Inna lillayh wainna illeyh raji'un May Allah grant you the highest Jannah Forgive our wrongdoings We are not allowed allowed to judge our fellows rather when you humiliate others your sins become greatest than what the you're humiliating others for May Allah forgive you too
huyu anaezungumza lau nipo karibu yake kwa hasira zang zilivyo nyingi mfano wa omar bin khatwab ningehalalisha kicwa chake,, ya rabbi nakushukur huyu mbwekaj kubwekea hukohuko alipojifungia, maana kama mwanaume kweli ashike spika mtaani atangaze hivyo anavyodai
Subiri na ww ufe halafu ukute yale uliyoyatanguliza Mungu hajayaridhia. Halafu ww ni mnafiq huku unafurahi kifo chake halafu unajitia kumuombea Maghfira. Any way maisha ya duniani ni mapito tu sote tutakutana kwa Mungu atuhesabie hy tunayoyafanya
Innalilahi wainnailaihirajiun. Nyinyi kweli mmejitenga mbali na dini sijuwi niwaite vipi maana hatakuwaita salafi haifai makafiri pia haifai waislam ndiokabisaa hammo
Mtume alisikitika hata kwa kifo cha Yahudi, Maswahaba wakamuuliza kwanini unasikitika na yeye si katika sisi, Mtume akasema lakini na yeye ni katika umma wangu. Nahuzunika kumuona amekufa bila kuniamini anaenda motoni. Iweje leo Muislamu afurahie kifo cha Muislamu mwenzake, eti kwa sababu tu ni wa madhehebu tofauti na yeye?
Sasa Ndugu Yangu unafurahi Kufa Muislam mwenzako Kisa Tu Umetofautiana na Na Kuyatangaza Maovu yake vp kwa kafiri Akifa,SUBHANA ALLAH tunakwenda Wapi Waislamu
TUKISEMA MASALAFI NI MAKAFIRI KUNA WATU WANAWATETEA, NA HAPA WAMEUDHIHIRISHAUKAFIRI WANAOUFICHA, NA HUU NDIYO UKAFIRI WAO!! WANADAI WANAFATA SUNNAH, HIVI HII NDIYO SUNNA YA MTUME (S.A.W)?!
Inna Lillahi wa Inna Ilaiyhi ra jiun. Waislamu ndipo tulipo fikia huko!!". Namna hii hata wasiokuwa Waislamu wanatutoa maana. Na kuzidi wao kuuchukia Uislamu. Astaghafirullahi
Bila ya shaka hili la kufa kwa shekhe makafiri wengi na maadui WA uislamu ndo linaweza kuwa jambo la furaha kwao na umma wakiislamu hauwezi kuwa na furaha kwa kuondokewa na kiongozi wao ....kwa sababu uhalisia wake ni huzuni bila ya shaka mwenye kulifurahikia ni kafiri tuu ambaye ukafiri wake ulijifichia kwenye unaafiq huo ndo ukweli...
Wapeni udhuru hao wanao Leta maneno ya kashfa si kila salafi anafanya mambo ya jahiliyyah kama huyo NI baadhi Tu ya wajinga katika wale wanao jipamba na Sunna na hali yakuwa kauli zao mbaya chafu Allahu mustaghaan mtihani Sana huyu ndugu Hana adabu
Huyu mzungumzaji ALLAH amlipe kulingana na aliyoyafanya na kutuongezea maumivu sisi watanzania na huyu mzungumzaji hata Hadith za mtume amezipinga kwa maaana mtume asema watajeni kwa wema maiti zenu,kisha ajifanya ampenda saaana mtume kumbe hamna kitu,ALLAH atunusuru na kirusi hivi
Yani mtu kama huyu unampa mwanao akakusomeshee Angalieni na watu wakuwapa watoto zenu wengine awafundishi dini wanafundisha tabia zao waliozaliwa nazo kutoka kwa mama zao
Masalafi wapuuzi sana halaf wanajiita wao ndio wamesoma lakin leo nimepata kujua kua shekh alikua anafanya hawalal kwa doz walio kua wanapewa ety arafa ni moja dunia nzima😂 mola akulipe kher shekh letu Mohammed idd
Duh umedhihiri udhaifu wa salafi , at tunapumua kwasabb ameondoka alie kua akitoa fatwa ya mwezi , Ukimfatilia sheikh m iddy alikua hazungumzi maneno yke bali alikua na vitabu vya salafi kisha anatoa hoja ndani yke, bila shaka salafi ndio wa kutiliwa mashaka
Kwakauli hizi ambazo hazina hekma, ikhlaswi, tawadhui, namuomba Allah umfuate Abuu iddiy mda siyomrefu na wew uonje ladha ya umauti, Hawa ndo wanaouchafua wislam, kwani wew umefaulu kwa kujiita salafi, kumbe masalafi ni walokole waliyo kwenye wislamu, Kwanzia Leo masalafi kwangu nisawa na walokole tu.
Kubali au ukatae, huyu ni sheikh mkubwa wengi wanamkubali, hata kama tuna tofauti zetu upande wa dini, si sawa kwa majibu hayo kwa sababu Mauti itaonja kla mtu, hata kama humkubali basi heshima kidogo japo hata kwa familia
Innalillah wainna ilayhi rajiun. SIO JAMBO JEMA kuweka video kama hii unachangia kueneza Fitna. Nikama una promote kauli zinazo bomoa zaidi ya kujenga Umma
@@adamndilanna1562ni kweli masalafi wengi Uislam wao una mashaka kwa sababu hata walioleta usalafi inaonekana wana ajenda za siri lengo ni kuwavuruga waislam, na haya huwa yanadhihirika kwenye matukio kama haya, hata waislam wa wapalestina wakati wanauwawa na mayahudi kwenye vita ya juzi huko Gaza masafi walifurahi huku wakitoa jumbe za sauti kuipongeza Israel kwa unyama wanaoufanya dhidi ya waislam wa Palestina, tena mmoja aliyetoa jumbe hizo ni salafi Kasimu Mafuta wa Tanga akisema sawa sawa wale kuuwawa kwa sababu siyo masalafi ni watu bidaa ilhali anasema maneno hayo bila ya kuzingatia bomu linapotua halichagui wa kumuua nani ni salafi au siyo salafi?!! Hakika huu ni msiba kwa umma, leo jamii ya kiislam inaangamia kwa kutofundishwa Uislam halisi na kupachikiwa mafundisho ya chuki ambayo hayapo kabisa kwenye Qur'an wala sunnah ya Mtume (S.A.W).
Huyo sio salafiyya asitusemee huyo niadui wa masalafi sisi tunasema alkamalu lillah Na sisi tuna chaneli zetu hio sio chanel ya salafi subirini chaneli zetu.samahanini sana
wazushi wapo tele ila mashehe wetu munapenda sana sana mchuzi mwekundu unakuta shehe kaenda kweny mambo ya kijinga anaambiwa lete dua basi ile dua inakuwa ya ubwa ubwa tu, tumuogope mungu usimuope kiumbe mwenzako.
ALHAMDULILLAH QIYAAMAHA KIPO, WATASIMAMA MBELE YA ALLAH JUU YA QAULI ZAO HIZI.
Allah ampeleke pema sheikh wetu ampe Pepo ya firdaws
Alikuwa haogopi haqi
Mche Allah kwa maneno yako utajuta kwa maneno yako
Chunga unlimited wako
Huyo kanywa kidg mvumilieni nae atakufa Tu
Wew kijana..Allah atakupa la kukupa ww..subhana llaaah..
IN NAA LILLAAHI WA IN NAA ILAYHI RAAJI'UUN 😢😢😢
DUH HATARI KUBWA KWELI KWELI!
AJABU KUTAMKA MANENO KWENYEWE HAWEZI
Na Hadith ya Mtume (S.A.W) , Usimseme Vibaya Marehem, Unaonekana Huna ilmu na Umekosa Hikma na Adabu, Allah akuongoze uje Kujutia Maneno yako,.
Shida kweli kasome
@@suleimankisuda7503akasome nini!? unataka kutetea ujinga!?
Innaalillah wallah dah!!!!! Hizi ndio Sunna... kweli uislamu ungekua kama hivi kweli watu wangeukubali na kutufikia cc leo???? Dah
Ndo ujue ndugu yangu kua hawa watu wanajiona wao ni wakamilifu kuliko yeyote yule
@@AhmadSalim-dm4uk mtihan wallah....Allah atustiri
Hawa watu funguo za peponi wanazo wao. Astaghafirullah
Sio uislam huo wachakujitakasa wewe
Innalillah wanna ilaihi rajiuni
La ilaaha illa Allah, hata Rasul hakuwa akifurahi kuona ami yake na babu yake waliokuwa hawakusilimu.
Subhana Allah ww mjinga sanaa mbwa ww mzushi ni ww na mama mbwa wewe
Hii sio sawa umekosea kumsema mwenzako aliefariki namna hio
Na maneno haya ametoa kama labda yey ashaingia peponi moja kwa moja
Inna lillayh wainna illeyh raji'un
May Allah grant you the highest Jannah
Forgive our wrongdoings
We are not allowed allowed to judge our fellows rather when you humiliate others your sins become greatest than what the you're humiliating others for
May Allah forgive you too
KWAKWELI MMEPOTOKA SANA MNAOJIONA WALOKOLE WA KIISLAMU
Kwa maneno hayo moja kwa moja tumeamini kichwani kwako kuna nyaya flani zimeshakatika hivo hatuhangaiki na wewe pole kwa maradhi
Kiukweli umenikera sana kumzarau shehe Abu idi sisi tunamuomba mungu amlaze mahali pema peponi
Daaah asee,
Allah gani unaemuongelea ww sheikh!!!
huyu anaezungumza lau nipo karibu yake kwa hasira zang zilivyo nyingi mfano wa omar bin khatwab ningehalalisha kicwa chake,, ya rabbi nakushukur huyu mbwekaj kubwekea hukohuko alipojifungia, maana kama mwanaume kweli ashike spika mtaani atangaze hivyo anavyodai
Yaan dah mm kama mimi
Aseee
Natamani sana nimfurumishe
Hii sio aqida ya ahlu sunnah waljamaaa
Subiri na ww ufe halafu ukute yale uliyoyatanguliza Mungu hajayaridhia. Halafu ww ni mnafiq huku unafurahi kifo chake halafu unajitia kumuombea Maghfira. Any way maisha ya duniani ni mapito tu sote tutakutana kwa Mungu atuhesabie hy tunayoyafanya
Huwezi sikua wakishikuru akifa kafiri
Allah amsamehe madhambi yake na amlipo malipo mema
Sishangai,,mtume kasema ,,akhir zamani,,watu watasoma dini,,,lakini si kwaajili ya MUNGU na mtume
sisi sote ni wa mungu na kwake tutarejea 😢😢
Ww mzunguzaji nmwanaharamu hebu mulize mamako babako wakwel ninan
Nimemsikiliza vizuri huyu amemtodofu mwisho amekiri kuwa alikuwa sheikh na amemuombea maghfira mh
Innalilahi wainnailaihirajiun.
Nyinyi kweli mmejitenga mbali na dini sijuwi niwaite vipi maana hatakuwaita salafi haifai makafiri pia haifai waislam ndiokabisaa hammo
Subhaanallah Hivi Wewe Una Uhakika gani wa Kuingia Peponi ??
kweli dini itarudi ngeni
Mtume alisikitika hata kwa kifo cha Yahudi, Maswahaba wakamuuliza kwanini unasikitika na yeye si katika sisi, Mtume akasema lakini na yeye ni katika umma wangu. Nahuzunika kumuona amekufa bila kuniamini anaenda motoni.
Iweje leo Muislamu afurahie kifo cha Muislamu mwenzake, eti kwa sababu tu ni wa madhehebu tofauti na yeye?
Sasa Ndugu Yangu unafurahi Kufa Muislam mwenzako Kisa Tu Umetofautiana na Na Kuyatangaza Maovu yake vp kwa kafiri Akifa,SUBHANA ALLAH tunakwenda Wapi Waislamu
HAWA SI NDIO WANAOJIONA WALOKOLE WA KIISLAMU!
Duh...aibu kwa waislam jamani dah kiama kimekaribia...😢😢
Kijana umejipatilizaإنا لمآخذون بما نتكلم
TUKISEMA MASALAFI NI MAKAFIRI KUNA WATU WANAWATETEA, NA HAPA WAMEUDHIHIRISHAUKAFIRI WANAOUFICHA, NA HUU NDIYO UKAFIRI WAO!! WANADAI WANAFATA SUNNAH, HIVI HII NDIYO SUNNA YA MTUME (S.A.W)?!
Wallahi mtihan mtume hakuwa ivi Salafy mbna mnafanya mambo ambayo hayapo katika uisilamu
أمر مرور القطار😂😂
Afu nakaa kiimyaaaa😂😂😂😂
Dini imefika huku 😢
Fikiria wanafamilia wanajisikiaje hapi
Huyu jmaa muislam kweli
Tubiya kwa ALLAH na uregee kwenye mtandao ouombe msamaha kabla mauti hayajakufika
Usisherekee mauti ya mwenzako
Inna Lillahi wa Inna Ilaiyhi ra jiun.
Waislamu ndipo tulipo fikia huko!!".
Namna hii hata wasiokuwa Waislamu wanatutoa maana. Na kuzidi wao kuuchukia Uislamu.
Astaghafirullahi
Bila ya shaka hili la kufa kwa shekhe makafiri wengi na maadui WA uislamu ndo linaweza kuwa jambo la furaha kwao na umma wakiislamu hauwezi kuwa na furaha kwa kuondokewa na kiongozi wao ....kwa sababu uhalisia wake ni huzuni bila ya shaka mwenye kulifurahikia ni kafiri tuu ambaye ukafiri wake ulijifichia kwenye unaafiq huo ndo ukweli...
Wapeni udhuru hao wanao Leta maneno ya kashfa si kila salafi anafanya mambo ya jahiliyyah kama huyo NI baadhi Tu ya wajinga katika wale wanao jipamba na Sunna na hali yakuwa kauli zao mbaya chafu Allahu mustaghaan mtihani Sana huyu ndugu Hana adabu
Huyu mzungumzaji ALLAH amlipe kulingana na aliyoyafanya na kutuongezea maumivu sisi watanzania na huyu mzungumzaji hata Hadith za mtume amezipinga kwa maaana mtume asema watajeni kwa wema maiti zenu,kisha ajifanya ampenda saaana mtume kumbe hamna kitu,ALLAH atunusuru na kirusi hivi
bora angekaa kimya tu
Dah mtihani sana sio kulinganiana huku tuo navipimo
Yani mtu kama huyu unampa mwanao akakusomeshee
Angalieni na watu wakuwapa watoto zenu wengine awafundishi dini wanafundisha tabia zao waliozaliwa nazo kutoka kwa mama zao
Huyu ha jazaliwa kwa njia ya kawaida huyu kijana kaja duniani kwa njia ya haja kuu
Masalafi na Walokole ni kitu hiki☝🏾
Unataka myahudi afanye nin tena kawaletea maadithi yenye kuwagawa tazama muislam walipofikia hapa
Dah kweli alikuwa amewaburuza wahabi kisawasawa mana c kwa chuki hiiii 😅😅😅 shekhe Muhammad iddi wewe ni jemedari pumzika kwa amani
Haswaaaaa
Amewanyoosha haswaaa mpaka wanatoa ya moyoni
Hasa ile kauli yake. umeitoa kwenye Kitabu gani
umeonae
@@ALiBAba-zz2td palepale
Allan awa samehe na maneno Yao ya kihuni
Huu ndio uwahabi kama ulikuwa huwajui sasa ndugu yangu muislamu ndio utoke usingizini
Allah amuongoze hajui alitendalo
analijua vizuri alitendalo kibri tu kinamwenda
Wewe,umeghafilika,namauti,,mtakemsamaha,allah
Masalafi wapuuzi sana halaf wanajiita wao ndio wamesoma lakin leo nimepata kujua kua shekh alikua anafanya hawalal kwa doz walio kua wanapewa ety arafa ni moja dunia nzima😂 mola akulipe kher shekh letu Mohammed idd
Duh umedhihiri udhaifu wa salafi , at tunapumua kwasabb ameondoka alie kua akitoa fatwa ya mwezi ,
Ukimfatilia sheikh m iddy alikua hazungumzi maneno yke bali alikua na vitabu vya salafi kisha anatoa hoja ndani yke, bila shaka salafi ndio wa kutiliwa mashaka
Masalafi msio na elim mnatuaibisha
Kwakauli hizi ambazo hazina hekma, ikhlaswi, tawadhui, namuomba Allah umfuate Abuu iddiy mda siyomrefu na wew uonje ladha ya umauti,
Hawa ndo wanaouchafua wislam, kwani wew umefaulu kwa kujiita salafi, kumbe masalafi ni walokole waliyo kwenye wislamu,
Kwanzia Leo masalafi kwangu nisawa na walokole tu.
msenge wee
Usitukane ndugu yangu
@@SalimaMaukihuyi kutukanwa ni haki yake kwa ujinga.alo kujanao
WE NDIO UMELAANIWA NA MAMA YAKO MZAZI ALIEKUZAA FISADI MKUBWA SHETWANI WEWE.
Acha ndugu yangu usimuingize mama yake
Nilikuwa naomba ndugu zangu msitukane muacheni
Uislam umeingiliwa 😂😂😂vijana wameiona pepo tayari
YAARABY TUNAKUOMBA MKOSESHE SHAHADA SIKU YAKUONDOKA KWAKE HUYU KIUMBE NAWALA ASIWE MIONGONI MWAWENYE KUMRIDHIA.
Laana za Allah ziwe juu Yako duniani na kesho akhera mbwa wewe mzushi wewe na mama kenge maji ww
Shehelekea na mama yako siku akifa kenge wew
Salafibswaleh Unawafaham walivyikuwa hawakuwa katika wlenye kuropokaa
Sawa tembo 😢
Wewe huna ustaarabu unashukuru kwa kufa shehee aaaaa amaweyee fisadiii
Kakhofia nini kuiweka sura yake
Astaghafirullah, hii inasikitisha.
Msameheni bangi imepanda kichwani
Mbona hunajificha msenge
Unakufuru ww muislam 2 mwenzako
Kubali au ukatae, huyu ni sheikh mkubwa wengi wanamkubali, hata kama tuna tofauti zetu upande wa dini, si sawa kwa majibu hayo kwa sababu Mauti itaonja kla mtu, hata kama humkubali basi heshima kidogo japo hata kwa familia
Nyinyi kaeni milele
Wamsema mwenzako amekufa ukumbuke pia wewe njia ni hiyo hiyo wacha mdomo wazi ukumbuke kila nafsi itayaonja mauti
Ikiwa muislam aambiwa hivi je kaafiri ataambiwa nini? Inna lilah wa inna ilah rrajiun
HAWA MASALIFI NI MAQATILI HAWAJUI HATA KUONGEA HUYU BORA AKAMATWE
Kiarabu chenyewe kimekushinda hapo mwisho dini utakua unaijua kweli hawa ni mayahudi kabisa
Innalillah wainna ilayhi rajiun.
SIO JAMBO JEMA kuweka video kama hii unachangia kueneza Fitna. Nikama una promote kauli zinazo bomoa zaidi ya kujenga Umma
KAFANYA SAWA KUWEKA HII VIDEO ILI WAISLAM WAISLAM WAWAJUE MASAFI NI WATU WA AINA GANI?! NA WAPO KWA AJILI KAZI GANI DHIDI YA UISLAM
Kumamayo ww msenge ww na mama yako mbwa ww
Huyu ni chizi apuuzwe
dah kuazia leo usalafi mm bc dah ndio hali hii!!!
MASALAFI Ni watoto wa ZINAA na ni MAKAFIRI nkisema hua MNABISHA sasa mmeona 😢
Haya maneno unaweza kuyathibitisha? angalia usije kuangamia kwa kusombwa na chuki,usiwazungumzie watu usio wajua
@@adamndilanna1562wnaakera sasa hyo furaha wanatoa wapi
@@adamndilanna1562ni kweli masalafi wengi Uislam wao una mashaka kwa sababu hata walioleta usalafi inaonekana wana ajenda za siri lengo ni kuwavuruga waislam, na haya huwa yanadhihirika kwenye matukio kama haya, hata waislam wa wapalestina wakati wanauwawa na mayahudi kwenye vita ya juzi huko Gaza masafi walifurahi huku wakitoa jumbe za sauti kuipongeza Israel kwa unyama wanaoufanya dhidi ya waislam wa Palestina, tena mmoja aliyetoa jumbe hizo ni salafi Kasimu Mafuta wa Tanga akisema sawa sawa wale kuuwawa kwa sababu siyo masalafi ni watu bidaa ilhali anasema maneno hayo bila ya kuzingatia bomu linapotua halichagui wa kumuua nani ni salafi au siyo salafi?!! Hakika huu ni msiba kwa umma, leo jamii ya kiislam inaangamia kwa kutofundishwa Uislam halisi na kupachikiwa mafundisho ya chuki ambayo hayapo kabisa kwenye Qur'an wala sunnah ya Mtume (S.A.W).
Inna Lillahi wa Inna Ilaihi rajiun
Wewe unaongea upo sahihi kwa asilimia 100?
Allah anaweza kukugeuza ukawa kafiri mmoja mkubwa
Ni wendawazimu hao
Kwa hiyo ukipata nafsi ya kujua mtu wa bidaa kwa akili yako utamuua
Endelea kushukuru maana wewe utaishi milele
Hivi ndiyo mafunzo ya mtume kweli masalafi hamfuati mtume Muhammad s.a.w
Mbona kama sauti niya muuza dawa kwenye mabasi msilagi
yani unafurah kwakufa muislam menzako ndio mana mimi nikawa nasema usalaf wenu.nyinyi ni uvundo
Huyu Ana homa huyu
Je wewe utaishi milele?? Inalillah wainalillah rajuun
Wewe huna akili Kwa kumsema malehem
Amepata ghasara mama yako haya tuone Kama utaishi Milele na ujinga uliokujaa mbwa wewe
Uislamu gani huo naww kuna siku utakufa na clip yako hii itakuwepo watakaokuwa hai watajua waseme nini juu yako
Wewe ni mpambavu
Huyu ni Sufi mwenzenu kama ni sheikh wa kisalafi tuambieni ni nani?Propaganda za masufi ni mbaya sana
Huyo sio salafiyya asitusemee huyo niadui wa masalafi sisi tunasema alkamalu lillah
Na sisi tuna chaneli zetu hio sio chanel ya salafi subirini chaneli zetu.samahanini sana
Usikatae huyu ni mwenzenu, sauti yake imewekwa hapa na babdeo ili kila mtu asikie namna gani mlivyo..
wazushi wapo tele ila mashehe wetu munapenda sana sana mchuzi mwekundu unakuta shehe kaenda kweny mambo ya kijinga anaambiwa lete dua basi ile dua inakuwa ya ubwa ubwa tu, tumuogope mungu usimuope kiumbe mwenzako.
Wewe na huyo mshenzi mwenzio aliyemtusi mtu aliyeshajifia nyinyi wote kamba moja. Allah atawalipa kinachostahili in shaa Allah.
Kasahau kuwa kuna cku na yy atakufa
Muungu Akupe laana ww na mama yak