MZIWANDA ABANWA KWA HOJA NZITO KISA CHA ANJASHA/SHUHUDIA MAKOSA YAKE KATIKA USOMAJI NA KUNUKUU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2023
  • MZIWANDA ABANWA KWA HOJA NZITO KISA CHA ANJASHA/SHUHUDIA MAKOSA YAKE KATIKA USOMAJI NA KUNUKUU
    #religion #islam #alhilaalynet #manhajsalaf #alhilaalymedia #salafi

ความคิดเห็น • 58

  • @ibnulhassani3045
    @ibnulhassani3045 7 หลายเดือนก่อน +4

    Baaraka llaahu fiyka wajazaaka llaahu khayraa yaa abaal Khawlah Mbwana 'Abdi

  • @burhanikatimba-pi5hx
    @burhanikatimba-pi5hx 6 หลายเดือนก่อน

    allahumma baarik allah amuhifadhi aboo khawalah

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 7 หลายเดือนก่อน +3

    Wallahi masufi ni mtihani Mkubwa alio tutahini ALLAH katika umma huu
    yani masufi Hadithi izo Maswahaba ndio walio zipokea lkn wasicheze na kupiga ngoma aje acheze sufi flani kwa kutegemea hizo Hadithi Karne na Karne kupita
    Kanakwamba wao wanajua sana na kuzifahamu zaindi kushinda Maswahaba

  • @jafarbalagha441
    @jafarbalagha441 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wallah usalafi Raha elimi tu mashaAllah Allah akupe nguvu Abu khaulah uwavunje Hawa mahizby

    • @jafarbalagha441
      @jafarbalagha441 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mziwanda amejiinua Allah anamporomosha Allahul mustaan

    • @ramadhanyusuf2401
      @ramadhanyusuf2401 6 หลายเดือนก่อน

      Raha sana

  • @abuuuyaynah8801
    @abuuuyaynah8801 7 หลายเดือนก่อน +4

    Na kwenye hili bwana mziwanda umechucha mtume huyo unmu sulaymu ulimuozaweee

  • @Abuuabdillah259
    @Abuuabdillah259 7 หลายเดือนก่อน +1

    Pole mziwanda elimu ndogo ni uzia

  • @mjaaliakhalfan9030
    @mjaaliakhalfan9030 7 หลายเดือนก่อน +1

    حفظك الله ياشيخ وزادك الله العلم والفهم وجزاك الله الجنة الفردوس الأعى 🤲⁦❤️⁩⁦❤️⁩🤲🤲🤲

  • @kylesmeight4837
    @kylesmeight4837 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kun masheikh wanatumia hadith wanavotak wao dah

  • @abuuhudhaifa5134
    @abuuhudhaifa5134 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaume wanajibu popote walipo muda wakua walengwa Tana wafikia, halafu huyu mziwanda kipindi kile anawaraddi mashia kwanini hakuwafwata wala haja toa namba ili wamtafute!! ukileta porojo mtandaoni watu wanakujibu hukohuko

  • @user-lr2rs8fw4z
    @user-lr2rs8fw4z 6 หลายเดือนก่อน

    Allah akulipe shkehe wetu Abu khaula Kwan mtu wa bidaa hata hasome vp anakuwa Hana elimu na hapa labda awadanganye mazuzu wezake

  • @omaryabduli7328
    @omaryabduli7328 7 หลายเดือนก่อน +3

    😂mziwanda umeyatimba
    عالم العلام
    Allah atuongoze

    • @jafarbalagha441
      @jafarbalagha441 7 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂 eti ummu suleim na kitabu raf ul maram😂😂😂

    • @omaryabduli7328
      @omaryabduli7328 7 หลายเดือนก่อน

      @@jafarbalagha441 kisha wanajifanya wanajua lugha...

  • @swalehabdulrahman4118
    @swalehabdulrahman4118 7 หลายเดือนก่อน +1

    SHEKH MZIWANDA JESHI LA MTU MMOJA ,WAACHE WARUKERUKE TUU ILA WAKIINGIA TU TUNAO

  • @abulfuluss8739
    @abulfuluss8739 7 หลายเดือนก่อน +5

    Eeh ndugu yetu mwenye hii channel kama zipo nyengine lete tunapata raha kwelikweli nyoyoni mwetu kwanza huyu Mziwanda hana adabu kabisa lete tufaidike na jazaa yako anayo ALLAH

    • @user-ev7if4vy3y
      @user-ev7if4vy3y 7 หลายเดือนก่อน

      Mabendera mpo wengi mkuambiwa ukweli mnasema watu wanadharau😂😂😂

    • @abulfuluss8739
      @abulfuluss8739 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@user-ev7if4vy3yAkhii wallahi sio ubendera wacha ushabiki sikiliza kwa makini utauona ukweli halisi yaani muombe au tumuombe ALLAH ataonyeshe Hakki na ndio hii sasa

    • @binaamour318
      @binaamour318 7 หลายเดือนก่อน

      Hiyo haki anaijuwa huyu mbwana peke yke au wanaojuta masalafi na mashabik zao anaraddi kitu ambacho kipo yn Hadith ipo kwa ufahamu wke mbwana na mziwanda kashatoa wa kwake Kama w mbwana n sh mkubwa mpigie namba kakupa au unatafuta umaaruf kutoka kwake?

    • @abulfuluss8739
      @abulfuluss8739 7 หลายเดือนก่อน

      @@binaamour318 masalafi hawana haja na umaarufu hata kidogo Allah awalipe kila la kheri na kulingana na ufahamu ni upi sahihi na sio ufahamu tu ni upi sahihi walio uelewa wanafunzi wa Mtume au ?na ndicho anacho sisitizia kama unasikiliza bila ushabiki ndugu toa ushabiki sikiliza kwa Akili utapata picha naam والله اعلم

  • @user-dj1os5ib8x
    @user-dj1os5ib8x 7 หลายเดือนก่อน +2

    December ya mwaka huu umeamua kuleta radd ya masufi wote ulikua unawasikiliza tu kumbe

  • @IbrahMiracle-em4sh
    @IbrahMiracle-em4sh 6 หลายเดือนก่อน

    Ila mashallah wapo watu wanaelewa tena wengi tu ila kuna mashabiki wasikia kabisa uongo na pumba za mashekhe zao ila wang'aninia tu yan kweli masufi ni wapumbvu

  • @nasibuathmani7015
    @nasibuathmani7015 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa mashee wa kisuf wanakuaga na bahat ya kua maarufu lakin sio watu wa ilm, mziwanda namna alivo kihadithia kisa hiko, unaona kwenye ilm ya dini yuko shalo/mchanga, suala ni aqida mbovu

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 7 หลายเดือนก่อน +1

    hapo sasa umemradi nini sasa upuuzi mtupu kwahiyo kisa useme wewe wakisema wengine wamekosea mbona mziwanda kasema alikua ni mtu wa mashairi

  • @user-bu4du5kn2k
    @user-bu4du5kn2k 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu shekh ana hoja za mfukoni mwake tu asa ww ulicho kikosia nikipi hawa Mawahabi sijui wako je nyinyi semeni ukweli tu kuwa mnachuki na mtume

  • @user-wl3qj2fx8u
    @user-wl3qj2fx8u 5 หลายเดือนก่อน

    MIMI SIJAELEWA HAPO HUYU MTU ANAPINGA NI KWA MZIWANDA?

  • @tanzaniaonmzamiloon8627
    @tanzaniaonmzamiloon8627 7 หลายเดือนก่อน +2

    Umepewa namba bado unabwabwaja eti amebwanwa chukua namba kisha kamumbane tujuwe kweli umembana

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww acha ujing wajua kubwa waj ww acha dw ziwaingie kungun nyie

    • @tanzaniaonmzamiloon8627
      @tanzaniaonmzamiloon8627 7 หลายเดือนก่อน

      @@mohamedswaleh6778 kawaida yenu kutukana amtafute wazungumze hoja Kwa hoja tujue nani ni nani na nani kabanwa

    • @abuuuyaynah8801
      @abuuuyaynah8801 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hawa jamaa ni sumu Kwa umma wa kiislamu usfi ni sumu yenye kuwa dawa yake elimu

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 7 หลายเดือนก่อน

      @@abuuuyaynah8801 kasome acha ujinga sumu kwa Nani lbd kwako n hao wenzio wanye kufanya mambo kw ufahamu wao mbov mwatak kulazimxh maulid yafae mtakufa n dalili amtapata

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mziwanda Amebanwa kweli, maana kwa mashia ilikuwa anatafuta kuna mpya gani aingie ulingoni kujibu, HAKUTOA NAMBA ATAFUTWE, 😂

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u 7 หลายเดือนก่อน +1

    NAKUKUMBUSHA HAKIKISHA UNAPOKOSOA KOSOA PALIPOKOSEWA USIJE UKAKOSOA PASIPOKOSEWA

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 7 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa kufatilia

    • @abuutamiimattanzaaniy8676
      @abuutamiimattanzaaniy8676 7 หลายเดือนก่อน +2

      inamana maongezi yote hayo hujaelewa Mziwanda kakosolewa wapi!!

    • @jumabalozi
      @jumabalozi 7 หลายเดือนก่อน

      Ikhwa acha ushabiki sikiliza kwa kujifunza mbona mazungumzo yapo wazi

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mziwanda funguua tuu mlango wa miziki na kucheza kwa Tafsiri mbovu inayozingatia mallengo yako na ummah huu wa Kiislam

  • @AndulHida-hs5py
    @AndulHida-hs5py 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa mbonahuomekani laive vip shekhe? We angalia iyo hoja yako isije ikawa ya kwanza wasiyowaislam wakatumia kubomoa uislam? Jiangalie sana kama kweli wewe unaunga kizazi bsi fanya haraka usiwauzi waislam please.

    • @kylesmeight4837
      @kylesmeight4837 7 หลายเดือนก่อน

      Mcmamo wao pcha hazfai

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 หลายเดือนก่อน

      Dawa ni kuwaudhi tu maana mkisema watu ndio Sawa mkisemwa mwatukanwa, hakuna uislam huo

    • @abdallahjuma4397
      @abdallahjuma4397 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kwasababu sio Masheikh wa Kutafuta followers mitandaon Kam Mziwanda. Sheikh wa kisufi katandikwa taaratibu bila Jazba mpka anatoa namba ataftwe inbox 📥 anaona anaaibika Halali ipo wazi Haram ipo wazi..Allah muongoze Sufi huyu

    • @ibnayub2374
      @ibnayub2374 7 หลายเดือนก่อน

      @@abdallahjuma4397 umesema kweli kaka hawahitaji umaarufu mtandaoni, na hii ndio siku moja jamaa alisafair kutoka dar kuja kumuona Ustadh Abu raslan, wamekaa wanaongea nae mpaka akaondoka hajui mwisho anauliza watu namtafuta sheikh wa hapa akaambiwa yule uliye kua unaongea nae ndio mwenyewe jamaa hakuamin, ikabid Asubuh mpaka magharibi kwenye muhadhara ndio akasikia saut yake kwa ukaribu, haamini alidhani ni mtu gan sijui
      Hakuwah kumuona lakn kwakua Allah kakadiria afahamike watu wanamfahamu hvyo hvyo, MASHEIKH HAWAHITAJ UMAARUFU MTANDAONI CHUKUA POINT..

  • @swalehseifmuhammed8289
    @swalehseifmuhammed8289 7 หลายเดือนก่อน +2

    Tatizo laawahabi nyie ni mwa mwehu maana hamuna inyie muna piga bidaa ila nyinyi ndio wingi wa bidaaa

  • @user-ev7if4vy3y
    @user-ev7if4vy3y 7 หลายเดือนก่อน

    Huku ni mmoja ya kundi la bachu bachu katulizwa kaibuka yeye hawa maisha yao wanayapeleka kwa kiki bila kumsema mtu hawawez kuishi kwa aman sasa kma kweli yeye ni rijali namba kapewa fujo za nin mitandaon au njoo me nikupelek kwake kabsa mkaongee nae shekh mziwanda

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc 6 หลายเดือนก่อน

      Ndugu shekhe mziwanda kazungumz mtandaon na sis wanafunz tumemsikia lkn ubinaadamu umempitia kakosea ilim,bid arudud mtandaoni arekebishe hii ndo hakk lkn amekaa kimyaa na yeye anawaradd saana masalaf je yeye watamuacha, tuache ushabik muumin ni MTU aliyepotelewa na hekma aichukue atakapoiyona

    • @user-ev7if4vy3y
      @user-ev7if4vy3y 6 หลายเดือนก่อน

      @@MohammadJumah-qk2xcakitak aende au uitwe munaaqasha kama wa bachu na said watu walipuane

  • @user-qi8ln1qf7h
    @user-qi8ln1qf7h 6 หลายเดือนก่อน

    Tatizo.masafi.wanaukafiri.ndani.ya.nyoyo

  • @user-ox4fv4cf5l
    @user-ox4fv4cf5l 7 หลายเดือนก่อน

    Mziwanda usiendeshe dini Kwa masilahi yako

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 7 หลายเดือนก่อน +1

    nyie ni mayahudi mnachuki au ni mawakla wa mayahudi

    • @MohammadJumah-qk2xc
      @MohammadJumah-qk2xc 6 หลายเดือนก่อน

      Doooo Kwa Mim namuomba allaah sw asiujaalie mkono wangu kuandika ima mdomo wangu kusema jamboo la kumtoa ndugu yangu ktk din Kwa kumuita yahud ambae nu kafiri, bas nawe ndug tuyaeuke haya majambo tutahitajika Kesho tutor ushahid

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 6 หลายเดือนก่อน

    Sasa Wewe Unabwekea wapi na umepewa no utoke kibandani njoo utahiriwe na Mwanamme Mziwanda Udhalilike Ulimwengu mzima wacha kubwekea mafichoni jitoe Man-2-man ja sabas Alkubra na Bachu ,sahii Bachu Ajikaza2 bt Aibu ile Alikula mbwembwe ziliisha Sabas Alimpiga 100%✓ nill tena kenya Ustadh Saidi ndio usisemee Aibu tupu nawe naona umepewa no bado hujiamini basi kaa kimia kama hujiamini ,kishaa mm hata huniwezi niko Kenya Nairobi town wewe Wahabi wewe ?? ole wako ukanyage Kenya !!!!

    • @user-qi8ln1qf7h
      @user-qi8ln1qf7h 6 หลายเดือนก่อน

      Tatizo.masalafi.wanaukafiri

    • @user-qi8ln1qf7h
      @user-qi8ln1qf7h 6 หลายเดือนก่อน

      Ni.mayahudi.wa.kiafrika.washenzi.tu