HUU UTAFUTAJI WA HELA WA MWIJAKU NI BALAA/ATAKA KUMLAMBA VIATU BOSS WA MAGALI YA TILISHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 17

  • @johnshirima6176
    @johnshirima6176 6 หลายเดือนก่อน

    John baltalome hongera sana mkuuuu

  • @DanielWilliam-xy4kv
    @DanielWilliam-xy4kv 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwel mwijaku kigoma hatuna bas za maana tunapanda bas za mizigo kwanza Wana dharau sana

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mwijaku daa😅

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 6 หลายเดือนก่อน

    Siyo site mirror bali ni side mirror

  • @marselsirlema681
    @marselsirlema681 6 หลายเดือนก่อน

    Site Mirrow ni nini?

  • @EdnaLugano
    @EdnaLugano 6 หลายเดือนก่อน

    Nyie ongeeni Mwijaku anaingiza hela .Hapo ndio nampenda DC palipo na maokoto hafanyi kosa

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 6 หลายเดือนก่อน

    CCM inaingiaje hapo 🤔🤔

  • @salehezimbwe6395
    @salehezimbwe6395 6 หลายเดือนก่อน +1

    side mirror sio site mirror

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 6 หลายเดือนก่อน

      Yaan hilo neno liavotamkwa ni aibu sana

  • @COMPASSIONMEDIA
    @COMPASSIONMEDIA 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kwanza mimi siwezi kuoa Kigoma. Huko hamna kitu.

  • @suleymanhemeyd6514
    @suleymanhemeyd6514 6 หลายเดือนก่อน

    Kigoma gari zipo bhana AIFOLA zilikuwa basi za wapi

  • @songombingo108
    @songombingo108 6 หลายเดือนก่อน +1

    CCM inaingiaje hapo. Fala wewe.

  • @alsam4881
    @alsam4881 6 หลายเดือนก่อน

    Njaa ni kitu kibaya sana yaani Mwijaku anakuwa chawa hadi kwa mmiliki wa ma-bus ya tilisho? Na pia kuna mabasi mazuri zaidi ya hayo tena ni luxury kwa mfano mabasi ya Shabiby ni mazuri sana.

    • @yasintajoseph7495
      @yasintajoseph7495 6 หลายเดือนก่อน

      Yaaaani unafananisha tilisho na shabby

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 6 หลายเดือนก่อน

      Wewe mwenzio anaingiza hela ni balozi. 😂😂😂

    • @ibrahimsaid133
      @ibrahimsaid133 6 หลายเดือนก่อน

      We nawe ujui kitu kuusu mabas uwez ukafananisha shabiby na tilisho labda kidogo useme maning nice