Subhannallah. Innallillah wainna ilaikh rajioun Daaahhhh!!! 😭😭😭 Ndugu yangu jee hili ndio fundisho tuliloamriwa itokeapo ndugu yako kwenye Uislamu amefikwa na umauti tunatakiwa tuseme maneno gani? Tuwe na kiasi kwenye kuchunga ndimi zetu ndugu. Hata kama humpendi ni wewe tuuu Ila tulio wengi tunahuzunika kwa kuondoka kwake. Allah amemuhitaji nasi tuko nyuma yake biidhnillah. Yaarrab mjaalie Mwalimu wetu huyu makaazi mema peponi na utupe mwisho mwema biidhnillah. Ammin Ammin Yaarrabal Aallamiyyn
Wewe hujielewi kabisa alokwambia ukiwa mtu wa suna ndo unaingia Pepon ni nani kuwa na adabu na MASHEIKH الخواتيم بيد الله mwisho upo Kwa Allah hujui ww utaondokaje unaweza ukafa kafiri
Mungu amlze pema mpendwa wetu aliyekuwa muelimishaji wa jamii zote waisilamu na wasio waisilamu Namuombea tena allah ampokee kwa wema AMIN.
@@kajembeathman Aamiin
Amin
INNA LILAHI WA INNA ILAYHI RAJIUN! ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE AMUWEKE MAHALI PEMA PALIPO NA WEMA!
Allah ampe qauli thabiti shekhe mwalim na kiongozi wa uislamu wetuu🤲🤲🤲🤲🤲😭😭😭😭😭
Ameen
ALLAH S.W. AMSAMEHE MADHAMBI YAKE....AMWEKE MAHALI PEMA AKHERA NA PEPONI SIKU YA QIYAMA....AMIN.
Innaalillahi wainnaa ilaihi raajiuun..Allah atupe subra waislamu sote..kwa kuondokewa na shaikh wetu.
Allah insha Allah amlinde na msamehe mapungufu yake!.
Mungu amrehemu Sheikh Wetu Ya Rabi na sisi Ya Rabi tupe mwisho mwema
Allah amhifadhi
Inalilah waina Ilah rajiun 😭😭
Allah amueke Pema penye wema in shaa Allah
Allah amrehemu ampe kauli thabiti ...Allahuma Ameen
Muislamu akifa muombee Dua hukumu muachie mungu
انا الله وانا اليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة الفردوس الأعلى امين يارب العالمين
Mungu amhifadhi shekhe idi
mwenyezi mungu amlaze mahala pema peponi Amiin
Poleni wana familia ya Islam nimeumia
Inna lillah wa inna ilaih radjighun Allah yarhamhu ..
Alla ampe kauli thaabit inshallah
Amin
Allah msamehe madhambu yake,Inshaalah
Innalillah wainna ilaih rajiuun 😢😢 Allah amsamehe zamb zake
Inna lillahi wa inna ilayhi raajiuun😢😢😢
Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhir-Raajiuun
Innalillahi wa inna ilayhi raajiun
Allah amsamehe makosa yake
@@sama-_8368 maishallah
Inalillah wainaillah rajiun subhanallah sheikh wetu Mohammad
Innaa lillahi wainna ilaihi raajiuun " Allahumma thibbit huu bil kauli thaabit
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم امين يارب العالمين
Innalilah wainnalillah rojun Baki Allah 😭😭
Inna lillah waina lillah raj' una
Wewe kijisalafi achakukomenti usiyoyajuwa Allah atakuwadhibu
Innalilah wa inna illayhi rajiun
Inalilah wainalah rajiun
Innaa liLLAHI wa innaa ilaiHI rajiun
Innalillahi wainaaillah rajiun
Inanilah waina lilahi laa jun
Allah ampe qauli thabit
إنا لله وإنا إليه راجعون
Inna lullabies wa innaillahi rajiun
Allah ampe kaulithabit
Inalilahi wa inalilahi Rajiun sisi wote ni waja wake tutarea.
Mash Allah kumbe ni mzigua wa KWETU TANGA
Acha UKABILA uislamu umekataza,
Uislamu unatosha
Inna linlah wanna ilaih rajiun.duh mwalimu wangu maana huyu jamaa nimwalimu wa wahabi.
Kwani wahabi manayake nini naomba unifahamishe kidogo Akhy
Allaah amsamehe alikuwa mtu wa bidaa
Amin ndo yeye, na maadui zk wakubwa walikua ni masalafy
Subhannallah.
Innallillah wainna ilaikh rajioun
Daaahhhh!!! 😭😭😭
Ndugu yangu jee hili ndio fundisho tuliloamriwa itokeapo ndugu yako kwenye Uislamu amefikwa na umauti tunatakiwa tuseme maneno gani?
Tuwe na kiasi kwenye kuchunga ndimi zetu ndugu.
Hata kama humpendi ni wewe tuuu Ila tulio wengi tunahuzunika kwa kuondoka kwake.
Allah amemuhitaji nasi tuko nyuma yake biidhnillah.
Yaarrab mjaalie Mwalimu wetu huyu makaazi mema peponi na utupe mwisho mwema biidhnillah.
Ammin Ammin Yaarrabal Aallamiyyn
Wewe hujielewi kabisa alokwambia ukiwa mtu wa suna ndo unaingia Pepon ni nani kuwa na adabu na MASHEIKH الخواتيم بيد الله mwisho upo Kwa Allah hujui ww utaondokaje unaweza ukafa kafiri
Umevuka mipaka sana!!
Mkundu wew