MAMA FATMA KARUME AMTEMBELEA RC MAKONDA ARUSHA, AONGOZA DUA NZITO KUMUOMBEA KHERI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @benedictogodfrey7712
    @benedictogodfrey7712 19 วันที่ผ่านมา +7

    Mwenyezi Mungu azidi kumlinda kiongozi huyu. Anafanya kazi vizuri sana

  • @JabeliMusa
    @JabeliMusa 19 วันที่ผ่านมา +7

    Mashallah Rc bahati ilioje Duanzito kweli iliyo

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 19 วันที่ผ่านมา +4

    Iko siku utatuambia makonda sala ya mjane kweli kweli inafika haraka Sana be blessed makonda raisi ajaye

  • @khamiskombo709
    @khamiskombo709 14 วันที่ผ่านมา

    Mama alhamdulilah uko vizuri sisi wabumbwini Allah katujaalia urathi wa Quran ningejuwa ningejuja mama.

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 14 วันที่ผ่านมา

    Mheshimiwa Makonda hongera Sana Umeombewa DUA kubwa! Mama Fatma amesema ONDOA wasiwasi Mpe Mungu Nafasi!( Biblia,Kitabu cha Ayubu 19:25 KWA jina la Yesu Kristo)

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 19 วันที่ผ่านมา +7

    Hakika makonda mungu yupamoja nawe iposiku utamiambia.

  • @Shekhahamed-v2f
    @Shekhahamed-v2f 18 วันที่ผ่านมา +3

    Allahuma Aminaa tuazako mama Fatma ziwemakubuli

  • @maicojilili
    @maicojilili 19 วันที่ผ่านมา +4

    Duuuuh Mungu aendelee kukubariki makonda na akulinde na maadui wote

  • @AshurakhamisRamadhani
    @AshurakhamisRamadhani 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nuru mh makonda unayo rais wa baadae bila kikwazo bila kizuizi Allah akusimamiye amini amini tunakupenda wengi mnooooo❤

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 19 วันที่ผ่านมา +2

    Ma Shaa Allah!
    Makonda amepata Qursi leo
    Kwa dua hiyo wabaya wote watu na majini hawatakupata kabisa

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 19 วันที่ผ่านมา +1

    MAKONDA MAKONDA MAKONDA unatisha sana🇴🇲🇹🇿🔥💪

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 19 วันที่ผ่านมา +4

    Pia namwomba Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala amjaalie kuingia katika Dini ya Kiislamu, Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin.

  • @ramadhanmkandas5733
    @ramadhanmkandas5733 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu akupandishe daraja lililo la juu kabisa kwa rehma zake na uwezo wake, mkuu wetu Makonda

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 19 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani Mh Makonda utafika mbali snaaaa aaaa c kwa hizi DUA.. Sijawahi kuona kiongozi anaombewa kama wewe na Baraka kila siku..... MUNGU akutunze. 🙏🙏

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 19 วันที่ผ่านมา +2

    What a blessing prayers❤

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 18 วันที่ผ่านมา

    Alhuhuma amini yarbi mungu ameweke baba atu huyo❤

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 วันที่ผ่านมา +2

    Dua kubwa sana Makonda Anastahili tumuombee sana kupata kiongozi mzuri kama huyu ni duniani ni wachache sana kila mtu anampenda

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 19 วันที่ผ่านมา +1

    From 🇧🇮 mashaallah

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 19 วันที่ผ่านมา +3

    Mashaallah, Makonda akiw raisi itakua raha sana

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 19 วันที่ผ่านมา

      Ndoto yako itageuka kuwa jinamizi la nchi hii siku moja.

  • @Abdulmateleka
    @Abdulmateleka 19 วันที่ผ่านมา

    Maombi ya mama na dua yana pasua mbingu kwa haraka sana na mungu anapokea kwa haraka amini

  • @HalimaJuma-j8l
    @HalimaJuma-j8l 19 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤ ameeeen yaraby

  • @DanielMagonya-fv9eg
    @DanielMagonya-fv9eg 19 วันที่ผ่านมา

    Mungu akutangulie kiongoziii

  • @HidaHilidaa
    @HidaHilidaa 18 วันที่ผ่านมา

    Mtu wa watu mungu amlinde

  • @MdaluLipanda
    @MdaluLipanda 19 วันที่ผ่านมา

    makonda ndani ya moyo wako una roho mtakatifu mungu akuweke

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amiin Amiin Amiin inshaallah

  • @renatusblandes1131
    @renatusblandes1131 19 วันที่ผ่านมา

    Tunamgoja na Maria Nyerere ❤

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 19 วันที่ผ่านมา +3

    Hapo mkuu lazima wakuonee wivu lazima kabisa ila Mimi nakuomba sana

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 19 วันที่ผ่านมา +1

    Asante mungu

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi 19 วันที่ผ่านมา +1

    Amin,

  • @yusuphmwanza507
    @yusuphmwanza507 18 วันที่ผ่านมา +1

    Haina ubabaifu makonda ni miongoni mwa viongozi wanaojaribu kuutendea haki uongozi wake

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 18 วันที่ผ่านมา

    Alhamdullah

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 19 วันที่ผ่านมา

    Amina amina amiin

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 19 วันที่ผ่านมา

    Alhamdulillah 🤲

  • @SaidMwendabwillah-v3z
    @SaidMwendabwillah-v3z 19 วันที่ผ่านมา

    Blessed

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 19 วันที่ผ่านมา

    Raisi.mtarajiwa makonda

  • @HamduMasud-xw6qc
    @HamduMasud-xw6qc 17 วันที่ผ่านมา

    Makonda mtu wa watu wageni hawakosekani kila siku tena wanyadhifa mbalimbali na marika yote

  • @maharagendondo
    @maharagendondo 12 วันที่ผ่านมา

    MAKONDA, NAKUAPIA KWA MUNGU UTATUONGONZA SS WATANZANIA, TU MKUU WA MKOA GANI ALIEBATIKA KUTEMBELEWA NA WAKE WAHASISI, WA NCHI, BI, FATUMA DUA KALI KAMA HILO MAMA, NYENYENYE KAKUKADHI KIFIMBO WATAKA NN HIYO YOTE JUHUDI ZAKO WANAZIONA, UNAVYONGOZA, NAKUTAKIA KILA LA HERI SAFARI YAKO YA MAISHA NA UNGONZI

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 19 วันที่ผ่านมา

    Amiina

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf 19 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

  • @hopemungure9263
    @hopemungure9263 19 วันที่ผ่านมา +2

    Jiji la maombi

  • @BahatiLewis
    @BahatiLewis 19 วันที่ผ่านมา +2

    Mataper wa nchi hawa

    • @MaedaMm
      @MaedaMm 19 วันที่ผ่านมา

      Matapeli gwa nyoko

    • @samwa9496
      @samwa9496 19 วันที่ผ่านมา

      Ndio ninyi wazazi wanaongea wewe umetoa mimacho kusikiliza umbea @@MaedaMm

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 19 วันที่ผ่านมา +2

      Wivu unao, unatamani ingekuwa wewe lkn bahat mbaya wewe hujulikan

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola 19 วันที่ผ่านมา

      Ww kichwa box kabisa

    • @molenicharles9107
      @molenicharles9107 19 วันที่ผ่านมา

      Kama mamako alivyo tapeli

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 19 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏👍

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 19 วันที่ผ่านมา

    Ccm ni walewale

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 19 วันที่ผ่านมา +1

    Haijawahi kutokea