I like that way of dressing on this comedy you will always remain legends of commedy respect for Africa, my favorite from DRC, KINGWENDU the best comedy. One love 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mama yangu 🤔🤔 kingwendu king of comedy hiyo kofia kaa panga iko 👍👍 tz 🇹🇿 vidole 🙆🙆 cash,,cash,,bila samahani ukata vidole zote jamani 🥱🥱 utatembea na nini million 92 za Zimbabwe ila kwa kweli 😂😂 Una account🔥🔥 jamani
😂😂😂😂😂😂😂😂Haaaahaaaahaaaa.. Kingwendu anasema nataka niezue bati za zamani.. Niezeke bati za M...south ...Halafu dola za Zimbabwe kumbe sawasawa na alf 25..😂😂😂😂😂😂😂 Halafu wote waishia jela na kidole kimeondoka
Nakubal sana Tm kingwendu pia naomben sapot yenu kama tupo comedy pia naomba like
Kingwendu we ni legend toka niko mdogo nakukubali sanaaa.....Mungu azidi kukubalikii
🙏☝️
Mungu akulinde kingwendu kupata comedian kama hawa sio kazi ndogo kabisa 🤣🤣
Asante
😂😂🤣🤣🤣🤣atali kwakweli 🙌🙌🙌mzee unamambo wewe yani nachekaga mpaka bas dah ilo vazi la leo saluty
Kingwendu hazeeki nakumbka nikimuona nkiwa mdogo sana adi sai niko 23yrs more love from kenya🇰🇪 kingwendu we love you so much❤❤
Natamani wakina Makoha makacha watoe moja nakingwendu
Ngwendu ngwendurire, hello hello ndo manake bby nang'o😂😂
Zungu mwenyewe kijana wa mbagala kikngugiiii
I like that way of dressing on this comedy you will always remain legends of commedy respect for Africa, my favorite from DRC, KINGWENDU the best comedy. One love 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kingwendu ndo king,👑 wa comedy noma sn
Much love from Kenya....umeniundia siku.😂
Vp
Hyo kofia imenimaliza🤣🤣🤣🤩
Umeona ehe. Hiyo kofia na jinsi anavxozungumza na pia anajua kucheza na uso na mdomp
Di top chatta kingwendu extravaganza ,number one, love from Rwanda 🇷🇼🔥🔥🔥
Heino heino kingwendu nkutizama tangu ile filamu yakonya lunchi taimu,Ila kwa kweli, bebe nango
Tunakukuubali huku🇰🇪
Kingwendu Eeeh come zanzibar my broo skenk zipo🤣🤣
Nataka skank upo sehem gani mwamba mi mwera
namtambua sana kingwendu kwa raha zangu.kenya ajulikana sana
kabisa kaka brzaa
Watching From Kenya, much love
Kingwedu muhigizaji poa 😂😂😂
Kingwendu unanifurahisha saana unavyozungumza.
Njinsi ulivyo tu wewe ni kichekesho tosha, hongera sana
😂 kingwendu wewe mwenyewe ndo umesema kama unatalala ma pesa 😅😅😅😅 vidole
ila bebi nang'o. hiyo kofia na nguo ulioivaa😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Kingwendu umependeza utolewe hayo macho 😂😂😂😂😂
Kingwendu my favorite 🤣🤣🤣🤣🤣
May favorite kingwenduuuu😂😂😂😂😂
Kingwendu you make me smile when i m tired
Kingwendu you know the game since long time, hundred percent.😁😍 I'm from congo DRC
Nakukubari Sana mze wangu tangu nikiwa mdogo
Baba lao 😅😅
Duu yani
Leo nimecheka
Hadi mbavu zinaniuma kingwendu noma
Eti vedole vya mbwaa au kuku😂😂😂😂🤣🤣
Msijifanye hamjaona hiyo surupwenye ilivyotoa mzigo wa kingwendu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤗
Nice comedy checking straight outta +254🇰🇪🥰🥰😘
Hii nliipenda Sana #ranking electricals NRB kenya
Waaa kingwendu will kill me one day 🤣🤣🤣🤣love from kenya
😂😂😂😂😂😂😆
nao precepo dialeto max ese kota e bom na história kkkkkkkkkkkkkk diretamente d Moçambique
Nenda kakate ukose vidole vya kutembelea😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee pesa ina matatizo sana😂😂😂😂
You are so funny
😂😂 me na angalia kofia tu siimaliz kabisaa😂
My best East African male comedian 🙏🥰🥰🥰👏👏👏
À
Exactly 💯
Mzeh kingwendu nakushukuru sana kwaku nipa furah Siku ya leooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kingwendu kwa kweli wafurahisha na kuchekesha sana iyee baby nango
Weebaba umenikata kidole ujue😀😀
Watching from Cape town nakihamini Sana kingwendu
Ilove you brother, hoping to meet you again onces am back in Tanzania.God bless you abundantly.
Niko kenya,u r the best ever comedian I always n I will continue loving.
Kingwendu kofia tafadhali
🎉r😊😮❤g😊😊
Tisini na mbili za Zimbabwe 😅😅😅
Vidole vya mbwa😂😂
😮😂😂😂😂
Nakukubar mzee wangu
Hiyo kofia😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kalipwa pesa ya soda tu
mungu❤akujaliye
Ako Noma sana
Kingwedu always makes me laugh
Kingwedu wee kabila gan
Kingwendo mze wa comedy 😂
Kofia hiyoooo duuuu
kingwendu my favorite
th-cam.com/video/jIKtN6WUSe8/w-d-xo.html FYI yo
Pesa ni sabuni ya roho unaeza kufanya chochote bora upate safi sana kingwengu
😅😅😅😅😅😅😅😅kaka yuko professional
Ukikatwa vidole vyote umaskini kwisha.😂😂😂😂😂
Hahaha noma Sana lol
Hii kalii nimecheka leo bhebhe nanhooo
Kingwendu kaludi Sasa 😃😃😃😃😃
Hahaha! Kingwendu ataka kata vidole vyote 🤣🤣🤣🤣🤣
Hela ni ngumu kingwendu jikaze
Kingwendu nakupenda mpaka naumwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
iyo kofia😀😀😀
Hello....Hello...ooooo
😂😂😂😂 nimecheka sana kwa kweli Kingwendu ni really commedia sio kama wale wengine wanao force
Mkali wao🤣😅
Kingwendu akili nyingi atali
Ngwendu wetu mkali sana
Mama yangu 🤔🤔 kingwendu king of comedy hiyo kofia kaa panga iko 👍👍 tz 🇹🇿 vidole 🙆🙆 cash,,cash,,bila samahani ukata vidole zote jamani 🥱🥱 utatembea na nini million 92 za Zimbabwe ila kwa kweli 😂😂 Una account🔥🔥 jamani
Yan kingwendu umenichekesha leooo aaaa we achat umenifraisha San da
danger kingwendu.
Nimekuja mwenyewe na tamaa yangu ya hela🤣🤣🤣🤣
Hadi sai bdo naenjoy hii. HB mwenyewe nakkbali sana.
Chanjo ya Covid 19 hamuitaki lakini vidole nakwenda kata !!! Tamaa tuuu
🤣🤣🤣
hii kofia ya kingwendu,😂😂😂😂😂
Nicheka jamani 😂😂😂😂😂
Kingwendu you make my day 😂😂
So good comedy
Kingwendu aache tamaa
Aky pesa itatufanya mambo
Ngwendu, tunakupenda sana
Kingwenduuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣wabongo bwana!kila kitu masihara!
Ila kwa kweli
Duuuu kigwendu mshezi
🤣🤣🤣🤣hatar kwakwel
Umeuwa sana kingwendu
😂😂😂😂😂umaskini itatuuwa😂😂😂
Baba unajua aisee
😂😂😂😂😂😂😂😂Haaaahaaaahaaaa.. Kingwendu anasema nataka niezue bati za zamani.. Niezeke bati za M...south ...Halafu dola za Zimbabwe kumbe sawasawa na alf 25..😂😂😂😂😂😂😂 Halafu wote waishia jela na kidole kimeondoka
Nakubal brother umenisha San alf mimi ni shabik yko nakufatilia San Yan napenda San movie zako😀😀😀😀😀
Watu wanakatwa vidole wanalipwa hela ya KIZIMBABWE Miliyoni 92" na thamani yake ovyo ovyo😃😃😃😃😃😃😃😃
Kigwendu huna mpizani bongo comedy 🤣 😆 🙌🇶🇦
Nakuaminia baba kingwendu❤❤
Nice one i watch from Kenya
Uuu beebe 🤣🤣