Ali Jussa acha kufata ukafiri wa kisalafi ndugu yangu, makafiri wa kisalafi huwa wanasema hivyo wanapokufa waislam wanaotofautiana nao mitazamo kwenye dini, wakiamini muislam asiyekuwa salafi ni kafiri kama makafiri wengine... tambua kumuweka muislam mwenzio kwenye ukafiri ilhali anatamka shahada wewe ndiye unayekuwa kafiri, kwa huyo kaka achana na huo mtazamo, huo ni ukafiri kaka... fanya istighfari kwa Mola wako, Mtume hajatufundisha hivyo.

INNA LILLAH WAINAA ILAYHI RAJIUN
Mungu ampe kila kheri shehe wetu ktk safari ,mungu amutilie nuru kaburi lake. Naafanyie wepesi hesabu yake.
Mwenyezi MUNGU amsamehe madhambi yakee,ampunguzie adhabu za kaburi na ajaalie Jannatul Firdaus iwe makazi yakee BIIDHINILLAH 🤲🤲🤲
Innalilah Wainna Ilaih rajiun,,Mola alijalie kabur lake miongon mwa mabustan ya pepo Inshallah
INA LILAH WAINA ILAIH raajiuna chuma komeondoka
Allah amsameh ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia
Inalilah wainailah rajihun Inauma sana ila Allah kampenda zaidi .
THUMMA AMIN 🤲🏼
Inalilahi wainaa ilaihi rajiuughuni naona sheikh wa bidaah kaondoka na bidah zake
😢😢 ALLAH AMREHEMU 😢😢
Allah amrehemu labda safari hii inshallah tutafunga na kufungua pamoja inshallah
Ndio upumbavu wa masalafi na wahabi uchwara mnavyojidanganya
Akili hamna hii ngo'mbe salafi
Yeye marehem ndio akikuwa sababu ya kuto kufunga pamoja na kufunguwa pamoja
Weleo baaa
Mungu msamehe alipo kosea ampe kauli thabiti inshaalla
Saaana baba 😭😭😭😭😭
Allahuma ameen
Inshaallah kheyr Allah atujaalie tufunge pamoja kwani moingaji ameshaondoka
Labda kama umeanza kufunga juzi... jambo hili limekuwepohata kabla Muhammad Iddi hajajulikana kwenye mji huu/Tanzania. unamchukia hadi marehemu!
Innalilahi wa innailayhi rajiun
الحمد لله الذي أرح قلوب أهل السنة بموته
الحمد لله
Inna Lillah wa'inna ilayh raajiuun
Innalillahi wa Inna ilayhi rajiuun
Innalilah wainna irah rojuun
😢😢😢
Innalilah Wainnalilah Rajun
Innalillah wainna ilayh rajiun
Allah ampe kauli thabit
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiun
Amiin
Mungu amlipe anacho stahili😢 na awape subra wafiwa wote
Anaye faa kuambiwa hayo maneno ni mkristo sy muislam ulitakiwa kusema inalilah waina ilayhi rajighuun au ht mungu amraham bc
Kwanini umemuombea hivyo anachostahili
Duh imekua hivyo tena duh
Ali Jussa acha kufata ukafiri wa kisalafi ndugu yangu, makafiri wa kisalafi huwa wanasema hivyo wanapokufa waislam wanaotofautiana nao mitazamo kwenye dini, wakiamini muislam asiyekuwa salafi ni kafiri kama makafiri wengine... tambua kumuweka muislam mwenzio kwenye ukafiri ilhali anatamka shahada wewe ndiye unayekuwa kafiri, kwa huyo kaka achana na huo mtazamo, huo ni ukafiri kaka... fanya istighfari kwa Mola wako, Mtume hajatufundisha hivyo.
Msamehe
Imeondoka bid'aa
SubhanaAllah
Allah akuongoze ndugu Kwa Yale unayo yazungumza
Mungu akulipe inshallah
Hii ni safar ya wote leo jion mjanja sawa
Mauti ya kungoja utajua uko yeye na wewe ipi ni bidaa
ULIWAHI KUNTUKANA
Kwahiyo
Msamehe Allah nawe akusamehe
Mungu amsameh hakuna mkamilifu ispokua yeye tu
Nikwer kabisa kashawai kumtukana na mwenzake kajishusha kamuomba msamaha mwenzake anaijua dini kamuona mpumbavu katukanwa na msamaha kamuomba
Ali Jussa acha kufata ukafiri wa kisalafi ndugu yangu, makafiri wa kisalafi huwa wanasema hivyo wanapokufa waislam wanaotofautiana nao mitazamo kwenye dini, wakiamini muislam asiyekuwa salafi ni kafiri kama makafiri wengine... tambua kumuweka muislam mwenzio kwenye ukafiri ilhali anatamka shahada wewe ndiye unayekuwa kafiri, kwa huyo kaka achana na huo mtazamo, huo ni ukafiri kaka... fanya istighfari kwa Mola wako, Mtume hajatufundisha hivyo.
Rudi Darasan
Amiin
Innalillah wainna illayhi rajiuun