mtego na kwanini.
Ni kutokujua ni kwa nini Iran imekuwa kimya.
Na lengo sio uwezo lengo hapa ni ufunguo wa kuzim nani anao.
Iran ilishapanga
iran yy mwenyewe anaham kubwa kumalizan na nyingi sasa jaribu uwone mtiti wake ma
Waarabu wengi ni mbumbumbu hawana uwezo wa kupigana
Wairan sio waarab bwege ww usikariri kama ulivyokariri bansen burner😂😂
@@ElizabethMsizio Chiz wew😂😂😂
😂😂 nani kakwambia Iran ni mwarabu? @@ElizabethMsizio
@@HawaBakari-u6qyamekaririshwa hayo. Ngoja yaone moto wa Iran ulivyo
Wao kazi yao ni kuanzisha Migogoro tu Ulimwenguni. WASHENZI SANA WATU HAWA
Watu gani unazungumzia
@@raymrash israel
@@raymrashWaarabu
Mshenzi mwenyewe
Wmesha jiridhisha wapi watapiga.....wanampapu Iran iaingie king
🇮🇷 hatanii ngoja haone ndio utakua mwisho wa israel
Adhima yetu imetimia, tumesha yadhoofusha mataifa yote 6 hasimu juu yetu, tunaenda kumalizia kiporo Iran, kitacho fuata ni kupiga magaidi nyumba kwa vyumba, hadi uvunguni mwa vitanda vyao tutawasaka, sisi ndio Israel mtoa ROHO.
😂😂izo mbwembwe tu subtu sialshapima majib aweke mguu,😂😂weee lyo lran
Israel piga wasijione wanamungu peke hao,wanatumia jina la mungu vibaya
Yemeni ,parestina sijui wahudhi kule izraeli anapapasa akisema apigane vita mbona dakika zirotu
Wenye kukaa duniani ngoma iyo sisi wakristo tunaangalia ahadi ya BWANA YESU KRISTO alienda kuandaa mahari na sasa amekaribia kurudi twende zeeeeeeeeeeeeetuuuuuu
Mbingu na Dunia ni mali ya mungu, hataacha watu waovu waziharibu.
Kuna mtu ananyemelewa na NYUKLIA muache abweke na MAREKANI akiingilia kati akaonekana uchumi wanamshusha kwa maana kuna CHINA, URUSI na KORREA wana hamu nae
Tumwombe Mungu vita isiwepo tuishi kwa amani!
Amin
Vipigo vya Yemen vimewachanganya Israeli na America
Awawez
Niko Pale Kuangalia Hii Move Marekani Na NATO Wanakwenda Kuumia Vibaya Sana
Yan Ukrain imeisumbua hiyo nchi yenu mwaka na miezi alafu Nato iumie kwa muda mfupi, hv nyie mnadhan Nato ni sungusungu au?
@@yohanamwamkili4397 Hawana akili akili hawa hawajui chochote wanafikiri NATO ni mgambo wa jiji 😂😂😂
Mbn unazunguko humo humo kwann ampige Iran sababu,
Mashoga awanauwezo wakupambana na iran muko sikuz za mwisho wa maisha yenu hamas amujaweza kuwafuta washenzinyie.
God stand with Israel 🇮🇱🇮🇱🤗
Wale waliozoea 'WIZI' daima wanaishi kwa wasiwasi!😮 daima wanafikiria "vifo na mauaji"!! Daima huwa hawana raha hapa Duniani! ama kweli DHULMA NI MBAYA!!!
Mimi ni mtanzania sio islael wala iran.mimi ni mwafrika mtu mweusi wala sio mwarabu wala muyaudi mungu ibariki TAIFA LA TANZANIA HAO WENGINE MIMI SIWAJUI SIWEZI KUBARIKI TAIFA AMBALO MIMI SI ISHI HUMO ITAKUWA NI UPUMBAFU NA ULOFA ,UFALA,UMASIKINI WA AKILI KICHWANI NA UPUNGUANI.MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hivi unajua kuwa nchi yako ipo chini ya america na america inaweza kukuamrisha jambo na huna ubavu wa kulipinga?
Mungu ibariki Afrika 🌍🌍🌍
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Acha uongo Tanzania ipo chini ya mwenyezi mungu na Rais wake ni Samia acha wehu nani kakuroga mpaka umsahau mungu@@azizmiraji2610
Dunia Sasa yapigana kwlikweli
Ngoja tuone Iran nao sio machizi
hiii vita itakuwa kubwa saanaa waamerika wata chukuwa wafrikaa kuja kupigana irani wapo milioni 90 muyahudii wapo kidogo huu mtiti ni muingereza na amerika
Uliwaona USA au UK
Uchache wa izrael si shida unakumbuka vita ya yomkipor inchi 6 ziliungana na izrael ilichokifanya ni miujiza
Kwani iran mpofu ata akimshambulia amtizame tu na aanze wamalizane kibingwa
Sasa mume wa iran urusi amepigwa huko syria unafiki iran inaweza kujaribu tena moto
Tem Iran nahisi yenda jimaliza esraeli maana majeshi yake yamechokaa mnoo
Watu wana hasira humu, wanatukana balaa,😂😂😂😂😂
Sawasawa..Lakini komboeni Mateka kwanza..Hamasi imewatoa Kamasi mpaka leo mwaka inapigana na kundi halina zana nzito 😂😂😂😂
Gaza ni magofu tayari bado iran yatakuwa magofu ya bundi na popo
Mwaka ushapita toka mwezi wa 10
Haina zana nzito kivipi mkuuu washapotezwa wakaingia hesbollah nao viongozi wapo kaburini sasa ni Yemen
@charlesboniphace2249 Wamepotezwa na juzi Netanyau amesema anampango wa kusitidha vita!!! Mateka mmekomboa ___'?? Hamasi wanavufaru___?? Hamasi wanandege_____?? Hanasi na Allqasam ipo na Viongozi wapya wapo!!!
@@charlesboniphace2249uko nyuma mzee vita na hezbollah haikuisha waliomba wenyew IL kusitishwa kwa vita, then HAMAS bado hawajapotezwa wanawapoteza raia wasiohusika kitu usichofaham.
WALIMWENGU TUNA SHIDA SANA NA NCHI HIZI MBILI KWA SASA. AMERICA NA IZRAEILI.
Nchi yenyew ndogo lkn ina mikwara
washatumwa na miuugu yao america na uingeleza
Kuandika kwenyewe tatizo 😂😂pole sana usilolijua ni Sawa.....?
Ila ata wewe umemuelewa nini kamaanisha@@vincentcharles4385
Huenda iran ikashinda vita coz wahoth bado hamja washinda ninyi na American
Hawa wazayun ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii
Wakwanza nimimi mtoto waburundi naomba link zangu jameni
Hebu joulolizeni kwanini Majeshi ya israel yameweka kambi Syria?? Huo ni mpango mkakati wa kuweza kuipiga vizuri Iran
Nendeni mukatoharishe maana mupo wachafuu😅😅
Mi nawashangaa badhi ya watu wanacoment bila kuangalia historia kwa swala la vita achananwni na israeli taifa ambalo kwao vita ni amani yaani wakifanya vita wanapata amani tofauti na mataifa mengine kabisa hata marekani hawezi vile
Mzee unawajuwa wajemi wewe
Iran utapigika akuna wa kukusaidia urus mwaka wa 3 huu anashidwa kuliza vita wanajeshi wake wengi wamekufa adi wanaomba msaada wa korea
Ipo siku nyote magaidi wa marekani na israeli mtazikwa kwenye udongo
Taifa la Israel lina bahati mbaya cha ajabu Manabii wengi walitokea kule lakini limekosa baraka angalia Hitler alivyowakaanga hadi huruma na sasa hivi wanakaangwa tena dah !?
Sema Irani anamakombola ya masafa marefu anakupiga akiwa kwake Sasa izrael mpaka apeleke ndege zake na akienda kichwakichwa hazirudi atalia sana
😂😂😂 wanaumwa hawa
Kwaoyo sahvi Israel ikiishambulia iran, ina kuwa ni dabble for zero, maana mpaka sahvi Israel anaongoza kwa moja bila
HAKUNA ISRAEL NI EUROPE NA DUNIA KARIBU YOTE ISRAEL PEKE YAKE
Iran wakipigwa Dunia itakua salama sana
Ujingawo
Huu wako ni udwanzi haufikiri ataa kidg ww kenge
Ww unafirwa ww......😂😂😂😂😂
Dunia haiwezi kuwa salama mpaka mashoga wamludie mungu kwaiyo islael ilisain ushoga na malekan kenge wewe
Kwenye kichwa chako umejaza mavi unafikiria mkunduni
Israel hamna kitu kwa Iran vita vikianza Israel na Hamasi utaona Marekani wanawahi mapema kupeleka Meli za kivita😂 juzi ameshambuliwa na Wahouth WaYemen mpaka marekani ameingilia kati kuwashambulia Wahouth humu kuna watu hawatumii hata akili Israel bila Mataifa ya Magharibi hawawezi kukaa pale Ghaza
Hii vita itaamua nani ni mwamba mashariki ya kati natamani marekani akae pembeni japo haitowekana maana Israel na marekani lao ni moja
Si wameshasogea Syria 🇸🇾 inawezekana tu. Waarabu wanauzana wao kwa wao
Kumbuka Iran sio waarabu na sio wasuni .Hawa Ni waajeni na ni mashia , wanaojitambua na wanamtambua adui na rafiki.
Anzeni
Mashoga kweli ni wasenge wajaribu tuone
Tangu 1999 netanyahu alisema nchi 7 lazima zisambaratishwe ili waweze kujitawala zaidi,
Baadhi ya nchi hizo ni misri, libya, syria, iraq iran pia. Baadhibya hizo nchi tayari zimeshaangushwa bado Iran tu ndo inatafutwa. Mwenyezimungu awape nguvu iran ili wawashinde hao mashetani waliojivisha ubinadamu wanaotaka kuharaibu dunia kwa maovu na ushoga. Laana iwe juu yao daima
Mungu wa Irani hana nguvu kupambana na Mungu wa Ibrahim, Issaka na Yakobo, Mungu wa Israel
Unapenda sana ishogaeeh 😂😂😂
@@FrancisThomas-jc8wq huyo mungu wako wa Anraha na yakobo sio kwa hao kwan sio wale wana Israel unaowajua ww hao unawajua ww alishatimuliwa huko wapo ethiopia na Africa baadh ya nchi kama bant kwa ujumla ss ww baki kuwaimbea hao wanaisrael feki hao ni mayahudi kwa jina wanaitwa Ashkinaz fanya research nyiee hamtaki kusoma historia mumebaki na kudanganywa hao kina Netanyahu wanamsubiria masihi wao kudi na sio yesu kristo.wa kwao nimwengine na wameshaanza kumwandalia kiti chake.ss ww nenda kafany research yako kwanza uje hapa.
@@FrancisThomas-jc8wqMungu wa waisrael sio huyo yesu wako ukae ukilijua Hilo 😂😂😂 ukiwatajia yesu Israel ni sawa na umewatajia zuchu Tanzania ni maarufu TU Wala sio lolote
Wewe Israel na Mwenzio Marekani muna zani kama IRAN 🇮🇷 ni sawa na wale vikalagosi vya Waarabu mlio wa zoea 😂😂
wasiseme wafanye tu kwani shido iko wapi pumbavu zao
Watu wanaosema eti Hamas wamewatoa jasho,hakika ni sawa na mbuzi asiyeamini hadi auawe🐷🐷🐷🙈
Kamilisheni ajenda yenu, lkn mpangaji ni mungu
ili ahadi ya mungu itimie bc hawa jamaa wajichanganye kwenye mbavu za IRAN😂😂😂😂😂 maana wanavyotamaniwa sio poa
Israel maliza hawa watu
Unajua, kuimaliza Israel ni kazi ndogo sana, kwanini, Israel ni nchi ndogo sana. Kikubwa ni sawa na Kigamboni
Sisi ndo tunataka.iwe hivyo.
jichanganye anga za muiran
israel ni hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii kuliko marekan ikianzisha vita lasim iran inapigwa iran vibaya
Wamoja hao
Tunasubir kuona bavar zinavyodetect makombora
Washakata tamaa wanafuta pa kufia
Israeli ni mashoga wamechinjwa Gaza vbya na Lebanon machoko hao askari wao wanavaa pumpus waingie Iran waone,
Mtapigana siyo kuipiga😅
Ameshapewa green light na baba yake America.
Trump always yupo against na Iran so anataka kuona inaishiwa nguvu kama Islamic state zingine. Let's us see this show!!!
Israel haina amani , wasijisifu. America ndiye anaewapa kichwa. Siku ikitengenezwa bom la kuangusha f35 ,Israel itakwisha ktk wiki moja
Viongozi wajinga ☝️☝️😭🐍
Huleta mauaji ya wAnanchi ambao hawana hatia
Ezlael 😭😭
Hawa vijana wanaongea ongea, Israel ni balaa na akipiga kishindo kinasikika popote duniani!
Mungu alisha waapia hivyo ( Israel means umeshindana na Mungu na Binadamu umeshinda).
Yetu macho kwa sababu Israel akitamka ameisha maliza mahesabu yake lakini msianze kulia lia eti akamatwe PM ashitakiwe 😂😂😂
Acha kula mashonde ndugu yangu yanaozesha akilii
Maneno ya mkosaji
Baada ya kupigana na wa Hauthi ukaishambulie Iran
Alaf ujue Iran imeshatia makubakiano na mrusi ngoja apewe Nuclear na ORESHNIK
Nuclear zipo pia izraeli na America tena nyingi usiombe Nuclear
Kama mnakumbukumbu kuna maneno netanyahu aliyaongea mara mbili [alirudia maneno] ili kuvuruga siasa za ndani ya Iran ila iran hakujib kakaa kimya had sasa *nataka tuangalie huu mchezo wap utaibulia
Mumeshindwa kukomboa mateka Kwa Hamasi mutamuweza muiran? Shenzy zenu mashoga tukutane uwanja wavita 😂😂😂😂😂😂
Iran ana makombora ya masafa marefu zaidi ya laki moja. Israel wahuthi tu watoto wa Iran wanawatoa jasho sembuse Iran watawaweza?
Hii vita ingepigwa tu Kila mtu amueshimu mwenzake hata siku mbili tu ingetosha bahana
Mtaimba taarabu hvyo hvyo ila kuweza HAMUWEZI 😅
Katumwa huyo na marekani aseme ila watu wako imara
Mwisho wa israeli sasa unatimia ktk maandiko marehemu akitaka kufariki nilazima atape tape atakae iangusha israel ni wauthi wa Yemeni nawala sio iran
Washamuondoa Urusi karibu na Iran kwenye Syria 🇸🇾
Na pia juzi wamejaribu bom lao la Neuclear pale Syria 🇸🇾
Hiii vita kubwa sana
Yaraby stara
waarabu wa mbagala polen , mnashabikia msichokijua, tangia lini israel akashindwa?
We fala sana, Lebanon kikundi kidogo tu ameshindwa sasa kwanini unatetea ujinga?
@@abdallahsepa9511Israel hajashindwa na Hezbollah Lebanon
Nenda na ufanyee research nani kapata causalities and damage za kutosha kutoka kwa mwenzie
We mkundu unawasha ww unatakiwa wakufire kwanza ww......😂😂😂😂😂😂
Kwanza awapate mateka Israel panyatu anapigwa na Yemen
😂😂😂😂😂 yoo-hoo hoho
Labda waache ushoga wafuasi wa ibilisi
Apo israel abamtisga nu iran ili asishambulie
Hadith za ulimwengu wa sasa