MANARA AFUNGUKA ALLY KAMWE NDIYO MSEMAJI NA AFISA HABARI WETU? MKUTANO WAZUIWA MASWALI KWA WAANDISHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 200

  • @mcgabby
    @mcgabby หลายเดือนก่อน +20

    Aaah ukituliza kichwa huyu jamaaa yuko vizuuuriii mnooo mashineee ya kuongea😂😂😂

  • @user-zb8qm7iy8l
    @user-zb8qm7iy8l หลายเดือนก่อน +4

    Nimefurahi sana Ally kamwe kuendelea kuwa msemaji wa jangwani.

  • @jamessilayo240
    @jamessilayo240 หลายเดือนก่อน +7

    Yanga bingwaaa 😂😂thanks . Anae bisha akufeeeeee😊

  • @AbdiSele-94
    @AbdiSele-94 หลายเดือนก่อน +18

    Hata jeshi tutafwatua wanayanga
    Hatushindwi
    YANGA oeeeeeeeeeeeee

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt หลายเดือนก่อน +2

    Hongereni sana wana wa Jangwani tunawapenda sana

  • @Evance-op4jw
    @Evance-op4jw หลายเดือนก่อน +1

    uko powa sana nakuelew
    🎉🎉🎉 Yanga hatuna Malumbano wanaopitisha maneno ya kamwe na manara washindwe

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 หลายเดือนก่อน +15

    Ushakuwa msemaji mzee tunataka vijana kizazi hiki ni Cha gz

    • @user-oo3np9be8m
      @user-oo3np9be8m หลายเดือนก่อน +2

      Wewe manara ndio bora

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน +1

      Old is gold

    • @amisamaurid1882
      @amisamaurid1882 หลายเดือนก่อน +2

      Jaribu naww uone kenge mlima

  • @user-ig8iq1ho4o
    @user-ig8iq1ho4o หลายเดือนก่อน +8

    Bugart karibu tena jangwan

  • @yassindibwe-sb7mq
    @yassindibwe-sb7mq หลายเดือนก่อน +7

    Wananchiiiiiiiiiiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

  • @YusuphMalimi
    @YusuphMalimi หลายเดือนก่อน

    The return of champion

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 หลายเดือนก่อน +12

    Buggati manara namba moja duniani

    • @mrsab303
      @mrsab303 หลายเดือนก่อน +1

      ❤❤❤❤❤

  • @InnocentPius-g3x
    @InnocentPius-g3x หลายเดือนก่อน +5

    Kweli kabisa iyo iko sawa Ali kamwe yuko pw❤

  • @salimnassoro8754
    @salimnassoro8754 หลายเดือนก่อน +27

    Khaji Sande Mannara ni Afisa muhamasishaji na Ally Shabani Kamwe ni Afisa habari

    • @MzansiDiski27
      @MzansiDiski27 หลายเดือนก่อน +2

      Manara anaweza kuhamasisha mataahira tu.

    • @1nsjskksuser45
      @1nsjskksuser45 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MzansiDiski27 hahaha. Matahira wenzake

    • @peacerichard8970
      @peacerichard8970 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kolo wizard,wivu huo​@@MzansiDiski27

    • @HamzaMduda
      @HamzaMduda หลายเดือนก่อน

      Tuliza kijambio​@@MzansiDiski27

    • @HamzaMduda
      @HamzaMduda หลายเดือนก่อน

      Tuliza boll

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations หลายเดือนก่อน +5

    Hatar saana

  • @SixbertMartin
    @SixbertMartin หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio Yanga ❤❤ yanga

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 หลายเดือนก่อน +7

    Tuimzoea sn kamwe anajua sn hana panick

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 หลายเดือนก่อน +3

    Bugati kama bugati ally kamwe pamoja wote waaajiwa wa yanga

  • @AminaAmina-cr8jq
    @AminaAmina-cr8jq หลายเดือนก่อน +3

    Ali kamwe awe msemaji huyo manara,hafaiii

  • @ChoghoghweDaudi
    @ChoghoghweDaudi หลายเดือนก่อน +7

    Yanga wakimuacha kamwe wamebugi bugati kashapoteza mvuto

    • @NikolaiMwambene
      @NikolaiMwambene หลายเดือนก่อน

      Hata wewe umeona ee

    • @barakamuoka1455
      @barakamuoka1455 หลายเดือนก่อน

      kama ni nzuri fanya wewe
      kenge maji

  • @Marjeby
    @Marjeby หลายเดือนก่อน +11

    Daah wee jamaa mkariakoo mwenzangu nakupenda kama binadamu mwingine yoyote yule but sipendi hata kigodo kukuona ndani ya YANGA yetu hata kidogo.
    Ally Kamwe anatosha sana kwanza wewe umri wako umeisha kwenda aiseee ona aibu

    • @rajabumtuga7372
      @rajabumtuga7372 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu amesimama kweny cheo chake.. unataka ukienda hela ukirud mke hawez kuw wako?

  • @kelvinedward1405
    @kelvinedward1405 หลายเดือนก่อน

    Kila wakati na zama zake hizi zama za ally kamwe huu usemaji wa kupayuka payuka umeshapita tyr

  • @nshishiponsian8853
    @nshishiponsian8853 หลายเดือนก่อน +3

    Nane shekh

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 หลายเดือนก่อน +1

    Mmecheza na kikosi cha watoto wadogo wa Kaizer chiefs

  • @SixbertMartin
    @SixbertMartin หลายเดือนก่อน

    Hiyo ndio Yanga ❤❤ naipenda mpaka naumwa

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 หลายเดือนก่อน +2

    Kama umeona pua kama matundu ya choo like hapa

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 หลายเดือนก่อน

      Pua zako kama za kiboko!!! Acha kutukana wewe ndo umemuumba😣😣

  • @omaryshabani3480
    @omaryshabani3480 หลายเดือนก่อน +12

    Huyu ndio mtu nilikuwa namsubiri mnoo..arudi kwenye hili soka letu sasa baasiii..mmekwishaaa..😂😂😂🙌🙌

    • @LindaMbilinyi
      @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +2

      Kaisha nan?

    • @mcgabby
      @mcgabby หลายเดือนก่อน +1

      Mashine ya kuongea hiyoo😂

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu หลายเดือนก่อน

      Namkubali sana huyu jamaa akiamia timu yoyote na Mimi ni bendera fuata upepo

  • @kassimbawazir8300
    @kassimbawazir8300 หลายเดือนก่อน +1

    oya acha kashfa kwa manara yeye ndiyo kazi iliyomwajiri na ally kamwe alikaimu baada ya kufungiwa kama hujui uliza uambiwe , ally kamwe amefanya vizuri sana apewe kazi nyingine ili awepo yanga

    • @mahamedally5129
      @mahamedally5129 หลายเดือนก่อน

      Upo sahihi manara n shida

  • @LukasIbramovic
    @LukasIbramovic หลายเดือนก่อน +4

    Young mabingwa tenaa 2:21

  • @Maryc2G
    @Maryc2G หลายเดือนก่อน

    Haji manara una hekima sana 👍🏽💚💛

    • @fnnyanda5993
      @fnnyanda5993 หลายเดือนก่อน

      Mr.Manara,Hammjui sawasawa,HUYU HAAMINIKI,Mwaka 2025 Atarudi Simba tena.PERIOD.

  • @user-ly2tv5og1n
    @user-ly2tv5og1n หลายเดือนก่อน +3

    Manara ana uzoefu na umahiri mkubwa. Ni mtu mwenye uwezo wa kujibadili badili. Kwa mfano kuonekana Mzee na kuonekana kijana tena kijana mtukutu akaleta furaha kwenye kadamnasi. Kwa ukweli ni Mahiri sana. Huyu ana kipaji kikubwa sana. Lakini Ally Kamwe naye ni mzuri ana staili zake. Basi wote wawe pamoja tutakuwa na Klabu kubwa siyo tu kwa wachezaji bali hata wasemaji.

    • @mrsab303
      @mrsab303 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤❤

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu หลายเดือนก่อน +1

      Manara hii ni karama yake.

  • @SamwelMaziku
    @SamwelMaziku หลายเดือนก่อน

    Manala hongela sana unaju kuhamasisha

  • @motivation-ic3nf
    @motivation-ic3nf หลายเดือนก่อน +1

    Wote awa wanashindana na mtu mmoja au basi

  • @jamesnyakia-um7iu
    @jamesnyakia-um7iu หลายเดือนก่อน

    Karibu tena Bughat...
    Yanga inaendelea kushinda

  • @mailacamillius
    @mailacamillius หลายเดือนก่อน

    Ulikurupuka Serena hotel. Sasa mabosi wamekuambia karekebishe makohozi uliyoyatema

  • @mishlay8164
    @mishlay8164 หลายเดือนก่อน +1

    Kwakweli Haji huwa anaongea vizuri kuliko Ali

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน

    Professor

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 หลายเดือนก่อน

    Professional

  • @LucyMbwambo-w4d
    @LucyMbwambo-w4d หลายเดือนก่อน

    Manara atafutiwe kazi nyingine ndani ya yanga,saiz amwachie dogo kamwe aendeleze alipoishia

  • @VaiEliass
    @VaiEliass หลายเดือนก่อน

    Tunawapenda wote sisi sio wanafiki yanga ya upendo

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 หลายเดือนก่อน +2

    Acha stori nyingi maelezo marefu

  • @user-el9bd4yz2h
    @user-el9bd4yz2h หลายเดือนก่อน +2

    Nakushauri uende kigoma Mzee wako alikotoka kwa manyema ulime mpira huwezi waachie vijana tafuta kazi nyingine

    • @herifransis
      @herifransis หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂wivu tuu

  • @KinotaSon
    @KinotaSon หลายเดือนก่อน

    Ni shidaaaaaaaa

  • @alfredmhilu5095
    @alfredmhilu5095 หลายเดือนก่อน +13

    Ali kamwe ni bora kuliko manara

    • @enjoysoccer1
      @enjoysoccer1 หลายเดือนก่อน +1

      uongo huo uongo huo

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Kila mtu ana Karama yake!

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +3

    Yanga waanzishe kurugenzi ya wanachama/wanachama/wapenzi, na iongozwe na haji manara. Usemaji wa mambo timu abaki Ally kamwe

  • @Michaelmhina-rt3kp
    @Michaelmhina-rt3kp หลายเดือนก่อน

    Big team

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 หลายเดือนก่อน

    Nashauri .... jitahidi kutulia kwenye kiti. Too much swinging unaharibu concentration ya wasikilizaji

  • @user-ox1eg1ej6u
    @user-ox1eg1ej6u หลายเดือนก่อน

    Arrbaah. Bin. Sufuurr

  • @antonymodestus2872
    @antonymodestus2872 หลายเดือนก่อน

    Unazeeka vibaya we mzee

  • @SiemreTz
    @SiemreTz หลายเดือนก่อน

    Ha ha h..yanga..raha sanaaaaa

  • @JuliusiMasanja
    @JuliusiMasanja หลายเดือนก่อน

    KAMA ALI KAMWE HAYUPO HATUJI

  • @user-ig8iq1ho4o
    @user-ig8iq1ho4o หลายเดือนก่อน +4

    Inshallah kwa uwezo wake rabuka tutafika huko

  • @noelmbise9157
    @noelmbise9157 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂mzee wa madem huyo

  • @NasriMalogo-iz2tb
    @NasriMalogo-iz2tb หลายเดือนก่อน

    Mi namkubari manara jamaa hatarii uyu

  • @Nassprince
    @Nassprince หลายเดือนก่อน +2

    Mwenye anaweza kunipa utofauti wa cheo cha manara na ally kamwe anieleweshe

    • @georgekyando885
      @georgekyando885 หลายเดือนก่อน

      Msemaji namba moja na namba mbili

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน +1

      Mhamasishaji wa mashabiki/wanachama/wapenzi na msemaji wa team

    • @marianamontoedi1318
      @marianamontoedi1318 หลายเดือนก่อน +1

      AK is No1

    • @janethferous
      @janethferous หลายเดือนก่อน

      Ipo hivi ali ni boss wa marala ali ni afisa habari afu manaravni afisa muhamasishaji ko atalipoti kwa all shsban komwe

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 หลายเดือนก่อน

      Mbna hamuhoji kuhusu zaka zakazi na hashim ibwe

  • @mohamedhamismagoraonlinetv459
    @mohamedhamismagoraonlinetv459 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri Hajjy Sunday Manara.

  • @bestman8182
    @bestman8182 หลายเดือนก่อน +4

    Jamaa wameanza kuwekeza kwenye kiki badala ya mpira. Walisema Aziz Ki hajasaini hivyo wanapambana kumbakisha wakati walikuwa wameshamsainisha mapema. Pia tuwe makini na yule chawa wao anayewatrendisha kwa habari za kutunga na kusema ni za ndaaani😅.

    • @stevenobure8241
      @stevenobure8241 หลายเดือนก่อน

      Umeanza kutumia mtandao lini kwani hujui mfumo wa maisha ya watanzania ni kiki??? Mara ngapi Diamond Platnumz amewaambia mashabiki zake anaoa halafu anaishia kutangazwa balozi wa Airtel

    • @ahz6907
      @ahz6907 หลายเดือนก่อน

      ​@@stevenobure8241upuuzi.....hilo ndio anguko la yanga😂

  • @AnnaMark-cm8ch
    @AnnaMark-cm8ch หลายเดือนก่อน

    Yanga inanikuna kunako

  • @Sam-Pozzeh
    @Sam-Pozzeh หลายเดือนก่อน +3

    Waje BAYERN MUNICH

  • @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN
    @JUMAMGWENOMGWENOABDALHAMAN หลายเดือนก่อน

    Wewe ni chavichavi

  • @user-ex9xv4bl7u
    @user-ex9xv4bl7u หลายเดือนก่อน

    We rudi simba umeanza kumuchokonoa ally kamwe wetu

  • @LindaMbilinyi
    @LindaMbilinyi หลายเดือนก่อน +5

    Macho km gololi😂😂😅😅😅😅kwendra huna jipya mzee wa kupanic

    • @fakihassan9021
      @fakihassan9021 หลายเดือนก่อน

      Acha kumchukia mtu pasipo kua na sababu

  • @ZainulKiondo
    @ZainulKiondo หลายเดือนก่อน

    mnafiki

  • @mahamedally5129
    @mahamedally5129 หลายเดือนก่อน

    Manara arudi itakuwa poa sanaaa

  • @yohanayohanaadamu6483
    @yohanayohanaadamu6483 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂utopolo bwana cjawahi ona timu linawasemaji wawili😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @emmanuellupiga
      @emmanuellupiga หลายเดือนก่อน

      Unda ya kwako

    • @EliaMkumbo-wn7bm
      @EliaMkumbo-wn7bm หลายเดือนก่อน

      We ni bwege kweli Azam Ina wangapi unavosema hujawahi kuona Zaka na Ibwe si wasemaji wa Azam au hulijui tukufundishe

  • @husseinbachwa8372
    @husseinbachwa8372 หลายเดือนก่อน +1

    Mmechemka mmetafta kibonde hamna lolote...

  • @akilipeter1660
    @akilipeter1660 หลายเดือนก่อน

    haji manala ni influencer na ally kamwe ni msemaji

  • @user-xt5dq8hh6n
    @user-xt5dq8hh6n หลายเดือนก่อน

    Bukati kama.Bukati msemaji Afrika

  • @sulemanaman605
    @sulemanaman605 หลายเดือนก่อน

    Nilidhan kombe kumbe kikombe😂😂😂

  • @user-ry7yf3yn4l
    @user-ry7yf3yn4l หลายเดือนก่อน +1

    Maneno umemaliz simba huna la kuongea muachie mwenyewe kamwe kitu chke uto ww

  • @SaidyIbrahim-f4h
    @SaidyIbrahim-f4h หลายเดือนก่อน

    aweee Tena IPO nayo sawa kaka

  • @lydiamartine7970
    @lydiamartine7970 หลายเดือนก่อน +1

    Sàsa kama waliwaita waandishi why wasiwaulize maswali? Hakukua na ulazima wa kuwaita hao waandishi

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 หลายเดือนก่อน +1

    umepoteza muelekeo manara😂😂

    • @Shebbytvs
      @Shebbytvs หลายเดือนก่อน

      Kwahyo hapo anaongelea mapishi ama yupo chooni kama kweli amepoteza muelekeo?? Je ww ulishawah kuwepo hapo alipo?

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 หลายเดือนก่อน

    Kaizer amesha potea ndiyo anajitafta kurudisha makali yake nafasi ya 10 msim uliopita wamedrop sana

  • @MudluckmTitus
    @MudluckmTitus หลายเดือนก่อน

    ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalminiJuma-p1v
    @SalminiJuma-p1v หลายเดือนก่อน

    Tunamuitaj Ali kamwe ndo awe msemaj wetu

  • @silasjacob-j2l
    @silasjacob-j2l หลายเดือนก่อน

    acha kutembelea nyota ya ally kamwe

  • @HappyGrant
    @HappyGrant หลายเดือนก่อน +1

    Muludishe dogo kamwe Hilo

  • @MudluckmTitus
    @MudluckmTitus หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GodfreySarakikya
    @GodfreySarakikya หลายเดือนก่อน

    NJAA MBAYA

  • @abumuhammad9615
    @abumuhammad9615 หลายเดือนก่อน

    Huna jipya mzee retire upishe watoto waendeleze gurudumu

  • @gabrieldoseti5729
    @gabrieldoseti5729 หลายเดือนก่อน

    Mimi yanga damu awe Ali kamwe au Dila Boss Bugatti wote vyuma

  • @ShalomChamgeni
    @ShalomChamgeni หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉

  • @silasjacob-j2l
    @silasjacob-j2l หลายเดือนก่อน

    wanachama wanamsikiliza mwana chawa manara huko hutakiwi wala hawakuelewi mwachie ally kamwe mtoto huyo usimtoe roho baba acha kupanda gari la watoto

  • @bahi_bay24
    @bahi_bay24 หลายเดือนก่อน

    Haji nakukubali sana… unaongea kwa mpangilio 🎉

  • @sabatoongara8763
    @sabatoongara8763 หลายเดือนก่อน

    Yanga ni tanuru acheni wafanye kazi

  • @user-hu6kw7rk2h
    @user-hu6kw7rk2h หลายเดือนก่อน +1

    Kamwe mbona hajielewi jamani

  • @JummaSammata-ny5xf
    @JummaSammata-ny5xf หลายเดือนก่อน

    Du hii NI dhambi

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 หลายเดือนก่อน

    Hi

  • @piuskanyampala4540
    @piuskanyampala4540 หลายเดือนก่อน

    Kwa hiyo yeye ni Nani?

  • @mashakalukinda2350
    @mashakalukinda2350 หลายเดือนก่อน

    Kiti ndo kinazuguka au mara ndo anazungusha

  • @timetravellor5367
    @timetravellor5367 หลายเดือนก่อน

    Naona Leo hajaja na twiga

  • @198140206
    @198140206 หลายเดือนก่อน +1

    manara ulichanganya ushabiki wa simba na ajira simba , ulivyo nyimwa kazi simba ukaacha ushabiki hahahahahahaaaaaaaa nikwambie ukweli yanga hatukutaki huna jipya eng-hersi aachane na huyu yanga ipo vizuri sana huyu hatumtakiiiiiiiiiiii

  • @halidimsuya-cy9bl
    @halidimsuya-cy9bl หลายเดือนก่อน

    Napenda haji akiongea

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 หลายเดือนก่อน

    sasa kama ali kamwe ni Msemaji na Afsa Habari wewe hapo upo unafanya kazi gani na ni kama Nani,?

  • @user-oo3xt3yf6y
    @user-oo3xt3yf6y หลายเดือนก่อน +1

    Huna kazi yakufanya hpa mjini mdomo ndy kula yako,vaa yako na kila kitu hvyo sion taabu au kero

  • @hashimwazir9655
    @hashimwazir9655 หลายเดือนก่อน

    Uhamasishe ila uchunge ulimi wako huchelewi kujisahau ndgu yngu,, mfano hapo unasemaje
    Eti kaiza hawatoita ndo nn hpo , huoni kule ndo kujitangaza kwa timu anga za kimataifa ww vp mkuu , punguza kulipuka!

  • @MohamedHamsini
    @MohamedHamsini หลายเดือนก่อน

    HATAKIWI ANANG ANG ANIZA BAFASI ATA ISIYOKUWEPO YANGA....
    ATAKUWA MC TU HABARI TUNAZO

  • @user-hy6lh7cp1q
    @user-hy6lh7cp1q หลายเดือนก่อน

    afu Haj hamasa zako ebu zswe tu za kwenye kiti jarbun kujchanganya kama kamwe ingependeza

  • @NasriMalogo-iz2tb
    @NasriMalogo-iz2tb หลายเดือนก่อน

    Manara bhn linajua

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka หลายเดือนก่อน

    Awo kaizer wangekutana na mnyamaa jana wangekula tisa msijipe moyo utakimbia wandishi cku iyo 8:44

    • @BILALIMSANGI-kw2ki
      @BILALIMSANGI-kw2ki หลายเดือนก่อน

      Umesahau mlipigwa 4 kwa 0 nahao kaizer chiefs